Search results

  1. Kimetah

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Habari. Naomba kufahamishwa tiba sahihi ya vidonda vya tumbo. Nimepima hospital nimeambiwa vimesababishwa na bacteria. Nimetumia dawa aina ya omiprason lakin sioni mafanikio.
  2. Kimetah

    Uchaguzi 2020 CCM na kampeni chafu dhidi ya Mbowe jimboni Hai

    Sikiza wew kima,haiwezekani kupeleka maendeleo ya ziada sehem ambayo kiongozi wake hajawai kuona jitihada za serikali iliyopo madarakani. Hizo km5 za lami aliahidi endapo mbunge wa ccm atachaguliwa. Kwa hiyo huyo mbowe ni jambaz la siasa na JPM atamnyoosha kwny uchaguzi huu wa 2020,harudi bungen...
  3. Kimetah

    Uchaguzi 2020 Urais CHADEMA ni kamati

    Kabisa. Hoja zimefukiwa na JPM,wanatembea na vihoja
  4. Kimetah

    Uchaguzi 2020 Urais CHADEMA ni kamati

    Baada ya kusubiri kwa mda mrefu kusikiliza watangaza nia ndani ya chadema,nimeona watu maalum tu ndio wameweka nia. Mpk jana ni 1. Lissu 2. Msigwa 3. Nyalandu. Inavyoonekana ni kale ka kamati cha ruzuku ndio wanatangaza. Huo utoto ni mkubwa katika kujenga demokrasia waliyokuwa wapigiwa kelel...
  5. Kimetah

    Uchaguzi 2020 Rajab Abdul "Harmonize" kugombea ubunge Tandahimba

    Hao wamezoea kutokugombea mpaka mwenyekiti astaafu.
  6. Kimetah

    Uchaguzi 2020 Rajab Abdul "Harmonize" kugombea ubunge Tandahimba

    Ndio shida ya wahuni. wao huishia kulalamika tu na kukosoa watu kila mara ila sio watendaj
  7. Kimetah

    Uchaguzi 2020 Rajab Abdul "Harmonize" kugombea ubunge Tandahimba

    Kwa hapa wanachama wa Chadema lazima waponde maana wanajua mjeshi anaenda kuomba kupitia CCM
  8. Kimetah

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    TTCL nawapongeza kuendelea kutoa huduma zenye garama nafuu. TATIZO. MAENEO YA BOMANG"OME WILAYA YA HAI HASA UKANDA WA CHINI MTANDAO UNASUMBUA SANA.KUMBUKENI TRENI INAANZA KWENDA MPK ARUSHA NA KUNA STATION KUBWA ZAIDI YA MBILI. BORESHENI MTANDAO WENU ILI WATU WASIJUTE KUNUNUA LINE ZENU. Taarifa...
  9. Kimetah

    Mkuu wa Wilaya Hai, Ole Sabaya usikubali kutegeka

    Nimekumbuka Wimbo mmoja wa zamani kwenye kiitikio una maneno "Hilooo umejidai mbabe sana, leo umepigwa na kijana mdogo, aibu imekupata" Pia, simulizi Moja ya Hayati Baba wa Taifa Mwl. Nyerere akiwaasa Watanzania wasisikilize kelele za watu bali waangalie lengo lao, alitoa mfano wa...
  10. Kimetah

    Katibu wa CCM wilaya Ya Hai Ndugu Kumotola afanya Ziara Hai

    Kazi Inaendelea Hai,ILANI YA CCM INATEKELEZWA. Ziara Ya Kustukiza iliyofanywa na Katibu wa CCM wilaya Ya Hai Ndugu Kumotola,akikagua utekelezaji wa ilani ya ccm Katika Kata Ya Bondeni,imekuwa ya mafanikio makubwa baada ya kutangaza neema ya ujio wa nishati ya umeme. Akizungumza katika shule ya...
  11. Kimetah

    Sakata la CAG: Viongozi wa Kiislamu wasema Spika ana ajenda ya siri

    Naandika Nafuta,naandika nafuta. Ngoja nimwachie Mungu
  12. Kimetah

    Kuonyesha Chaneli Za Tz kwny Visimbuzi.

    Naomba Kufahamishwa,hatua walizofikia kampuni za AzamTv na Dstv katika kuonyesha channel za Ndani
  13. Kimetah

    CWT mkoa Kilimanjaro wapata kigugumizi

    Kufuatilia sakata la mwalimu wa shule ya sekondari Lerai kuwekwa Rumande kinyume na sheria za utumishi wa umma na mkuu wa wilaya,chama cha waalimu CWT MKOA WA KILIMANJARO wamekuwa na kigugumizi cha kutafuta suluhu kati ya mkuu wa wilaya na waalimu wa wilaya ya Hai. Waalimu hao wamekuwa wakihoji...
  14. Kimetah

    Blogger Robert Alai(Kenya) atoa siri ya waliompiga Lissu risasi. Amtaja RC Makonda...

    Watanzania tunaakili timamu,huu ujinga kaeleze wengine sio waTz
  15. Kimetah

    Bomoa Bomoa Yatua Pasua, Moshi

    Taharuki,vilio na majonzi vimehamia manispaa ya moshi,mtaa wa PASUA baada ya kukuta nyumba zao zimewekwa alama ya X na maneno ONDOA na BOMOA. Zaidi ya wakazi mi2 waliojenga katika eneo lililopimwa na serikal mwaka 2005,wamevamiwa na watu wasiojulikana kwa kuandika kwny ukuta wa nyumba zao maneno...
  16. Kimetah

    DC-Hai Acha kuingilia taaluma ya ualimu

    Baada ya dc-hai ndugu Byakanwa kunukuliwa katika mahojiano na clouds FM wakati akijitetea kuhusu swala la kumweka ndani mwalimu,japo hakusema SABABU za kumweka mwalimu ndani,alisikika akisema ametunga mitihani kwaajili ya kidato cha nne. Katika kufatilia kauli hiyo mambo yafuatayo yamebainika...
Back
Top Bottom