Search results

  1. P

    Minister Sospeter Muhongo: THE ARROGANT

    Hawa watu wakiingia kwenye madaraka wanafikiri kuwa vyeo vyao ni vya milele hivyo mambo wanayofanya wanafanya ya kuangalia matumbo yao tu badala ya kufanya kazi kwa manufaa ya watanzania. Na kwa mtindo huu kashfa za ufisadi hazitaisha mpaka CCM itolewe madarakani vinginevyo tutaendelea kulalama...
  2. P

    Ajali mbaya ya gari na pikipiki, barabara ya Chalinze - Segera

    Tuwaombee wote waliopoteza maisha yao, Lakini cha muhimu ni hawa waendesha bodaboda huwa hawatii sheria wawapo barabarani ndio tatizo kubwa na huenda pia hawana uzoefu wa kutosha kwa ufahamu wa sheria za barabarani. Idadi kubwa ya vijana wamejiingiza katika biashara hii baada ya kukosa kazi...
  3. P

    Mkandarasi achota 3bn advance akimbia! Alipewa kujenga km 26 za lami wakati hana ujuzi wowote...

    Tanzania imekuwa kichaka cha kila mtu kuiba iwe viongozi, wafanyakazi wenye dhamana katika serikali, mashirika ya uma na kwingineko. Sasa unategemea nini kwenye kolipa kodi, kweli mtu hapa atakuwa na hali ya dhati ya kulipa kodi ili mradi hata hizo kidogo zinazopatikana zinaibwa kila kukicha na...
  4. P

    Mkandarasi achota 3bn advance akimbia! Alipewa kujenga km 26 za lami wakati hana ujuzi wowote...

    Tanzania imekuwa kichaka cha kila mtu kuiba iwe viongozi, wafanyakazi wenye dhamana katika serikali, mashirika ya uma na kwingineko. Sasa unategemea nini kwenye kolipa kodi, kweli mtu hapa atakuwa na hali ya dhati ya kulipa kodi ili mradi hata hizo kidogo zinazopatikana zinaibwa kila kukicha...
  5. P

    Amini usiamini Marando ndo anabomoa CHADEMA

    Hivi hujui kuwa watu kama hawa tunawahitaji? Inteligensia itatoka wapi? kila wakifanya mikutano yao na ufisadi wao, siku hiyo hiyo tunapata habari, wewe bado uko mbali acha watu wafanye kazi.
  6. P

    Kodi ya SimCard sasa kuanza mara moja!

    Naomba wahusika watueleze kwa ufasaha, Hizo simu za kuzimwa ni zile ambazo zitakutwa hazina pesa ya kulipia kodi au vipi. Na je hizo takwimu za milioni nane wamezipata wapi au ni simu ambazo hazijasajiliwa na makampuni ya simu. Naomba kueleweshwa. Maono yangu simu nyingi za walalhoi hazina...
  7. P

    Mwigulu Nchemba: Safari ya Zitto imefika mwisho

    Hayo maelfu ya watu wako wapi? Tafuta picha ya mkutano wa CDM uliofanyika hapo siku za nyuma uone maelfu ya watu. CCM kwisha wanamdanganya nani?
  8. P

    Serikali iko taabani kifedha

    Pesa zinatumika kuzidi bajeti halafu serikali inapeleka bungeni kuhalilisha matumizi kumbe pesa zimeshaliwa. Watanzania hawajui kuwa bado Bunge ni rebber stamp CCM ojee.................
  9. P

    Nimejiaandaa vyema kumtoa Malocha Jimbo la Kwela.

    Kwanza pole na wezi wa mchana kweupe kama ni kweli, Pili kama kweli umejipanga kumg'oa huyo Mh. tayari ungekuwa umekwisha wang'oa kwanza hao watendaji wa Kata kwa kutumia wananchi wa sehemu husika kama una uthibitisho wa kutosha hata kama Mkurugenzi anawalinda , tumia nguvu ya umma ili...
  10. P

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Hii hukumu iwe fundisho kwa wale wanaojiita wakereketwa kuingilia mambo yasiyo wahusu kwenda mahakamani kupinga ushindi usiowahusu. Lakini pamoja na hayo nadhani hawa walitumwa na mafisadi kupunguza nguvu ya CDM lakini wameonja joto ya jiwe na walipe gharama ili watu wa kutumwa wasifanye mzaha...
  11. P

    Kashfa ya kutisha jeshi la Polisi

    Kama M/Kiti wa CCM aliwaambia wajumbe kwenye mkutano mkuu kwamba sasa wasitegemee Polisi kuwasaidia katika harakati za M4Change, sasa ulitegemea hao Polisi watapata wapi pesa walizokuwa wanapata hapo awali? Lazima watafute njia nyingine za kupata mlo na zingine zinakuja zipo njiani tele tuwe...
  12. P

    Chadema watowa kichapo cha mbwa mwizi kwa wanaccm.ccm nan wamtowa nundu mwanatakukuru

    :A S 41:Mimi siwaelewi watz watatufikisha wapi, hivi hawa wanaopewa hongo hawawezi kuwatosa kwa kutowapigia kura halafu ikawa fundisho kwa rushwa?
  13. P

    Chadema wafanaya maandamano makubwa Namanyere Nkasi

    :A S 41: Hata hao Polisi wanapata adha ya huduma hiyo ni kutumia akili maana Polisi wengine ni mbumbumbu wanataka vyeo ili waonekane wanafanya kazi ya kulinda wala nchi P Leonard
  14. P

    Mgombea UDIWANI kata ya mwawaza ni mwizi - BABA YAKE mzazi

    Huyu baba anasema aliuza g'ombe wake kwenda kumuokoa mtoto wake Polisi siku chache zilizopita, cha ajabu ni kwamba ilikuwaje mpaka leo hii anagombea udiwani na huku alikamatwa na silaha? Au tuseme alihonga Polisi wakamuachie? hivi huyu mzee anaelewa anachosema au katumwa na mafisadi wammalize...
  15. P

    Sheikh Ponda akamatwa Dar!

    Tatizo ni maono, kama hawa wenzetu wangekuwa wanashughulikia mambo yenye tija wangepiga hatua lakini wa huyu Sheikh anawapotosha waumini wake kwa mambo yanayoleta chuki kwa dini zingine angalia mihadhara ya kila siku ,ni kashfa kwa dini zingine lakini selikali dhaifu imewapumbaza kwa kuwaachia...
  16. P

    Elections 2010 Hali halisi kabla ya kutangazwa matokeo majimbo ya Dar

    Hongera saana Mh. John Myika kazituliyofannya imetuletea ushindi mnono Mungu atupe baraka na Msimiziiwa uchaguzi aweze kutangaza bila kuleta mifarakano isoyo ya lazima. bila CCM inawezekana. Ni Mjumbe wa shina Sinza "C" Paschal Leonard Bashange
  17. P

    Je ni haki kwa Mali ya Wananchi kutumika katika mikopo ya Biashara Binafsi

    Huu ni wizi wa mchana kweupe kwani ni haohao CCM wanaendeleza ufisadi wa kila siku na huenda kwakuwa jimbo la Moshi limeshikwa na mbunge wa CHADEMA Mh. Philemn Ndesamburo basi ujue hapo kuna dalili za kuvuna kitu ili mapesa hayo yafanye kampeni chafu. Sio bure kupindisha sheria kwa manufaa ya...
  18. P

    Amos Makalla nje, Zhakia Meghji ndani!

    Sioni kama kuna la kushangaza maana wote ni kundi hilo hilo, wewe ulitegemea walio wasafi watatoka wapi?
  19. P

    kazi999

    Who blocked this page? How openly is being viewed? Please rectify this
  20. P

    VodaCom ni WEZI

    Inabidi uwe mkini maana kila kitu siku hizi ni kutegeshea na ukiteleza tu unaibiwa angalia vizuri wakati wa kujibiwa message unapoingiza cheka time vinginevyo utaliwa au usiwe kabisa na balance ya zaidi ya mia sita kwenye account yako
Back
Top Bottom