Search results

  1. T

    Majina na Tabia zake

    Akina DIANA,huwa ni vicheche balaa.
  2. T

    Mulimwo?

    Nabherewe chane kubhabhona umwu bhene data.Tuli kumwe bhakunzi.
  3. T

    Ni yupi mshamba zaidi kati ya hawa wafuatao

    Mshamba ni anayemponda mleta mada asijue kwamba hili ni jukwaa la utani na udaku.
  4. T

    Namna ya kuwezesha movie games ziplay kwenye....

    Pia wadau ni namna gani napaswa kufanya ili nipate connections za wireless internet? maana kwenye PC yangu hakuna mahali pa kuunganishia wireless internet na niliambiwa kuna drivers zinamiss,ni zipi hizo?
  5. T

    Namna ya kuwezesha movie games ziplay kwenye....

    Wadau nawashukuru sana,nimetumia maelezo yenu na nimefanikisha.Mbarikiwe.
  6. T

    Nyimbo gani utamchagulia x wako siku ya harusi yako?

    Msichana wa sura nzuri,ni kitu gani kinakufanya usiolewe...oooh baby......ona watoto wa nyuma yako,wameolewa wamekuacha ukiteseka'
  7. T

    Namna ya kuwezesha movie games ziplay kwenye....

    Naomba kwa wenye uelewa wanipe namna ya kuwezesha laptop aina ya Samsung kuplay game za movie(eg.GTA Vice city) kwani nikiplay inaandika "no enough video space to play this game".
  8. T

    hiki ni kiingereza?

    Ha ha ha ha ha ha ha ha ha,na wewe kumbe mkali, does not.........answered!
  9. T

    Wanawake wa kiiraq

    Hawajui NO wanajua YES tu.Usithubutu kamwe kuoa mmbulu.Mi mpaka leo najiuliza hawa wairaqw wana shida gani?mbona wakitongozwa hawakataagi?
  10. T

    Boom Boom!jamani

    Wale wa UDSM waliosaini mapema account zimeshasoma fresh.
  11. T

    Aliyepangiwa MAIN CAMPUS wakati yeye anataka MABIBO

    Mi mwenyewe nilitaka kubadilisha kwenda main campus lakini nimeshauriwa nibaki mabibo kwa sababu kuna mazingira mazuri kwa kujisomea,miundo mbinu mizuri,mazingira mazuri ya kupata msosi popote na usalama wa kutosha.
  12. T

    room allocation kwa 1st year wote udsm.

    Makuzi hawa wamenipanga Mabibo,dah!
  13. T

    The Top 10 Most Intelligent People in the World

    Dah!watu wana mauwezo asee!
  14. T

    Wapi tuition ya Physics A level Dar? mdogo wangu analia sana

    Aende Mchikichini atamkuta Moddy au Victoria academy kariakoo atamkuta Mgote.
  15. T

    Direct cost udsm

    Total direct cost payable by student ni 77400.Hii inahusisha ID card fee,DARUSO fee,Medical examination fee,caution money na registration fee.Ila kuna vitu viwili bado sijajua utaratibu wake,ambavyo ni accomodation na kiasi cha tuition fee kinachopaswa kulipwa hasa kwa wale ambao hatuna 100% ya...
  16. T

    Kama hujajua kama umepata LOANS from HESLB tupia form index no usaidiwe

    Wala usiwaze ndugu,kata rufaa tu watakuelewa.Maadam kozi yako ni priority naamini utapata.
  17. T

    HESLB acheni uonevu

    Mwaka huu majanga,hakuna cha Bsc wala BA wote mwendo wa karata.Yuko jamaa yangu kafanyiwa kitu mbaya sana pa1 na Bsc yake,duh!
Back
Top Bottom