This is where your problem begins! Kwasababu ya marks ulizopata ukiwa form six ulijiona you deserve better na baada ya kufika kazini ukakutana na walimu ambao kwa mtazamo wako unaona ulifaulu zaidi kuliko wao, sasa nafsi yako haijawahi kukubali maisha iliyonayo. Trust me with that kind of mind...
[emoji3][emoji3][emoji3] Hii post ni ya mwaka jana sijui kama kijana Mayunga234 alishapata uelewa wa haya mambo ya takwimu na tatizo kuwa mwajiri! Kuna post hapo juu, anakuambia "Lala usitusumbue" akili halisi za vijana wengi wa kitanzania wasio na uelewa na wanaojiona wajuvi wa mambo...
Hakuna zawadi kubwa na ya pekee aliyopewa mwanadamu kama kifo.
Kifo kimetufanya tuwe na uwezo wa kupambana na mazingira yetu na kuja na gunduzi nyingi zisizo na kifani.
Kifo kimemfanya binadamu agundue namna ya kuugawa muda wake kwani hatimaye kuna ukomo wa kuishi.
Kupitia kifo mimi najua...
Tunaishi kwasababu tuna nafasi katika mzunguko wa kiikolojia, vipi kama sisi ndio tunafugwa na miti ili iweze kupata hewa ya kabonidayoksaidi.
Tupo ili kulite ulinganifu kwenye kanuni za kimaumbile za ulimwengu (law of nature).
Hauna tofauti na sisimizi mkuu.
Chukulia mfano wa Jambazi aliyeokoka kwa imani ya kikristo, anapoingia kanisa ni akakiri kwamba kuanzia leo mimi naacha wizi na kumjua Mungu, hapo nani amekuwa amebadilika?
Mtazamo wa jamii kwenda kwa jambazi wetu wa zamani hapa una nguvu kubwa.
Ghafla jamii itaanza kujikita kuangalia mazuri...
Umepewa akili pamoja na mazingira yote yanayokuzunguka ili uweze kuyageuza kwaajili ya manufaa yako, mfano kuchonga miti kwaajili ya makazi, chuma kama zana na nyenzo za kufanyia kazi.
Tofauti yetu inakuja pale tu tunapotofautiana namna tunavyopambanua mazingira yetu, maisha yetu yote ni jinsi...
Tuwe na imani na wataalamu katika nyanja zao, taili za ndege sio kama za baiskeli mkuu! Amini kwamba mtoa taarifa anajua vizuri mambo ya ndege kuliko wewe, kwa ulimwengu huu wa Google hata wewe unaweza kujipa elimu juu ya masuala hayo yote
Huyu sio wewe FaizaFoxy labda kama ulimwachia mwanao akaunti aitumie baada ya the real faiza kufikwa na umauti. Faiza ninayemfahamu lazima angejua kuwa Marekani haijawahi kuwa na kiongozi wa dini ya Allah lakini ni nchi yenye uchumi mkubwa, hoja yangu ni kwamba Mataifa yote duniani yanayofanya...
@FaizaFoxy You are too smart to come up with such allegations!! Kwamba uongozi ili uwe bora lazima aongoze mtu kutoka dini ya Allah.
Kumbuka Faiza humu ndani tupo sisi memba wa muda mrefu, na kwa michango yako humu ndani wengine tukawa kama wafuasi wako ukiondoa kipengee cha dini ambacho kila...
Linapokuja sawa lolote baya akili ya mwanadamu imekuwa ikilisusa bila kutegemea, ni rahisi sana kususia habari za kifo mtandaoni na kutafuta vichekesho au habari za kufurahisha, Sio bahati mbaya ila ni maumbile asili ya mwanadamu.
Lakini hoja uliyoleta mkuu ni nzuri kwa mwanadamu yeyote ambaye...
Mbona unamkingia kifua Yesu, zamani pombe haikuwa haramu, imeharamishwa na makanisa baadaye na ndio maana akili zenu nyembamba zinashindwa kuumeng'enya huo ukweli. Hivi ni sawa na ulivyoambiwa mara nyingi sana kuwa Mungu yupo, ghafla atokee mtu aseme Mungu hayupo utabisha bila ushahidi kwasababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.