Yaani baada ya kujua kuna wanaume walijifungua hata hamu ya kujadili ikaishia hapo,hata ungekuwa wewe nguvu ungeitoa wap ??Tanzania hii watu wanasiri sana yaan wanaume wanajifungua huko hata hamsemi
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaalllllllllllllllllĺlllllllllllllll Kagereee baba.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Raha ya milele uwajarie eeeh bwana ..................................wapumzike kwa amani shughuli kwishnei
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Za ndani kabisaaaaa "inasemekana kipindi cha pili kosa walilofanya ni kutumia ac za vyumbani hivyo kujikuta hawana nguvu kabisa kipindi cha pili bado tunaendelea na uchunguzi"
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.