Search results

  1. salumu mitema

    Yaliyojiri kikao cha dharura UN kujadili Gaza

    Ni kweli lkn wale waandamanaji hawakuwa na chochote. Huoni kama nguvu kubwa imetumika? ?
  2. salumu mitema

    Yaliyojiri kikao cha dharura UN kujadili Gaza

    Hilo ni kweli mkuu lakini unanishangaza unapofumbia macho maovu ya hao Israel ,unataka kuniambia kwa wale above 18 ni halali kuuawa? Watu 60+mkuu kuuawa ni wengi sana
  3. salumu mitema

    Mwili uliokufa kuweza kurudishiwa uhai ndani ya maabara kubwa

    Mkuu zikija mada za Israel na Palestine unaweka wap akili zako? ?
  4. salumu mitema

    Yaliyojiri kikao cha dharura UN kujadili Gaza

    Mkuu nakukubali sana lkn siamini kwa hiki unachopost, linapofikia sual la Israel na Palestine naona akili zako unaweka mfukoni. SIAMINI
  5. salumu mitema

    Hii Sio Habari Njema Kwa Ayatollahs!

    Mkuu kidogo naona unaanza kukomaa kwenye ishu za kimataifa,
  6. salumu mitema

    Syria yasemekana yapigwa tena makombora

    We jamaa chukua 5
  7. salumu mitema

    Bustani ya Edeni ni kweli ilikuwepo na ilikua sehemu gani hapa duniani..?

    Mkuu umepanic sana ,nipe ushahid kuwa musa ndiye kaandka hvo vitabu
  8. salumu mitema

    US, UK and France launch airstrikes in Syria

    We jamaa nakukubali sana, japo una ushabiki kiac
  9. salumu mitema

    Je, biblia ni copy & paste ya hadithi za kale za kipagani na sio UHALISIA?

    We jamaa sikubaliani sana na unachoamini, lakini unatumia lugha nzuri sana, unajibu kwa facts
  10. salumu mitema

    Waasi wanaoungwa mkono na Iran nchini Yemen waushambulia Mji mkuu wa Saudia Riyadh kwa Maroketi

    Mkuu acha uongo, una ushahidi kuwa saudia anatumia patriot?
  11. salumu mitema

    Yeriko Nyerere, Shirika la Majesuit la Kanisa Katoliki siyo majasusi kama unavyodanganya

    Mkuu haya maswali magumu, ningeshangaa kama ungejibu
  12. salumu mitema

    Ukweli kuhusu viumbe wa ajabu wanaovamia dunia.

    Nimesoma kitabu cha dan brown k8naitwa deception point kiukweli hayo mambo hayapo, watu wanafanya technology zao ila wanazugia aliens ili kuwaficha watu
  13. salumu mitema

    Korea Kaskazini yarusha kombora la masafa marefu zaidi linaloweza kutua sehemu yoyote duniani

    Ze kukoyo japo we ni pro America lakni unachambua vzuri sana. Big up kaka
  14. salumu mitema

    Australia wapiga kura kwa wingi kuruhusu ndoa za jinsia moja

    Mashoga ndo wamesababisha nchi yenu kuwa maskini? Mashoga ndo wamesababisha ifisadi? Mungu atawahukumu sio nyinyi
  15. salumu mitema

    Kuna umuhimu wa kutegemea technology kujikinga dhidi ya mashambulizi ya silaha za nuclear?

    Sawa mkuu umeeleweka, sasa tupe pumzi tule chakula ya ubongo kutoka kwa mbobezi
  16. salumu mitema

    Kuna umuhimu wa kutegemea technology kujikinga dhidi ya mashambulizi ya silaha za nuclear?

    Sasa mkuu nimeanza kuwa na wacwac na wewe, nahic hujamwelewa mtoa mada, au unataka ubishi kuharibu mada
Back
Top Bottom