Kasema juzi mujahid twendeni kwa wananchi na marufuku hizo media zote zimekatazwa kurusha mikutano ya wapinzani.Jana nilijiuliza hando alifukuzwa efm,huenda na wasafi akafukuzwa.KAMA MKURUGENZI WA VIPINDI ZINAKUTOSHA jiuzulu.
Mabwawa mengi yanayotegemea mvua utendaji wake sio mzuri na mara nyingi tope hujaa na kupunguza ufanisi.Tuna jua la kutosha,tuna upepo wa kutosha yanini kutumia mapesa kibao kujenga bwawa linalotegemea mvua?
Jaribu kujitambua hata kidogo,just wait mabadiliko ya tabia nchi ni halisi muda utajibu kila kitu na mtandao hua haufutiki wala hausahaui let me screenshot huu ujumbe na after six months jibu litapatikana
Sasa alienda mahakamani kufanya nini? Nionavyo hii kesi haitaisha mpaka 25 maana hawa wakitolewa bungeni pesa ya mabeberu ya democrasia.Ndio maana ndugai na mwenda walikula dili na tulia kesha pewa maelekezo sijui jaji atahukumu vipi.Tusubiri majibu ya mazungumzo desemba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.