Search results

  1. kui

    Former official denies Trump's phones were tapped

    Hehe, the visible evidence they have so far is Spicer's. 'wiretapping VS wire tapping' Haki ya nani..
  2. kui

    Former official denies Trump's phones were tapped

    Tehe teh!, acha tu, washindwe wenyewe sasa. Script is right here. :) Naona DOJ wameomba muda zaidi kutafuta evidence za wiretapping, FBI sijui watasemaje hiyo kesho.
  3. kui

    Former official denies Trump's phones were tapped

    Hahaaa!, thanks, that's it for now. :) Asee huu mziki si mchezo, and now Comey is in?!, ndo kabsa, unogile.
  4. kui

    Former official denies Trump's phones were tapped

    ..Zactly!, at least za mwaka jana na juzi. Like where are they?!
  5. kui

    Former official denies Trump's phones were tapped

    Imma need a bottle... of wine that is, popcorn hazifai tena kwenye hii movie. :)
  6. kui

    Former official denies Trump's phones were tapped

    "You know you are desperate for ratings when you are willing to violate the law to push a story about two pages of tax returns from over a decade ago," the official said Tuesday"... o_O:) Yaani taxes za 2005 wanatoa leo? Nikafikiri ni recent ones, wanajaribu kumuwahi Comey..
  7. kui

    Former official denies Trump's phones were tapped

    Hahaa, his famous line. "You're Fired" :D Asee inawezekana this's a payback time. Halafu the way Comey treated Hillary with the email issue, the positive and the negative, kujichoresha na kuonekana kupendelea Repubs, halafu leo prez is acting up the way he does? Acha tu aboreke. Asije toa...
  8. kui

    Former official denies Trump's phones were tapped

    Umenikumbusha kile kipande cha taxes za mkulu kuna mtu aliwapelekea NYT, kumbe kaomba wampelekee. WH waombe asipate, akizipata tu anazimwaga kweupe. Teh!, halafu Trump alimfagilia wakati wa Campaign. Lakini hii ya Comey ni shughuli, he must be so over with everything going on.
  9. kui

    Former official denies Trump's phones were tapped

    ...the Hell!!!, go Coomey...lol! Atakuwa ameboreka na boss wake ku tweet kuhusu wiretapping bila ushahidi wa kutosha. Kama ilivyosemwa, Comey aliona wamewekwa pabaya na hizo tweets, institutionally. Ndo maana hata akaomba DOJ waseme chochote kukanusha, nao sijui wakakausha kwa muda. No wonder...
  10. kui

    Former official denies Trump's phones were tapped

    Heheh, I know right! Wasije anza kumwangalia jamaa kwa jicho la pili kutoka hii habari kama walikuwa hawajafanya, Ukizingatia anavyo enda na nchi. Assange noma sana, hivi si alitishia hata kudondosha bomu la taxes za boss?
  11. kui

    Former official denies Trump's phones were tapped

    BAK mwenzio akinyolewa lowanisha kichwa. Jamaa anawarudia sasa. Mike Pence responds to 'absurd' accusations from Julian Assange of a White House 'takeover' plot .."Assange continued: "Two [intelligence] officials close to Pence stated privately this month that they are planning on a Pence...
  12. kui

    Former official denies Trump's phones were tapped

    ..walistaajabia ya Bush W. Asee 45 ni kiboko.
  13. kui

    Former official denies Trump's phones were tapped

    This will probably be the game, for the next 4 yrs.
  14. kui

    Former official denies Trump's phones were tapped

    MCCain nae kashikilia hili. Halafu swahiba wake Lindsey G. nae akasema "I'll get to the bottom of this" Knowing that there isn't, and might not be evidence for this. Hawa wawili kama hawana hidden agenda, na wasivyopatana nae.. Halafu walimpa mpaka leo awe amewapa ushahidi. Au ndio huo ushahidi...
  15. kui

    Former official denies Trump's phones were tapped

    Duh!, spinning at its best. So I guess they decided the best way to save Prez from this unsubstantiated allegations is to spin this in their favour. Ama kweli, working for 45 is a job and a half. :)
  16. kui

    Former official denies Trump's phones were tapped

    [emoji2] [emoji2] [emoji1]
  17. kui

    Former official denies Trump's phones were tapped

    "One notable exception, the travel site Hopper reports, is that travel bookings to Russia jumped 54 percent."... Huu uchokozi sasa. :D
  18. kui

    Former official denies Trump's phones were tapped

    '2.1 Trillion US tourism industry to worry. Not good. Halafu travel ban yake ya Jan Airline industry walipoteza almost $200 million.($185 million) Kazi ipo.
Back
Top Bottom