Search results

  1. X-PASTER

    Scholar and political writer Professor Ali Mazrui has Passed Away

    Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
  2. X-PASTER

    Kuna uhusiano wa kuota ndoto mbaya ukilalia mgongo (Chali)?

    Mara nyingi wanaopata ndoto za kutisha au kuhisi kukabwa wakiwa usingizini, ni matokeo ya mgandamizo wa nerves au wakati mwingine kunasababishwa na kushiba sana au kuvimbiwa. Ulaji wa chakula kingi kabla ya kwenda kulala si mzuri, kwa sababu kunasababisha tumbo kukugasana na diaphragm, na hi...
  3. X-PASTER

    Faida za ulaji wa pilipili kwa mwili wa binadamu

    Sina uhakika kuhusiana na saratani ya tumbo, ila wengi ninao wafahamu wamekuwa wakusumbuliwa sana na kiungulia na wengine vidonda vya tumbo. Pilipili kichaa = Bird Pepper Pilipili Mbuzi = Scotch bonnet pia zimefanana na Carolina Reaper
  4. X-PASTER

    Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

    Fungua Link Hii: CHAPATI
  5. X-PASTER

    Wataalam wa lugha naombeni mnisaidie kutafsiri maneno haya kwa lugha ya kiswahili

    Recipes - Mapishi Cuisines - Upishi, Mapishi. Main Dish - Chakula kikuu Side Dish - Kitindamlo Appetizers - V/Kiamsha hamu
  6. X-PASTER

    sheria ya mirathi msaada please

    MIRATHI & MFANO WA KUANDIKA WOSIA. Imeandaliwa na: Utti. A.Mwang’amba: Centre for Widows and Children Assistance (CWCA) S.L.P. 60202, Simu: 0754 693892 or 0787 088513 Barua pepe : childrenwidows@yahoo.co.in or widows.children@gmail.com Dar es Salaam, Tanzania. East Africa 1.0...
  7. X-PASTER

    Tujikumbushe vitabu vya zamani

    Jaribuni kwenye maduka ya vitabu, uko mitandaoni sidhani kama vinapatikana.
  8. X-PASTER

    Tujikumbushe vitabu vya zamani

    Tafuta vitabu vya Muhammed Said Abdulla, akitumia rakabu ya Bwana Msa... Vitabu ambavyo ameandika ni hivi: Kisima cha Giningi Dni Kuna Watu Kosa la Bwana Msa Siri ya sifuri Mwana wa yungi hulewa Mzimu wa watu wa kale Mke mmoja waume watatu Duniani kuna watu Kisima cha Giningi.
  9. X-PASTER

    MAZISHI yalifanyika?

    Simulizi inaendelea hapa: Mwili uko chumba cha kuhifadhia miili hosptali marehemu yuko nyumbani
  10. X-PASTER

    Sheria inasemaje kuhusu hili?

    Tafuta wakili aliye karibu nawe anaweza kukushauri jinsi ya kufanya... Usikubali au kumwamini mtu yoyote katika mambo ya kufanya biashra na mtu bila ya kujuwa haki yako na huyo unayetaka kufanya naye biashara.
  11. X-PASTER

    msaada waheshimiwa

    Waajiri wengi upenda kuajiri watu walio na uzoefu, nawe kwa sababu huna uzoefu unaweza kuomba kujitolea kwenye mashirika mbalimbali yalioko karibu na wewe, ili kupata uzoefu, uwezi juwa utendaji wako wa kazi unaweza kupendwa ukapata ajira
  12. X-PASTER

    Urithi unaenda kwa nani?

    Familia iliyofiwa itagawana mirathi kulingana na aidha itikadi/imani ya dini yao, au watatumia mahakama kuhamua jinsi ya kugawana mali, wakati mwingine sheria za kimila utumika katika kugawana urithi. Kumbuka kwamba urithi ni haki ya kila mtoto aliye hai. Kwa swali lako unabidi ufafanue...
  13. X-PASTER

    Ayubu Van Damme Baada ya Jela Ukorofi kama kawa!

    Kuna kisa kimoja, huyu jamaa aliiba msikitini pale Sinza, akawa anatafutwa, sasa kwa kutegemea zile nguvu zake, wakawa wanashindwa kumkamata... Ikashuriwa waitwe vijana kutoka Mtambani, wakaja vijana kama watatu hivi...! Baada ya masaa kadhaa, wakamleta akiwa nyang'anyang'a, uku kabebwa. Sasa...
  14. X-PASTER

    Kwa wale mnaopenda 'Mambo ya Mombasa', tahadhari sana!

    Mkuu hii si ungepeleka kule kwa jamii chef, labda unaweza pata watakao penda hiki kitoweo kaka.
  15. X-PASTER

    Top chef shortcuts to save you time in the kitchen

    Shukrani kaka... ndetichia
  16. X-PASTER

    Sizitaki Mbichi Hizi!!

    Wengi wakisoma ilo shairi, walikuwa ni watoto ambao akili zao zilikuwa bado ni changa, lakini ukilisoma tena na tena, utagundua kuwa kuna mazingatio makubwa sana kwenye ujumbe wa ili shairi.
  17. X-PASTER

    Unazikabili vipi changamoto za choo cha kukaa?

    Kuchutama (Squatting) Njia Salama ya Kwenda Haja Health Benefits Research has indicated that squatting toilets have several advantages. Makes elimination faster, easier and more complete. This helps prevent "fecal stagnation," a prime factor in colon cancer, appendicitis and inflammatory...
  18. X-PASTER

    Mhindi akaniuliza naolewa lini, nikarusha ngumi………!

    Ah ah ah, sijawahi sikia kiinglishi icho...!
  19. X-PASTER

    Mhindi akaniuliza naolewa lini, nikarusha ngumi………!

    Ukitaka kumuuliza mwanamke wa Kiingereza kwa niya ya kuoana naye unamuuliza vipi?
Back
Top Bottom