Search results

  1. warumi

    Rais Samia, hayupo mchawi, pafahamu ulipotuchanganya

    Tulivyokua tunawaambia hakuna rais mlikua mnatuona machiz,, na bado
  2. warumi

    Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

    I wish Tz kungekua na wapelelezi wazuri wa kufuatilia mikasa ya kusisimua kama hii, wenzetu wangechunguza hadi history Nzima ya Jamaa toka alivyozaliwq wakajua why alifanya alichokifanya
  3. warumi

    Lulu ajifungua mtoto wa kiume...

    Hiyo ni bei ya private room, achilia mbali matibabu binamu, sio mchezo... hospital yenyew c mchezo, sio kina kajamba nan wakizalia aga khan wanajiona ma don
  4. warumi

    Lulu ajifungua mtoto wa kiume...

    Habari za chini ya kapet zinasema, mcheza filamu mwenye mvuto wa aina yake, Elizabeth Michael (lulu), amejifungua kwa operation katika hospital ya saifee, unaambia katika hospital hiyo kwa siku wanatoza 1M, kweli lulu kabarikiwa, Mungu ampe nini mtoto wa watu, mume tajir, ana mtoto dah
  5. warumi

    Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

    Halafu usiku analala chini na joka kubwa
  6. warumi

    Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

    Kanunua gari ya ndoto za watu sio yake, domo anajitesa sana , amefanya Hayo yote kushindana na watu , watu ata waweza kweli?, all in all kuna wenye pesa zaidi yake akae akijua hilo... na akiendekeza sifa za kijinga watammaliza, watu hawapendi stepz zake
  7. warumi

    Paula anaweza kuwa msichana mwenye mafanikio mpaka dunia ikashangaa

    Umaarufu una mwisho wake , Elimu haina mwisho msimpotoshe, wako wapi akina nora? , wema?
  8. warumi

    Munalove amvalisha Bobrisky

    Mwenzio anasema shepu yake after surgery
  9. warumi

    Nimefurahi Diamond kukosa tuzo

    Si kashaweka wazi hisia zake Jaman , mi mwenyewe mchawi kama yeye , nimefurah kama nini
  10. warumi

    Munalove amvalisha Bobrisky

    Mmh huyu shoga kidawa c mlokole Jaman , imekuaje tena , ila ninachompendea Muna linajua kujipendekeza kwa watu wa maana, ila atengeneze tu pesa, hayo mambo ya ushoga wa bobrisky hayamuhusu[emoji16]
  11. warumi

    Ajali Morogoro: Gari liliwekewa Mashada ya Maua na abiria waliomboleza ili kukwepa Doria ya Polisi

    Wawekezaji wamerud kwa kasi ya 6G, kule majambaz yametolewa jela, huku wachawi na wao wameruhusiwq kunywa Damu hadharan, ccm mbele kwa mbele
  12. warumi

    Zari na Diamond kuja na reality show yao on Netflix

    Unazungumzia the real housewives of Johannesburg au?, niliona ka clip Zari alipost kuhus RHWJ kitambo kidogo
  13. warumi

    Zari na Diamond kuja na reality show yao on Netflix

    Can’t wait for this , hii show itakua ni [emoji91][emoji91], wabongo mkae mkao wa kula mjifunze maana ya reality show sasa, ngojen wakina Zari wawatoe ushamba kidogo
  14. warumi

    Zari na Diamond kuja na reality show yao on Netflix

    This is what I have been expecting from Zari , Sasa mastaa wabongo mtulie mjifunze maana ya reality show kwa Zari sio reality show zenu hizo fake za Instagram, can’t wait for this [emoji91] Can’t wait for this , hii show itakua ni , wabongo mkae mkao wa kula mjifunze maana ya reality show sasa...
  15. warumi

    Ajali Morogoro: Gari liliwekewa Mashada ya Maua na abiria waliomboleza ili kukwepa Doria ya Polisi

    Mama samia kafungulia had wachawi wanyonya damu, kazi iendelee[emoji23]
  16. warumi

    Hivi kweli Rais Samia umedhamiria kuleta maendeleo nchini?

    Mwachen mama afanye kazi , Mama 50 tena
  17. warumi

    Hivi kweli Rais Samia umedhamiria kuleta maendeleo nchini?

    Mimi nimelia sana nikamkumbuka magufuli, huku tunakopelekwa mmh
  18. warumi

    Hivi kweli Rais Samia umedhamiria kuleta maendeleo nchini?

    Tulivyokua tunawaambia awamu hii hatuna raisi tunaishi kwa matumaini mlikua hamtuelewi? Sie wengine tumeshachoka Na hii awamu tayar
Back
Top Bottom