Hivi wewe kaka umeamua kujitoa ufahamu kabisaaaa, ulikuwa na reputation nzuri sana na watu walikusikiliza lakini sasa naona umeondoka katika kipindi ambacho tulikuhitaji sana. Heshima ya mtu hutokana na mambo ambayo anayafanya kila siku, yenye maslahi kwa jamii nzima, ukifa watu watalia kama...
research iko wapi tu google tusome from source, au ni mtazamo wako tu. maana nikiangalia naona kama yote umekosea nao huo ni mtazamo wangu tu. Tunataka tuone imefanyika lini, wapi, sample size, na target group(age) na mengineyo
Kuna mambo ambayo huwezi yazuia, kama rais mwenyewe alishindwa kumuweka membe mpaka akakatwa, hilo somo. Hasmuwezi zuia mabadiriko mwaka huu, hata shetanio atapewa urais ila si CCM.
Anayefuata ni "Mbatia". Kwa mtazamo wangu kuna watu huwa nawaona kama sio wapinzani mila wapo kwa ajiri ya matumbo yao tu. Orodha yangu ni hii:
Nisiowaamini:
1. Mbowe
2. Lipumba
3. Mbatia
4.
wapinzani wa kweli
1. Dr Slaa
2. Tundu Lissu
3. Mnyika
4. Maalimu seif
5. Hamduni Juma
Hao watatu wa...
Nawaza kama timu CHADEMA niijuayo itakuwa bungeni, halafu tukaongeza Kubenea, Kibanda, Prof. J, Roma na wengine wengi. Tutakuwa tunaacha mechi za premier, na za nchini kuwahi kuangalia Bunge.
Kwa nini nimewataja hawa? Kwa kuanzia, wana sifa moja inafanana, nayo ni "Hawana woga penye ukweli"
Hivi kwa hali ya kawaida mimi nikijiangalia nikikimbia familia yangu na endapo mke wangu hafanyi kazi miezi mitatu tu hali itakuwa tete???? think about it? Then mtu anakuja kujilalamisha hapa eti mke ana kosa that is stupid !! Hebu kwa mfano nyumba yako hiyo ingekuwa mil. 50, matumizi ya watoto...
Du kaka wewe ni source ya matatizo yote hayo miaka yote hiyo ulitegemea mkeo aishije na watoto, hata kama angeuza nyumba yako angeshaimaliza hela hiyo. Hivyo muombe msamaha na nyumba mwachie na kikubwa watoto wapo mshukuru Mungu.
yule namhurumia ni JK type hawezi pambana na CHADEMA kwenye mdahalo hata siku mpja. Mdahalo lazima uwe unajua kupanga maneno yule hamna mpango wa maneno hata kidogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.