Search results

  1. M

    Mjengwa alonga 'live'!

    Hii ni kutoka mjengwablog... Katika kila tufanyalo, tukumbuke, kuwa kuna Watanzania wenzetu kwa mamilioni ambao hawana huduma muhimu kwa mwanadamu. Kuna lazima ya sauti zao kusikika; SIKILIZA: http://kwanzajamii.podomatic.com/enclosure/2009-03-24T12_18_02-07_00.mp3
  2. M

    Mjengwa atangaza rasmi gazeti jipya

    ( ni kupitia mjengwablog Pichani ni jina la gazeti jipya la ' Kwanza Jamii' linalotarajiwa kuonekana nchini kote kuanzia Machi 31, 2009. Ni jarida la uchambuzi wa masuala yanayohusu na kuigusa jamii. Haya ni pamoja na siasa, uchumi, elimu, michezo na utamaduni. Kuna masuala mtambuka pia kama...
  3. M

    Mjengwa ajibu: Tumejipanga upya,Tunakuja!

    Kuhusiana na kuacha kuandikia raia mwema Mjengwa katoa ufafanuzi huu kwenye blogu yake ( mjengwa.blogspot.com) Taarifa nilizotoa humu bloguni kuhusu kupumzika kwangu kuandikia ' Raia Mwema' na kuondoka kwa gazeti la ' Gozi Spoti' mitaani zimepokewa na baadhi kwa mitazamo tofauti. Na ibaki...
  4. M

    Mjengwa:Nimepumzika Kuandikia Rai Mwema

    Hii nimeisoma mjengwablog; Nimepumzika Kuandikia Raia Mwema Kwa wasomaji wa makala zangu, Baadhi yenu mmeshangaa kutonisoma kwenye ' Raia Mwema' toleo la jana. Nawajulisha kuwa nimepumzika kuliandikia gazeti la Raia Mwema ili niweze kuwaongoza wenzangu tulioshiriki kuandaa gazeti la Gozi...
Back
Top Bottom