Sio kweli wakati mwingine familia inakua chungu kuliko watu wengine wanavyo kueshimu na kukujari, faidha amekwenda kwenye media wakati kiukweli kuna mahakama na ustawiwajamii, kuna familia pia ambavyo vyote vinaweza kutoa maamuzi mazuri lakin si media ambayo mchango wake huwa si mzuri maana huwa...
Nisawa unavyo sema lakini sivyema kukumbatia matatizo ambayo yanatutafuna kimya kimya maana kwa upande wangu siwapendi kabisa wanasiasa maana wengi ni wanafiki na wazuri wamemezwa kwenye kundi la wanafiki. Ivyo ndugu tulipofika kwa sasa sio pazuri na tunapoelekea ni pabaya zaidi
Wakati mwingine ni bora kuingia gharama kuliko kuendelea kupigana na kumwagiana tindikali. Wao wanataka zanzibar yao iwe huru kwa nin tung'anie au mpaka tuanze kuchinjana kama wanavyofanya wenzetu ndio tuone kuwa tunaitaji suluhu! Mh j. Warioba kafafanua vizuri sana na kajitaidi kuonesha mzizi...
Tatizo unazani kurudi kwenu ukiwa kwenye nchi za watu nisawa na kupanda baiskeli kwa jirani. Huko kunataratibu na pia ratiba za ndege pia zinakua tofauti.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.