Search results

  1. B

    Rais Rais Rais...... Membe bhana

    Membe ni chapati kama chapati nyingine tu! Awe rais wa familia yake labda!
  2. B

    Ccm wanashinikiza kura ya wazii

    umoja ni nguvu utengano ni udhaifu!
  3. B

    Iringa sehemu nyingi zinaanza na "I" Nini maana yake?

    I ni kiambishi awali cha nomino zote za vitu katika lugha ya Kihehe isipokuwa majina ya watu na baadhi ya vitu kama shamba miti! Kwa mfano iwapo msemaji anataka kusema "Jogoo anawika" Atasema: "Inzogolo yivika" That is all about I in Kihehe!
  4. B

    Mjenzi aanguka kutoka goropha ya sita Maeneo ya Ilala

    Wenye magari wengi vburi sana! Pole zake mjenzi jamani. Vp amepata matbabu?
  5. B

    Mavazi ya kanisani balaaa...

    Mungu wa kweli anawajua walio wake!
  6. B

    Matukio makubwa yalitokea Nchini 2013.

    Kwangu mwaka 2013 ulikuwa mgumu sana na matukio mabaya mengi kama ya vijana kuwa punda wa kusafirisha unga kama akina mangwea, ...
  7. B

    Mchawi akamatwa jijini Dar na kuuawa baada ya kudondoka na ungo

    Mchawi??????? Mshahara wa dhambi ni mauti! Wngine wajifunze na wakome kusumbua watu!!!!!!!!!!!!!!!:sleepy:
  8. B

    Friends of Edward Ngoyai lowassa Ndossi special thread

    Lowassa ndio Rais wa Tanzania 2015 asiyetaka bassssssssssssssssssssss!!!!!!!!!!!!!!!!!:bange:
  9. B

    Askofu wa Geita ni adui wa Tanganyika.

    Mtoa mada uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana!!!!!!!! Sema hujamwelewa:cool2: au ulipata division v? Pole sana:crazy:
  10. B

    CCM vs CHADEMA;NANI MTANI JEMBE? KUKOMESHA UBISHI PIGA KURA YAKO SASA!

    ccm ni kama mlima Kilimanjaro na cdm kama kichuguu!
  11. B

    Natupa line ya voda sasa

    Mie natumia baba lao maana voda waliniibia sana eti naeka vocha wanachukua nzima hawana hata aibu hawana! washindwe na wall walegee!
  12. B

    El al israel airlines scheduled to land at kia weekly effective from april 2014

    Wengine wanafikiri kwa kwa kutumia mak---o cjui?
  13. B

    Tukio Kisesa limethibitisha mwenye pesa ndo huthaminiwa

    usihukumu usije ukahukumiwa maana kipimo upimiacho ndicho utakacho pimiwa!
  14. B

    Mkutano wa chadema soko kuu Arusha

    Wajinga wajinga wote wanaamini chadema ndo chama kizuri hapa Tanzania!Fanyeni kazi nyie vijana msiwe kama mazombi!!!
  15. B

    Mikoa yenye mabilionea wa ukweli ni ipi??

    Hata Iringa wapo wengi tu jamani!!!
Back
Top Bottom