Search results

  1. simbamzeewamwakidila

    UKIMWI upo ndugu zangu

    Chuo kinatangazwa redioni ukifika panda ghorofani mango wa Kwanza kushoto
  2. simbamzeewamwakidila

    Radi ya Maajabu yapiga Tanga, TMA toeni Taarifa

    Yahe wa tanga huyo laini laini hajasikia radi toka azaliwe
  3. simbamzeewamwakidila

    DOKEZO Barabara ya Mbezi Luis kwenda Mpigi Magoe ni mbovu sana, Wananchi tunateseka jamani

    Barbara nyingi jijini ni mbovu mfano kibamba kwa mangi ukielekea kwa mpemba au mdidimua sijui hata kama manispaa wanajua Mie binafsi hata sielewi diwani wa huko anamuwakilisha Nani. Ningekuwa ni mapenzi yangu huyu diwani akija omba kura tena afukuzwe
  4. simbamzeewamwakidila

    Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

    Hili nafikiri la maaskari wote na watu wa media
  5. simbamzeewamwakidila

    Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

    Kweli hawa mabwana huwa wanaona Wako juu ya kila kitu
  6. simbamzeewamwakidila

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nipo shinyanga hapa sasa hivi wamekata kurudi majaliwa Wangetuweka wazi Tu kuwa kuna mgao tujue
  7. simbamzeewamwakidila

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi sasa hivi kuna mgao unaendelea nchini? Maana maeneo ninayoishi shinyanga kila jumapili saa moja kasoro umeme unakatika kurudi sijui saa ngapi maana inakuwa usiku mwingi
  8. simbamzeewamwakidila

    TANESCO kuzima Umeme siku 2 kwa saa 12 (Agosti 26 -28 2023), Mikoa 15 gizani

    Nafikiri kama sikosei wametangaza faida kubwa mwaka huu Nchi yetu hii Kila mtu anafanya majaribio yake kwa wananchi
  9. simbamzeewamwakidila

    TANESCO kuzima Umeme siku 2 kwa saa 12 (Agosti 26 -28 2023), Mikoa 15 gizani

    Na anayeupiga mwingi maana hata hasimamiii serikali
  10. simbamzeewamwakidila

    Ulipo kuna umeme muda huu?

    Umeme hakuna na hakuna tangazo lolote
  11. simbamzeewamwakidila

    Ukimya wa mstaafu Kikwete tulidhani ni busara kumbe hamna kitu

    Mstaafu hapo kashinda Tu kusema kuwa maaskofu wasiiingilie bandari Maana nae ni muhusuka
  12. simbamzeewamwakidila

    Picha inaongea! Msichanganye dini na siasa

    Ikijadiliwa hii kitu wanasema dini isichanganywe
Back
Top Bottom