Search results

  1. J

    Visa vya kwenye ndoa

    so what? kwani haruhusiwi kucopy n paste?
  2. J

    Is this real??

    umefungua hyo link?
  3. J

    Is this real??

    http://AcutePay.com/index.php?refcode=10042
  4. J

    How I made over 260,000 US$ in FLP - John E.

    haya ndo makampun fake sasa mbona huyu Cash King kapotea!
  5. J

    Mapenzi

    we unajuaje kama ye hakuchukii!
  6. J

    Na hamu yakungonolewa leo

    dah,me sisemi ktu
  7. J

    Mbowe na Lema: Kweli hamuogopi kufa/kifo??

    ulitaka wauwawe kiboya?tena na polisi waliotoka chuo juzi!halafu kajifunze kuandika bwana,umenipa shida sana kusoma,hapo ni kiswahili je ungeambiwa ubadilishe lugha!
  8. J

    Kati ya hawa waliotajwa, Nani karusha bomu?! Mtambue

    kwani CHADEMA ndo wamerusha mabomu,walitaka kujiua ili iweje,huna maana wewe,ua blinded n rigid,kitu kiko clear bt u cant see!huna tija vilevile
  9. J

    Natafuta mke wa kuoa jamani, namaanisha maana umri unanikimbiza. *nipo serious*

    mwenye upuuz ni wewe,imekutouch nin?ha ha ha,au ndo na wewe ni mlengwa,pole sana,tena sanaaa!!me najithamin sana,ndo maana cwez kuwa na mtu zisiyemtosha kwa kichwa
  10. J

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    aaaaaa!damn....kwakwel wanataka kutukatili me bla hyo bdo cpati raha ya mapenzi!kwan tukipima magonjwa yte ya zinaa c tunakuwa safe au?me niko tayari kupima kila kitu ili tu babyboy wangu asiache ulambo...
  11. J

    Natafuta mke wa kuoa jamani, namaanisha maana umri unanikimbiza. *nipo serious*

    hakuna mwanamke anayetaka mwanaume mweny akil ndogo,n sory to say it but nahic akili yako ni ndogo,umemaliza chuo hujapata kazi,badala ya kufanya mishe mishe ya hela,unabaki kusema income ipo ila c kivile,elimu yako imekusaidia nini?na inavyoonekana bado una mawazo ya kuajiriwa cz we ajira ndo...
  12. J

    Tatizo la meno

    tumia aloe bright toothgel utapona kabisa!inauzwa 13000...kama upo arusha naweza kukuuzia.
  13. J

    operation ya appendictis

    hyo op wanaita laparoscopic appendectomy,wanachana nusu nch wanaingiza fibre ndan ya tumbo!ni kama normal procedure za ndan only that hii hawa expose tumbo lote!
  14. J

    operation ya appendictis

    c kwamba ctak op,nataka kuifanya mapema bt bila kuchanwa nje ya tumbo!kama kuna rafiki yangu alifanyiwa op ya moyo bila kupasuliwa nje!c unajua tena mambo ya technology!ndo hyo op ya design hyo nataka kujua wanafanyia wapi tz hii
  15. J

    operation ya appendictis

    naomba kuuliza,je naweza fanyiwa operation hii bila kuchanwa tumbo nje,yaan kwa technology zaidi?na wapi wanafanya hvyo hapa tz na gharama zake!
  16. J

    Azam ya bhakresa na nembo ovyo

    nimeipenda hyo,tena atutoe c wakristu kweny upuuz wake!udin hauna maana,kila mtu aamin din yake aache kufuatilia isiyomuhusu!Mungu ni mmoja jamani...
  17. J

    Azam ya bhakresa na nembo ovyo

    hapana c kwa nyama tu,ni chochote kile kinachoingia tumboni,halafu nembo hzo c za waislam tu hta jews pia wanawekewa nembo!huyu mleta mada hajui,anajidai anajua,amekosa tu la kupost,me ni mkristo...nimesoma maana ya hzo nembo,nikiona hyo clip ntaweka!jaman udin tuuepuke
  18. J

    Azam ya bhakresa na nembo ovyo

    usikurupuke bwana,kuna maana ya kuweka hvyo!na c azam tu ndo ina hzo alama!me ni mkristo bt najua maana ya kuweka hzo nembo!ni kwamba anawatoa hofu waislam na jews pia kwamba wanaweza kutumia hzo bidhaa kwa sababu wenzetu wana mashart ya wat to eat n wat nt,c kama c wakristo,hata USA kuna bidhaa...
  19. J

    Sharon hotel ubungo,dar - camera za nini vyumbani,milangoni & koridoni?

    jaman me nimeanza kufikia hapo 2011,cjawah kuona hzo camera chumbani,zipo koridon,reception n restaurant,kuna cku nilipoteza cm,nikaonyeshwa camera,ckuona inayoonesha rum
Back
Top Bottom