Search results

  1. K

    Mungu Yuko wapi?

    Mwenyezi Mungu yuko zaidi ya Dimension ya 13 huko (Utakatifuni hasa), wakati sisi tupo Dimension ya 3 hapa (ulimwengu wa nyama) na zaidi tukifa kweli (tukifa kweli) tunarudi home hapo Dimension ya 4 (home sweet home). Ili uweze kufika Dimension ya 5 yakupasa kushinda mitihani kwelikweli hapa...
  2. K

    Kuna mtaalamu wa kuongea na wafu?

    Tafuta ouija board.
  3. K

    Ukifa unazaliwa tena

    Ni lazima urudi nyumbani kwanza huko 5th Dimension, hapa tupo 3rd Dimension na hapo 4th Dimension ndio kwenye Astral plane ambako wajuzi wanaacha miili yao wanakwenda tembea na kurudia miili yao. Sasa ukifa ukaridhia kurudi nyumbani (maana kuna wengine wanakua hawapo tayari bado kurudi, ndio...
  4. K

    Ukifa unazaliwa tena

    Hata wewe ukifanyiwa hypnosis tutajua umeshaishi mara ngapi na je Duniani tu au pia Sayari za mbali.
  5. K

    Ukifa unazaliwa tena

    Inategemeanana mkataba uliouchagua, maana huji hivi hivi.
  6. K

    Ni kwanini idadi inaongezeka ya wanaume kukimbia ndoa zao na kuwachia wanawake mali zote kisha kuanza upya

    1 Wakorintho 7:26- 28 Mtume Paulo anasema;- 26 Kwa sababu ya dhiki iliyopo, nadhani itakuwa vyema mkibaki kama mlivyo. 27 Je, umeoa? Basi usitake talaka. Kama hujaoa usitafute mke. 28 Lakini kama ukioa, hujatenda dhambi; na kama bikira akiolewa hajatenda dhambi. Lakini wanaooa watakabiliana...
  7. K

    Majeruhi wa ajali ya Mwendokasi: Mwanzo wa safari nyingine, fumbo la maisha na hatma yake!

    Umeandika kwa hisia sana kaka Mshana. Ama kwa hakika inafikirisha sana. Ila hili suala la kuoa ama kuto oa naona kama Mtume Paulo kalizungumzia kwenye kitabu cha kwanza cha Wakoritho 7: 25-26 akisema kwa hali ya sasa ni afadhali kuto kuoa. Ona hapa chini;- 25 Sasa, kuhusu wale walio bikira...
  8. K

    Nimemaliza Degree ya Education, naweza kufanya Postgraduate ya Computer Science?

    Ndio, nenda pale University of Dar es Salaam, Mathematics Department. Kozi inaitwa Postgraduate Diploma in Scientific Computing.
  9. K

    Nani ni wakala (agent) wa kampuni hii ya "Xorcom" kwa hapa Tanzania?

    Sihebs Technologies, wapo Ubungo Plaza, ghorofa ya Kwanza.
  10. K

    Sheria za Mitandao: Nimedokezwa mahala kuwa Mtandao unaolengwa ni JamiiForums

    China kuna mtaa maalumu, kazi yake ni kuwawekea watu VPN kwa ajili ya kupata hivyo unavyosema havipo. Hivyo nikweli huwezi shindana na teknolojia.
  11. K

    Gharama za kupata visa na master card

    Pia angalia ya BancABC, unaipata maramoja na inaanza kufanya kazi ndani ya masaa mawili. Gharama yake ni kama shilingi elfu arobaini na tano hivi kwa akaunti ya shilingi kama sikosei. Waweza ipata kwa dola, euro, gbp n.k Na kama unatuma pesa toka Skrill au mobile wallet ninyine yeyote kuja...
  12. K

    Udanganyifu unaofanywa kwenye michezo ya kubahatisha na kamari

    Green Card ni bure kabisa na hakuna tozo yeyote mpaka pale utakaposhinda na kutakiwa kulipia gharama za viza n.k. Hao wanopigwa ni majuha wasiotaka kutafuta taarifa sahihi na kutegemea kuambiwa na matapeli.
  13. K

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Forex ni betting sawa sawa na Sports betting kutumia Betting exchanges kama vile Betfair. Misingi ni ile ile uza/ununua (Bet/Lay). Hivyo akili na maarifa yanatumika. Strategies mbalimbali kama vile Arbitrage na Scalping hutumika kote kwenye Forex na Sports betting (kwa kutumia betting...
  14. K

    Ujue Mti chonganishi

    Hehehe...hata mimi naukata fasta.
  15. K

    Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

    Kuna dada kasema kinaitwa KIKANGA
  16. K

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    Arbitrage betting ni sure way ya kupata pesa kwenye betting. Tatizo hioz nafasi za arbitrage zinakuwa hewani ndani ya muda mfupi sana kuweza kuzitumia na pia ikiwepo inahitajika utumia pesa nyingi kwenye kulay bet kwa Betfair. Si amini kwamba arbitrage ndiyo inayowapa pesa za kuweza lipa...
  17. K

    The Japanese Earthquake and its Aftermath....

    Why not 21st May, 2011?
  18. K

    Ukigundua Mke ama Mume wa rafiki yako anacheat utafanyaje?

    Je best yako nae katulia (au anecheat vilevile)? Kama nae anecheat kama alivyokulalamikia mke basi piga kimya mazee.
  19. K

    Necta: Hivi ndivyo kudumisha muungano?

    Wee ni nani alikuambia kwamba Seminary wanasoma Cookery na needle work.Acha upotoshaji wewe!!
Back
Top Bottom