Search results

  1. K

    NECTA: Mgomo wa madereva haujaathiri mitihani ya kidato cha sita

    Aisee hiyo ni kali sana yaani kwa kila wanafunzi 100, wanafunzi 20 wameathirika na mgomo wa madereva, sasa hatima yao ni nini?
  2. K

    Mafunzo kwa vitendo (BTP) kwa walimu tarajali yafutwa rasmi

    Kama ulitegemea miujiza pole. Engineer na Lawyer ndiyo wanaoongoza elimu na hayo ndiyo maono yao
  3. K

    Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza

    BRN at work, pamoja na GPA pass 0.2 lakini FAIL nyingi hivyo?
  4. K

    Matokeo ya mtihani kidato IV Jumapili

    Tunashukuru kwa taarifa kuwa matokeo yatatoka Jumapili. Lakini mie naona kuwaambia watu waliopata ajali ya moto kama zawadi yao ni kutangazwa kwa matokeo ni kama kuwakejeli. Ikumbukwe kwamba waliomaliza kidato cha nne wanaosubiri matokeo sio sehemu ya waliopata ajali ya moto maana waliondoka...
  5. K

    NECTA haijafanya madudu upangaji wa matokeo ya ACSEE 2014

    Tatizo wanahisisha Kiarabu na Uislam wakati Arabic is just a language like French
  6. K

    Matokeo Kidato cha sita: Lengo limetimia!

    Huenda mtihani wa Marticulation ukarudi kwenye vyuo vikuu
  7. K

    NECTA haijafanya madudu upangaji wa matokeo ya ACSEE 2014

    Ukisikia kichwa cha mwendawazimu ndiyo elimu ya Tanzania. Kila mtu anaichezea anavyotaka halafu eti kuanzia Kidato cha 4, 2014 wanatumia GPA. Tatizo siasa imeingia sana NECTA sijui kama Prof Mukandala Mwenyekiti wa bodi ya NECTA anajua maana ya ufaulu wa F6 ambao umetangazwa. Ukisema ufaulu...
  8. K

    Serikali iingilie kati: Madudu katika Matokeo Kidato cha Sita 2014 yanatisha

    Duuuh, kwa hiyo suala la upangaji wa matokeo siyo la muungano? Zanzibar utaratibu wao na bara utaratibu wao
  9. K

    Matokeo Kidato cha sita: Lengo limetimia!

    Mkuu uko sahihi hawa watu wako smart sana. Hebu angalia matokeo ya hao wanafunzi yalivyopangwa na kwa bahati mbaya au nzuri hao ni Ndugu. Kama hauko SMART huwezi kuelewa S0392/0540 F 9 II G/STUDIES - 'D' GEOGR - 'D' IS/KNOWLEDGE - 'B' KISWAHILI - 'B' ENGLISH - 'B' S0188/0520 F...
  10. K

    Matokeo Kidato cha sita: Lengo limetimia!

    BRN siyo tu kwamba lengo limetimia bali LENGO LIMEPITILIZA
  11. K

    Serikali iingilie kati: Madudu katika Matokeo Kidato cha Sita 2014 yanatisha

    Mkuu hayo matokeo nimepitia kwenye tovuti ya NECTA yote yako sahihi. Kwa mfano No 1 angalia hiyo link http://www.necta.go.tz/matokeo2014/ACSEE2014/s0432.htm
  12. K

    Picha.Mtihani wa Moko mkoa Mwanza ulitolewa kwenye gazeti la Elimu haina Mwisho kabla ya kufanyika

    BRN at work. Subiri Waziri atakavyosimama kifua mbele akijigamba kuwa BRN inaleta mapinduzi katika elimu, ufaulu umeongezeka!!!!!!
  13. K

    Dkt. Ghalibu Bilal agawa zawadi hewa kwa wanafunzi Bora

    Hapo umeona mbali mkuu!!
  14. K

    Dkt. Ghalibu Bilal agawa zawadi hewa kwa wanafunzi Bora

    Hakika kuishi kwingi ni kuona mengi. Sikutegemea katika maisha yangu kuwa itafika siku nchi yangu Tanzania ifanya madudu kama haya. SO SAD!!!!
  15. K

    Serikali Yabadilisha Viwango vya Ufaulu kwa Kidato cha Sita 2014: DIV I point 3-7

    Nakupata sana lakini sioni kama kuna tija yoyote kuweka grade mbili E na F wakati zote zina maana sawa
  16. K

    NECTA Yabadilisha Viwango vya Ufaulu Form 6, DIV I Mwisho point 7

    Div II vipi, pointi 8-9 hapo ndiyo wameachia eeeh! Ila mkizoea vya kunyonga na vya kuchinja mviweze. Mlipokuwa mnafurahia thamani ya alama za grade kushushwa mlitegemea nini? Angalau Bodi ya Mikopo itapumua maana watakaoweza kupata mikopo watapungua
  17. K

    Serikali Yabadilisha Viwango vya Ufaulu kwa Kidato cha Sita 2014: DIV I point 3-7

    Sikiliza walivyoikana DiV V. Fungua hiyo link https://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=ynDwGQGvTXs
  18. K

    Serikali Yabadilisha Viwango vya Ufaulu kwa Kidato cha Sita 2014: DIV I point 3-7

    Kama sababu ni kuwa thamani ya grade imeshuka, sasa walikuwa wanaishusha ya nini? Kwa nini isibaki kama ilivyokuwa na madaraja yakabaki kama zamani? Kuna faida gani ya kuweka Gredi E lakini mtu akipata E zote amefeli? Kwa nini wasingeacha tu F bila kuweka E ambayo imeleta ubaguzi...
Back
Top Bottom