Search results

  1. D

    Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

    Very Bad Indeed..
  2. D

    Zitto: Mshahara wa Rais wa JMT ni sh 384/= mil kwa mwaka

    Wewe ZK tunashindwa kukuelewa..! kawaida yako ni kuanzisha Hoja na kuziacha hewani. Umetwambia mishahara ya hao viongozi Waziri Mkuu na Sasa Rais..tumejua sasa the way forward..? Ulikuja na kelele za mabilioni Uswisi ikawa kimya hatuskii ukiongelea hilo.. hiyo ni ndo publicity stunt..unataka...
  3. D

    London Evening Standard

    CNN hapa saizi wametoa habari ya Acid attack kwa hao mabinti huko Zanzibar wanarudishwa nyumbani.. JK na watu wake wa usalama waamke sio ishara nzuri hata kidogo..
  4. D

    Wananchi Pwani kuandamana kuipinga HLRC kwa kumshitaki PINDA na Werema!!

    Ogopa sana watu wanakulia na kushindia muhogo kuanzia utotoni mpaka uzeeni...mana muhogo una sumu flani ambayo inaathiri ubongo..ndio maana watu wa pwani wote wana shida..fuatilia utanambia. halafu linganisha mla muhogo na mla ngano..
  5. D

    Nategemea kupeleka hii Hoja yangu binafsi Bunge la August 2013 kuhusu Ajira kwa Vijana

    Hongera bwana Mwigulu,...una hoja nzuri. ingekuwa kila siku mnakaa na kufikiria vitu vizuri hakika tungekuwa mbali. Sio kila siku mnakuja na hoja za kuhangaika na CHADEMA na vipngozi wake tuuu. Fanya kitu kizuri utaonekana, na ujitahidi kuinasua CCM na wanaCCM na janga hili la kutofikiria...
  6. D

    Kuelekea Uchaguzi wa BAVICHA: Nani kuwa Mwenyekiti wa Taifa?

    Ben Sanane is smart...wampe tu..
  7. D

    Dr Slaa katika mkakati Maalum wa kuing'oa CCM madarakani

    hata kuandika kiswahili ni shida...? hamna muangaria..kuna muangalia. hamna ikuru..kuna ikulu ........ama ni msongo wa mawazo unakuandama..
  8. D

    Miaka 52 ya uhuru wagonjwa wanabebwa kwenye machela

    mapenzi mema kwa CCM yatawacost sana...si unaona jamaa ana kofia ya kijani hapo.. acha waendelee kuumia..
  9. D

    Pichani... Dk. Harrison Mwakyembe atembelea uwanja wa ndege Songwe Mbeya

    tutofautishe barabara ya kutua ndege na uwanja wa ndege...je uwo uwanja una navigation beacons(VOR, NDB, ILS etc).. maana sio kupiga kelele kuwa ni international airport bila kujua criteria...
  10. D

    Mbowe, Slaa wakemeeni wanaomchafua kiongozi mwenzenu Zitto Zuberi Kabwe

    Zito amejichafua mwenyewe sio amechafuliwa.. Mbowe na Slaa wapo busy na kutengeneza chama,...sasa mda wa kuanza msafisha mtu ambaye anayataka mwenyewe ni kupoteza mda... Ivo basi ajisafishe mwenyewe kama alivojichafua...usisumbue watu..
  11. D

    Mwigulu Nchemba: Ninayo VIDEO ya Viongozi CHADEMA wakipanga mikakati ya mauaji nchini...

    umenifurahisha sana baada ya kuwa na kichefuchefu cha haya matamshi ya Machemba.... Kweli wengine wanakuwa na chenji ya pombe na usingizi....ukichukulia jana ni mwaka mpya..tena hata hakulala kabisa inawezekana..
  12. D

    Halima Mdee on ITV Asubuhi Hii!.

    watu wa Kimara hawana midomo mpaka wewe wa Kawe uwasemee..
  13. D

    Msaada wa kadi na bendera za CHADEMA

    Chadema hata hapo Ikwiriri tu mnashindwa kufika...umbali wa hata km 100 kutoka dar makao makuu haufiki.. kweli mmelala usingizi... je sisi wa huku Ikola,Karema si itakua shida.
  14. D

    Prof. Songorwa ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Wanyamapori

    Mie nmesoma SUA..na amenifundisha hiyo WLM...hata simkubali huyo prof wenu.. Anavisasi...,anajiona anajua sana,..anapendelea wanawake,..na mwisho kabisa anapendelea ndugu zake kutoka mkoa wa Mara. Ni mtu wa hovyo kiujumla.. Hapo mtu wa maana ni Prof tu.
  15. D

    PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

    Wakristo kila siku mtaishia kulalaika..ilianza Zanzibar...sasa mawekuja bara... kila siku itakuwa "mungu awasaidie" na kufanya maombi maana kiburi chote kinatoka kwa huyu mkuu wa nchi..ananyamaza kila matukio yanapotokea kana kwamba hayupo.. Tuamke...itafikia sasa watakuja watoa kwenye...
  16. D

    CHADEMA kusimamisha shughuli kwa ajili ya sensa huku Fiesta Mwanza kuendeleza

    Kufanya mikutano kwa CDM imekuwa inaathiri utaratibu wa Sensa..ila kwa Fiesta Mwanza na Ufunguzi wa kampeni za CCM Bububu haziwezi kuathiri Sensa... Ama kweli hii ndo Tanzania na viongozi wake... na yote hayo yamefanyika kwa siku moja..
  17. D

    Viongozi na umiliki wa silaha....

    Imekuwa ni kawaida sasa hivi kwa watu mbalimbali kumiliki silaha hapa nchini..na wengi wao wanadai ni kwa ajili ya ulinzi wao binafsi na mali zao. Na hiyo ni mojawapo ya vigezo vya mwananchi wa kawaida kumiliki silaha.. Lakini hivi karibuni imetolewa taarifa ya baadhi ya wana CCM wakitishiana...
  18. D

    Vituko mahakamani: Kesi ya waliogomea sensa, Hakimu awa mdhamini wa washitakiwa

    umenifurahisha sana...saizi kuna watu akili zao hazifany kazi vizuri..kila kitu lazima CDM itajwe... ila ndo akili za kukulia muhogo hizo...
  19. D

    Wanahabari tuisaidie nchi

    Umemjibu huyu bwana vizuri kabisa...hao wanahabari ni wepi...? Wa kuambiwa kutuma maswali.., ni wale wa kudubiria labda neeema za u DC... Hamna kitu hapo..
  20. D

    Wabunge: Mitambo TANESCO ilindwe na JWTZ, JKT

    Ni upuui wa hali ya juuu...kila siku serikali na mafisadi..hao mafisadi ni akina nani..?na kwanini wasikamatwe na wakawajibishwa..? umekuwa ni mchezo wa ajabu kila siku..mafisadi wamefanya hili...mafisadi wamefanya lile....nk.. kama wanafahamika kwanini wasichukuliwe hatua.. ni ujinga kila siku...
Back
Top Bottom