Search results

  1. CHIKITITA

    Wanaume tuheshimiane

    Mwaume nae mzazi na anahaki ya kukaa na mtoto wake kama anaaminiwa anaweza kukaa nae, zaidi hayo masuala mengine mimi sijayashuhudia ila niliambiwa na mtoto na nilihakikisha nimemwambia ili achukue hatue. Baba yangu hajazaa na mimi kiasi chakuanza kumkatalia mtu mtoto wake, mtu mwenye akili...
  2. CHIKITITA

    Wanaume tuheshimiane

    Aisee!!!!!!!!! Sikiliza nikwambie, isiishi kwakuongozwa na hisia, Sitaki kutenda dhambi, baba yake mtoto anampenda mtoto wake kuliko unavyofikiria, kwa hilo sina shaka, tatizo mtoto analelewa kwao na yeye yupo hapo kwao sababu anawaangalia pia wazazi wake, tatizo ni waangalizi wa mtoto pale...
  3. CHIKITITA

    Wanaume tuheshimiane

    Kwa sasa siwezi kukaa nae, nipo masomoni ndio sababu kubwa ya kumwachia, anafahamu na hata ustawi wa jamii walimwambia mwakani mtoto lazima nimchukue, ivo kwa sasa sina tatizo na yeye kukaa nae, tatizo ni yeye kutumia matusi na jazba bila sababu.
  4. CHIKITITA

    Wanaume tuheshimiane

    Atajijua mwenyewe.
  5. CHIKITITA

    Wanaume tuheshimiane

    Kaka usiongee kirahisi, sikumuacha mtoto kwakua nataka kujiachia, niliyajua yote hayo na nilipiga moyo konde kwamba sina namna, Nilimwacha kwake kwakua nipo masomoni sasa mlitaka mim nifanyeje??? Hata ningeweza kumpeleka kwetu ila najua huyu mwanaume angekwazana na wazazi wangu tu, hasa...
  6. CHIKITITA

    Wanaume tuheshimiane

    Kuhusu kuwa watoto wa uswaz inawezekana. Ila kiumri sio watoto kama uwazavyo, hata wew ni mdogo sana kwangu achilia yeye aliyekuacha maaka zaidi ya 10, nimekwambia hayo kwakua nakufahamu vizuri sana.
  7. CHIKITITA

    Wanaume tuheshimiane

    Si rahisi kama unavyofikiria kwanza kwa wazaz kuachana, ukiona hyo ujue hali ilishindikana kabisa. Hata hvyo mtoto yupo kwa wazazi wake, kwa kua hata yeye anakaa kwao muda mwingi, mim sina tatizo nae kikubwa mtoto ninapomuhtaj nimpate, ila sio mambo ya matusi wakati kila mtu anaendelea na...
  8. CHIKITITA

    Wanaume tuheshimiane

    Evelyn Salt sikumuacha tu ati mim nakula maisha hapana, nilimwachia kwa kua nipo masomoni, mwanzo nilitaka niwaachia wazazi wangu lakini anatabia ya ugomvi sana so nikamwachia yey hata hvyo yey anaishi kwa wazazi wake mara nyingi ila ndio hvo. Ila mwakani nitamchukua.
  9. CHIKITITA

    Wanaume tuheshimiane

    Umesema kitu, asante
  10. CHIKITITA

    Wanaume tuheshimiane

    Miaka 7 ilitosha sana kujua hayo unayoyasema. Nataka nikuhakishie, nilipokuwa nae nilijitoa mimi sana, na tulifanya vitu vya maana sana tu, sasa kapata mke mwema kaona ndivyo sivyo ndio anagundua mimi nilikuwa muhimu kwake, akinipigia nikamwambia ukweli anatukana sasa hiyo akili au matope, yeye...
  11. CHIKITITA

    Wanaume tuheshimiane

    Hivi mtu mwenye umri 35 nae tuseme anaujana????????? khaaa!!!!!!!!!! basi kazi ipo.
  12. CHIKITITA

    Wanaume tuheshimiane

    Yah!!! matatizo yalikuwepo na nilikuwa nayafumbia macho kwa kua nikikua nadhani labda atabadilika, itanipasa niende huko tena. asante
  13. CHIKITITA

    Wanaume tuheshimiane

    Namuhitaji mtoto hata leo, lakini tatizo ni mtu mwenye roho ya ugomvi nikaona isiwe tabu mtoto huyo mchukue, akamchukua anakaa nae kwa wazazi wake. miaka 5
  14. CHIKITITA

    Wanaume tuheshimiane

    Nimelisha anzisha jaribu kuwa nawatuma wadogo zangu kwenda kumuona mtoto na hata kumchukua, akawa analalamika kwa watu mimi siendi kumuona mtoto wala sipigi sim, pia walikua wanawatreat vibaya sana wadogo zangu wakienda pale, yaani kuna wakati nilibadili line hadi nikahisi kuchanganyikiwa...
  15. CHIKITITA

    Wanaume tuheshimiane

    Nashindwa kumblock kwakua ninapotaka kuongea mtoto lazima nimpigie yeye.
  16. CHIKITITA

    Wanaume tuheshimiane

    Hahahahaha!!!!! hayupo, mimi tulifahamiana hata kabla hatujajiunga huku.
  17. CHIKITITA

    Wanaume tuheshimiane

    Yeye anajijua kwakua anajua ID yangu haina haja kumtaja, pia Kwenye group hayupo
  18. CHIKITITA

    Wanaume tuheshimiane

    Naomba kusema, wanaume tuheshimiane tena tuheshimiane, tabia ya kuachana na mwanamke lakini huishi kumfuata fuata kwa maneno jiheshimu tena jiheshimu. Nimechoka na nimekuchoka ndio maana nimekuja kukuambia hapa, kwa kuwa ni member hapa najua utasoma na unajua mimi ni nani. Nimechoka...
  19. CHIKITITA

    Leo ni siku ya kina baba duniani

    Sijaona sababu yakuniquote, mimi nimejazia nyama kwa mleta uzi, sasa wewe ulitaka nisemeje???????? Usilazimishe uwazacho wewe kila mtu awaze.
Back
Top Bottom