Search results

  1. P

    Uratibu mbaya wa makadirio ya kodi ndiyo sababu kubwa ya ukwepaji kodi

    Shida kubwa ni ufisadi kwenye matumizi ya kodi kusanywa. Kila mtu angetamani kulipa kodi kama tungeweza kudhibiti wizi na ufisadi wa kodi kusanywa,kama kodi ingetumika kwa manufaa ya wote. Mtu akishajua kodi yake inaenda kunufaisha wachache na familia zao,kamwe hawezi kuwa na morale ya kulipa...
  2. P

    Fred Lowassa: Baba hakuwahi kumsaliti rafiki yake

    Far better Magufuli/Samia kuliko Lowasa
  3. P

    Fred Lowassa: Baba hakuwahi kumsaliti rafiki yake

    Lowasa angeleta umeme wa Richmond tatizo lingeisha
  4. P

    Fred Lowassa: Baba hakuwahi kumsaliti rafiki yake

    Country first,urafiki baadae,na ndiyo uzalendo wenyewe Kikwete anastahili pongezi kwa kuwa na uwezo wa mpaka kukata jina la rafiki yake kwa maslahi mapana ya nchi.
  5. P

    Picha ya vatican: Nini kinaendelea hapa?

    Rais anaonekana kuwa na hofu fulani... Papa ni kama kuna kitu anamuonya Rais wetu..
  6. P

    Picha ya vatican: Nini kinaendelea hapa?

    Hii picha kwa wajuzi wa lugha ya mwili ina mengi yakuandika
  7. P

    Profesa Janabi apuuzwe!

    Jamaa anadhani mwenyewe tu peke yake ndiye anayejua maradhi ya moyo Tanzania
  8. P

    Profesa Janabi apuuzwe!

    Tatizo anaongea sana mpaka anaharibu Anapiga siasa kwenye mambo muhimu ya afya.Mengi anayoongea hayana ukweli wowote,ni porojo tu.
  9. P

    Tuacheni shobo nimekutana na classmate kanikataa hanijui

    Binadamu wengi hupenda kuji associate na mafanikio siyo failures Huna haja ya kuweka kisasi
  10. P

    Mtume Paulo alikuwa mkorofi sana

    Kutokusoma ndiyo msingi wa tatizo Nikiendelea kuchambua kitakachofuata ni mabishano ya kidini/imani Na sisi wengine siyo wafia dini
  11. P

    Mtume Paulo alikuwa mkorofi sana

    Muhammad hakusoma.Alikuwa hajui kusoma wala kuandika.Na hapa ndipo kwenye msingi wa tatizo. Paulo alikuwa msomi kwa viwango vyovyote vya wakati ule.Akisimama akaongea utapenda kumsikiliza,akiandika utapenda kumsoma.Hakutumia miguvu wala kutisha,kudhuru au kuua watu ili wamfuate. Ukristo...
  12. P

    Mtume Paulo alikuwa mkorofi sana

    To cut a long story short Paulo was genius
  13. P

    Matumizi mabaya ya Sheria ya Ardhi

    Usiwe mnyonge sana,pambana Kapige mkwara halmashauri Waeleze kuhusu fidia na mipango ya kwenda wizarani na mahakamani
  14. P

    Matumizi mabaya ya Sheria ya Ardhi

    Ardhi siyo yako ni ya umma Muda wowote unaweza kunyang'anywa kama itahitajika kufanya jambo lenye manufaa kwa wengi Lakini wakikunyang'anya ni lazima wakulipe fidia
  15. P

    Matumizi mabaya ya Sheria ya Ardhi

    Acha kulalamika hapa,tafuta mwanasheria,peleka kesi mahakamani. Kama huna ubavu,potezea tu kama umetoa sadaka kanisani au msikitini. Hii Dunia ni mbwa kala mbwa
  16. P

    Matumizi mabaya ya Sheria ya Ardhi

    It should be fair and prompt compensation ndivyo Sheria inavyosema. Kwahiyo ni lazima wakulipe kulingana na thamani ya ardhi na vilivyomo ikiwemo nyumba
  17. P

    Matumizi mabaya ya Sheria ya Ardhi

    Kisheria ni lazima wakulipe fidia.Halmashauri ya Kijiji/Wilaya ni corporate body so you can sue them
  18. P

    Kadinali Rugambwa ampokea Rais Samia Tabora

    Hana nguvu ya kuongea na papa? Hana nguvu ya kuingia papal conclave? Unapinga nini hapa? Acha kukariri formalities za vitabuni
Back
Top Bottom