Search results

  1. S

    If Tanzania Was A Large A Corporation...

    If Tanzania was a large corporation, the company would face a number of operational problems. For a start if we are to borrow few words from my university Chancellor [Lord Ashcroft, former treasurer of the Conservative Party], Modern Corporation needs to be mean, lean and hungry to succeed, they...
  2. S

    Should Maximo stay and enjoy the money 4 nothing? - Contract to be renewed?

    1. Maandalizi yetu ya soka bado hayajazingatia ukweli halisi, SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI na hili ndio inatakiwa sasa tuonyeshe kushughulikia zaidi ikiwa kweli tunataka kufanikiwa. We can't emphasise this enough. 2. Viwango vya FIFA vya hivi karibuni vimeonyesha tumevuka kwa kiasi kikubwa...
  3. S

    JF: Rankings, Reputations na Maswali Mengineyo..

    I see things are getting better and better. Well done!
  4. S

    Should Maximo stay and enjoy the money 4 nothing? - Contract to be renewed?

    Waungwana naungana na wadau wote kutoa masikitiko kwa kushindwa mechi muhimu usiku wa leo lakini kama wasemavyo asiekubali kushindwa si mshindani. Jambo moja sote tunakubaliana pasi na kikomo cha shaka kuwa soka la nchi yetu limekuwa, limekuwa sana kiasi sasa tunachukuliwa kwa dhati na...
  5. S

    Nafasi mpya za Kazi Tanzania

    Pia BBC Idhaa ya Kiswahili inatafuta wafanyakazi. Cheki hapa www.bbcswahili.com
  6. S

    Ndege ya Lowassa inayopaa, na abiria walioachwa wameduwaa!

    Kweli bwana walioandika kuhusu hii walikosea sana wengine wakadai wameingia mpaka ndani na ipo Upanga! Tatizo la JF ni kuwa ''sorry seems to be the hardest word''. Mtu kafunga watu kamba, kisha kabainika kuwa alikosea, the most sensible thing ni kuomba radhi kwa kutokuwa mkweli, ili uweze...
  7. S

    Muafaka CCM na CUF, pande mbili za shilingi!

    Makamba na Lipumba wote wamezungumza na BBC leo , sikiliza matangazo ya DIRA ya dunia katika www.bbcswahili.com Mwanagenzi mpatanishi wa kimataifa ni moja ya masharti ya CUF lakini wameonya hila zilizopo na upande wake Makamba kasema kuwa alimtafuta Katib Mkuu Seif wakutane baada ya ziara...
  8. S

    Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Benard Membe amewasilisha bajeti yake bungeni. Katika suala la Uraia wa nchi mbili miongoni mwa hoja za kuzingatiwa amesema ni vyema watanzania wakajiuliza maswali mawili muhimu wakati serikali ikijiandaa kuwasilisha muswada wa DUAL NATIONALITY: 1. Je...
  9. S

    Uchaguzi Mkuu wa CCM Mwaka 2007

    Kwa watakaosoma maelezo yako kuhusu Ridhiwani Kugombea ndani ya CCM na ufafanuzi wako wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu watapata picha mchele upi na usio mchele ni upi.... At least a third party amefafanua vizuri na kuweka wazi. Mimi ndio nimeweka hapa kwamba Kamati Kuu ina wajumbe 35 na...
  10. S

    Uchaguzi Mkuu wa CCM Mwaka 2007

    Inafurahisha how playing with words can amount to, manake ulipokosea katika Halmashauri Kuu ni kwa vile ulikuwa unaandika haraka haraka, bado hujakiri kama umekosea but just playing with words. OK kamati Kuu mimi niliandika baada ya kufanya utafiti katika website ya CCM na niliweka source...
  11. S

    Uchaguzi Mkuu wa CCM Mwaka 2007

    MAELEZO YAKO ES YANAZIDISHA HAJA YA KUWA NA UWEZO WA KUKIRI PALE UNAPOKOSEA KAMA TUFANYAVYO WENGINE, LAKINI UMUHIMU WA RESEARCH SHOULD HAVE BEEN EVIDENT TO ANYONE WHO TYPES TO CONTRIBUTE HERE KWA VILE ANATOA MAWAZO YAKE MBELE YA WENGI. KWA VILE KOMANDOO UNAVAA MWAMVULI NA UPO UNDER COVER I...
  12. S

    Uchaguzi Mkuu wa CCM Mwaka 2007

    I am more interested in developing coherent intellectual arguments ambazo zitakuwa na mvuto kwa wana JF wote na hata wahusika in the corridors of power hii itatusaidia sisi katika kujijenga kifikra kimawazo na dare I say kisiasa. Just like many others here mijadala ya kisomi inatusaidia...
  13. S

    Uchaguzi Mkuu wa CCM Mwaka 2007

    Komandoo ES Kabla ya kusahihisha naomba ieleweke kwamba kukosea ni sehemu ya kujifunza, katika hili la Uchaguzi you have got pretty much lots of information right lakini nadhani comment yako ya mwisho inahitajia marekebisho kidogo: 1. Habari ambazo zimeandikwa sehemu zote na kufanyiwa...
  14. S

    Uchaguzi Mkuu wa CCM Mwaka 2007

    Komandoo ES Nadhani kimsingi there has been some misunderstanding katika kile nilichokisema, nilichofanya ni kuelezea kimsingi nadharia hii ya Citizen Journalism [hizi blogs, forums, podcasts nk] na kuelezea kuwa wengi huenda huko kwa secondary data ie. analysis na sio news na hata kwa chombo...
  15. S

    Uchaguzi Mkuu wa CCM Mwaka 2007

    Yes ni kweli kulikuwa na walakini fulani hapa katika kuripoti hizi habari za mambo yanavyojiri huko ndani ya vikao. Inaeleweka kutokea makosa hususan pale ambapo kwa baadhi ya waandishi what matters zaidi ni kuzileta hapa kwa haraka zaidi kuliko kuangalia quality ya habari. Overall JF...
  16. S

    Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

    The government of Tanzania has once again said the report on DUAL CITIZENSHIP is ready. Unfortunately the same has been said since MKAPA's era, on checking my notes this is the fourth year we are hearing the same thing. First there was a commission, Tanzania Law Review Commission who...
  17. S

    Tanzania National Identities

    Naam ni mdahalo mtamu sana kuoanisha Vitambulisho na Demokrasia hususan ikiwa vitambulisho vinalenga katika kuimarisha demokrasia.... will touch on them in my next posting. Hapo juu nilikuwa najaribu kujadili ID CARDS AND DEVELOPMENT IN POOR COUNTRIES...LESSON FROM UK
  18. S

    Tanzania National Identities

    Nilipokuwa chuoni mwaka wa kwanza, zoezi la timu yetu darasani ilikuwa ni 'IWAPO MRADI WA VITAMBULISHO UNAFAA HAPA UINGEREZA AU LA'' na haya ni maelezo yangu kwa kumbu kumbu na maoni yangu: Suala la ID CARDS duniani kote lina utata. Utata baina ya serikali na wanaodai haki za binadamu kuwa ni...
  19. S

    Attention Bodi Ya Mikopo Ya Elimu Ya Juu Kwa Wanafuzi(HESLB)

    Bodi ya mikopo hata ije na vigezo vya aina gani itakuwa ni vigumu kubadilika kama mambo ya msingi hayaguswi: 1. Wale waliosoma kwa mikopo kuna haja ya kuwekewa utaratibu warudishe. Ni rahisi bila hata hivyo vitambulisho vya taifa inawezekana. Kwa mfano ikiwekwa sheria/kanuni kwamba kila...
  20. S

    Just in: UDSM wafukuzwa

    ahsante mkuu kwa maelekezo as asked: MIGOMO CHUO KIKUU INAEPUKIKA written by www.saidiyakubu.blospot.com Chuo Kikuu cha Dar es salaam, katika siku za hivi karibuni kimekuwa katika chati kubwa sio kwa sababu zinazofurahisha, hivi niandikavyo Chuo hicho kimefungwa na wanafunzi...
Back
Top Bottom