Search results

  1. M

    Msaada kwa aliyewahi kuuza deni toka Benki moja kwenda nyingine

    Nashauri rejea mkataba wako wa Benki kwenye kipengele cha urejeshaji wa mapema wa mkopo. Baadhi ya benki, zina masharti tofauti unaporudisha mkopo ndani ya miezi sita ya mwanzo, na baada ya miezi sita. Ninahisi hiyo mil 1 inaweza kuwa ni riba ya miezi kadhaa ya mbele ambayo benki itapoteza kwa...
  2. M

    Jinsi Eric Shigongo alivyojiunga Chuo Kikuu akiwa na elimu ya msingi

    Hongera kwake Erick Shigongo. Hata hivyo, kuna jambo haliko sawasawa, kupata GPA ya 4.8 siyo kitu cha kawaida. Ni wanafunzi wenye uwezo mkubwa sana darasani ndiyo wanafaulu kwa kiwango hicho, Shigongo anasema alikuwa anapata si zaidi ya 25% akiwa shule ya msingi, yeye ni mwanafunzi wa kawaida...
  3. M

    TANZIA Teddy Mapunda Afariki Dunia hospitali ya Aga Khan Dar

    Kuna tafsiri tofauti kwa wagonjwa juu ya hospitali bora na matarajio, hiyo ndiyo inapelekea wenye uwezo wa kuchagua kwenda MNH au Aga Khan.
  4. M

    Kwa hali ya Corona na kimbunga Jobo, nimeamini Tanzania inalindwa na Mungu

    Nimeiona mahali: Ndugu zangu! Kikawaida cyclones huwa hazikimbilii towards the equator. Zikifanya hivyo huwa zinakosa nguvu na kutawanyika. Kwa maana hiyo hatari kubwa kwa hii Cyclone ya Jobo ni Lindi na Mtwara (9 degrees S) na sio Dar (6 degrees S). Ndiyo maana cyclones nyingi zinazoanzia...
  5. M

    Jinsi muelekeo wa siasa zetu unavyoua uwezo wetu wa kufikiri na hatari iliyopo mbele yetu kama taifa

    Kwa hali tuliyonayo sasahivi, sidhani kama ingeweza kusaidia sawa sana, lazima jamii iwe imeamka kifikra kwa kiwango fulani kutoa ili kupambanua mambo. Hebu angalia kampeni za kisiasa zinavyojaa ulaghai ambao hata mtoto mdogo anayefikiri anajua ni uongo, lakini si ajabu kukuta huyohuyo anapita...
  6. M

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
  7. M

    Jinsi muelekeo wa siasa zetu unavyoua uwezo wetu wa kufikiri na hatari iliyopo mbele yetu kama taifa

    Azizi Mussa , Asante sana kwa hoja murua. Binafsi nami nimekuwa nikijiuliza sana, hivi tatizo la uwezo mdogo wa kufikiri ni tatizo la wanasiasa au ni tatizo la mfumo mzima wa jamii? Unaweza kuwatazama wanasiasa kama ndiyo wenye nafasi na uwezo wa kuelekeza jamii yetu katika njia sahihi kwa...
  8. M

    Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

    Labda kama mlikuwa mnatafuta cashiers, vinginevyo hakuna relevance yeyote ya swali na taaluma ya fedha.
  9. M

    Hongera viongozi wa dini kwa kujitoa muhanga na kuutangazia umma wa Watanzania kuhusu uwepo wa Korona nchini

    Unapata wapi ujasiri wa kuhoji uwezo wa mtu kielimu wakati kwenye sentensi zisizozidi mbili umeandika makosa zaidi ya matano ya maneno?
  10. M

    Nilichekwa sana Style yangu ya malezi ila leo hii watu wanatamani kuniiga

    Hii muendelezo wa bandiko lako hili ? Mbinu niliyotumia kumlea mwanangu anayesoma private awe mjanja, awe na furaha, na asigeuke kuwa kuku wa kisasa.
  11. M

    Msaada kwa Wanaotaka Kusoma vyuo vikuu Bora nje ya nchi.

    Kama umesajiliwa kisheria, si uweke hizo taarifa hapa?
  12. M

    Uchaguzi 2020 EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kutoka kwa Watanzania watumiao mitandao ya kijamii

    Mheshimiwa, Iwapo utachaguliwa kuwa Rais wa JMT, je utaendelea na mradi wa Stiglers Gorge? Kama hapana, kwanini?
  13. M

    Uchaguzi 2020 Lissu ni mtu jasiri, jaribio lolote la kuiba kura zake litaleta shida

    Ni kweli kabisa. Vijana wana mengi ya kujifunza toka kwa huyu mwanasiasa. Jana nimesoma mahali historia yake toka udogoni, moja nililojifunza ni kuwa aliijua purpose yake toka akiwa mdogo kabisa. Amekuwa tayari kuisimamia hiyo hata ikibidi kuhatarisha uhai wake.
  14. M

    Kinyozi wa kike apandisha mashetani na kuzimia baada ya kugusa kichwa cha askofu Gwajima, aombewa na kuzinduka!

    Kuna makosa kwenye script. Ningetemea Gwajima amuombee huyo dada aliyezimia ndiyo anyoe.
  15. M

    Uchaguzi 2020 Lissu baada ya kuiteka ngome ya Kanda ya Ziwa, una kazi moja tu ya kuiteka Dar es Salaam umalize biashara hii mapema

    Unbiased analysis. Ikitumiwa vizuri na upande wowote italeta matokeo chanya.
  16. M

    TTCL hoi kwenye soko la mawasiliano nchini

    Issue siyo vifurushi tu. TTCL wamekosa ubunifu wa kuingia kwenye soko. Wanaweza kuwa na bidhaa bora na nafuu lakini kama hawana ubunifu wa kuingia na bidhaa zao sokoni siioni kama watakuwa na mabadiliko.
  17. M

    Wataalam wa Hisabati, swali hili

    Tufanye hivi: Ukichukua sehemu (fractions) za machungwa waliopata Juma, Haruna na Petro jibu lazima liwe moja. Kama sehemu hizo utazipa majina a kwa Haruna, b kwa Juma na c kwa Petro basi, hiki ndiyo ukweli: a + b + c = 1 Lakini Petro, yeye hatujui sehemu bali...
  18. M

    Wataalam wa Hisabati, swali hili

    Nikutolee mfano: Chungwa ukilitakata sehemu nne sawa, utapata kila kipande ni robo (1/4), na ukijumlisha robo nne jibu lake ni moja. Na hata usipogawa sawasawa, ukijumlisha sehemu zote ulizokata jibu lake lazima liwe moja. Moja inatoka wapi? Swali linazungumzia vipande (fractions), kwahiyo...
  19. M

    Wataalam wa Hisabati, swali hili

    Kuna makosa kidogo hapo. 1 +( 1/6)x = 15 ndiyo expression ya mwisho.
Back
Top Bottom