Search results

  1. Wyt Chris

    Hanipi ushirikiano na ananitazama kwa macho makali wakati wa tendo la ndoa

    unatumia kinga? Isije ikawa anastaajabu unavojipakulia virusi tu
  2. Wyt Chris

    UN: Watu 1,146 wamefariki kwa kipindi cha Januari hadi Juni wakijaribu kuzamia Ulaya

    Nahisi wazungu wamechoka kuwapokea, sahivi wanawazamisha tu
  3. Wyt Chris

    Stop dating mentally broke girls

    Daamn! You nailed it, nimetoka kuombwa hela mda huu huu shubaamit yule manzi
  4. Wyt Chris

    Ushirikina ni kitu kinachochangia sana watu kuogopa kurudi vijijini kwao kipindi cha likizo

    Kweli kbs mkuu, huku kwetu Songea wana mambo ya ajabu sana, sisi tulimzika baba yetu mpendwa 2016, mwaka 2017 tukaenda kujengea kaburi lakini baada ya hapo ndio imekua nitolee yaani. Wao ndio wanawezana ila sisi tuliokulia mjini tunahofia maana afadhali basi hata kama ndugu yako ni mwanga basi...
  5. Wyt Chris

    List ya movies zako pendwa za kivita (war movies)

    13 hours agent of benghazi & Black Hawk Down hizo ni noma kaka
  6. Wyt Chris

    Dar: Mtoto wa miaka 17 ampiga risasi mtoto mwenzake na kumsababishia kifo

    Iyo bastola haikua hata ktk safety mode, aisee.
  7. Wyt Chris

    Hii ndiyo ndege yenye ubora zaidi na starehe za kutosha kuliko yoyote duniani

    Starehe ipo wp hapo? Utamu wa pipi mate yako bna Sent from my HTC Desire 816G dual sim using JamiiForums mobile app
  8. Wyt Chris

    Natafuta shule nzuri ya boarding ya kuhamia kidato cha tatu

    Thanks bro, na vp kuhusu perfomance ya shule (Eagle boys), ada na form zinapopatikana kama hautojali kunisaidia kwa hili.
  9. Wyt Chris

    Natafuta shule nzuri ya boarding ya kuhamia kidato cha tatu

    Sorry sikulisema hilo, mdogo wangu ni wa kiume lkn hata ikiwa mchanganyiko au wavulana watupu sawa tu
  10. Wyt Chris

    Natafuta shule nzuri ya boarding ya kuhamia kidato cha tatu

    Habari zenu wanajamii forum, naomba mnisaidie natafuta shule binafsi ya boarding kwa ajili ya mdogo wangu ili ahamie kidato cha tatu. Kwa yeyote ayejua shule nzuri tafadhali usisite
  11. Wyt Chris

    Ipi ni Shule nzuri za wasichana Mbeya au Iringa ?

    Sure, ile shule pia wana masharti sana...kama huna ndugu Mbeya mwanao anakosa nafasi. Na hawana special diet kwa watoto wagonjwa.mf mwenye ulcers. Mdogo wetu tulishindwa kumpeleka
  12. Wyt Chris

    Soko la ajira Industrial Engeneering likoje ?

    Soma unachokiweza otherwise utaaribu kazi za watu. Tz kazi inategemea si lazima ulichochosomea ndo utafanyia kazi. Tunamadokta na maprofesseri wengi tu ila ni wanasiasa. Acha mambo ya kizamani eti ukisoma Geography na Math utakua rubani...mf mm nimesoma science lkn niulize nafanya kazi inahusu...
  13. Wyt Chris

    Lowassa: Wasomi wasaidie jamii kutatua migogoro ya ardhi

    Si ndo huyu alitaka kutuletea mvua ya acid kutoka Thailand...na ndo huyu aliyewaruhusu wamasai wakachunge Morogoro au???:what:
  14. Wyt Chris

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamis 2 Oktoba 2014 - Matokeo ya Kupitisha Ibara za Rasimu ya Katiba

    Maoni yangu...ni kwamba, CDM inadeal na vijana ambao asilimia kubwa hawapigi kura...na kubabaika na makundi ya wapiga soga wa mijini. Janja ya CCM ni hii hapa..akiMama au Wanawake. Ndo wapiga kura maarufu nchi hii miaka nenda miaka rudi. Ukiangalia CCM imeweza ku-organise vikundi wakiiviita...
  15. Wyt Chris

    Wanawake na magari

    Jitahidini wenzenu wanajitahidi mpaka wanananunuliwa hahaha (jus joking)
  16. Wyt Chris

    Natafuta Nyama pori kwa DSM

    Ebolaaaa!!!
  17. Wyt Chris

    Tukumbushane maswali na majibu ya test ya Mkaguzi Msaidizi Uhamiaji

    How did u know wametoa huko? Nyie ndio mliopewa mitonyo mkaja kutuchora eeh?
  18. Wyt Chris

    Uhamiaji: Mishahara Yao

    Hapo ndo patamu, cjui nitoke kipapaaa au nitoke kitizi zaidi? Haijulikani kama ni interview ya mazoezi au ya nn....atakayejua pliz atupe infor maana....mmh
Back
Top Bottom