Search results

  1. Zahra White

    Unapowaambia wanaume watafute pesa, elewa wanatafuta pesa kwa ajili ya wanawake wa namna hii

    Mwanamuke ni pesa, mwanamuke matunzo. Pesa inaleta tacko. Pesa inaleta rangi ya chungwa. Money is everything. Nimedanga hapa mjini nimemaliza wanaume wote pesa, sasa hivi ninafanya kuwarudia tu. Pesa ninayo, nimezaliwa mzuri, nimezaa watoto wazuri na vibosile. Ila umalaya siachi wananitaka...
  2. Zahra White

    Ninamdai askari polisi

    Mkuu wa kituo(OCS) ndo ngazi ya juu, haonyeshi ushiriakiano. Ngazi inayofuata ni ipi?unaweza kunisaidia?
  3. Zahra White

    Ninamdai askari polisi

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ameniambia atanipa kesi ya ugaidi nikimfuatilia.
  4. Zahra White

    Ninamdai askari polisi

    Nimshtaki wapi?ikiwa mkuu wa kituo hatoi ushiriakiano? Polisi huyu anafanya kazi mahakama ya wilaya. Ni wale wanaolinda watuhumiwa. Yeye na mahakimu wa pale lao moja wanashirikiana kwenye magendo mengine. Naona hata nikifungua kesi sitofanikiwa.
  5. Zahra White

    Ninamdai askari polisi

    Hakika mkuu.
  6. Zahra White

    Ninamdai askari polisi

    Ninawezaje kupata haki yangu kwa huyu askari polisi? Ninamdai kiasi kadhaa alipata ajali ya gari akahitaji kiasi hiko atengeneze gari. Nilimpatia pasi maandishi, lakini nilimrekodi(audio) na wakati namdai pia nilimrekodi. Sasa ninaambulia matusi na kejeli. Nimeenda kwa mkuu wa kituo ili...
  7. Zahra White

    Unafanyaje ukifumania?

    He is behind bars.
  8. Zahra White

    Nina bahati mbaya na mashemeji

    Waambie watafute pesa.
  9. Zahra White

    Faida ya kuwa na mali nyingi ni nini kama wakati wa shida hazikusaidii?

    ruge hana bima?kuna bima inayocover 5m au 6m kwa siku?if yes nitajie
  10. Zahra White

    Wanaume tafuteni pesa!!!

    Umenielewa?unajua why nimeandika?kuna sehemu nimeandika mimi wa kukaa tu na sina chapaa?
  11. Zahra White

    Wanaume tafuteni pesa!!!

    initial capital utanipea na saloon pia.
  12. Zahra White

    Wanaume tafuteni pesa!!!

    oo Yeah total turnoff mwanawume asiye na pesa huyu hata hotelin he will ask price of water before ordering. money is everything mwanaume asiye na hela anakuwa musumbufu sana kind of zezeta.
  13. Zahra White

    Wanaume tafuteni pesa!!!

    Hasa mliofikisha miaka 36 na kuendelea, msipokuwa na pesa mnakuwa hovyohovyo hamna swaga, hamjiamini kila saa kusumbuana kwa msg, mvi zinawatoka, majasho, makunyazi, munakosa nuru kunawiri kwa ufupi munakuwa waovyo. Mwanamume mwenye pesa mob mutamu sana, self confidence, napewa nachotaka...
  14. Zahra White

    Je, uliwahi kuwa na mahusiano na Mwana JF?

    Michepuko yangu naisubiri hapa. One night stand na supertall siisahau, mukaka mutaalam sana.
Back
Top Bottom