Search results

  1. Josevic

    Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

    Kuwa mbunge tu imeshakuwa kichekesho, sembuse uwaziri
  2. Josevic

    Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

    Hiyo mpaka iweke kwenye 150x120 pixels. Ingia mtandaoni search "Online photo resizer" Kisha uiweke kwenye hiyo pixel
  3. Josevic

    Kitakachoamua CHADEMA kupata wabunge wengi hiki hapa

    Lissu akigombea halafu Membe akawa mgombea mwenza inakuwa karata nzito
  4. Josevic

    Je, itakuwaje kama ukiacha kulala usingizi?

    Ni kweli ila hapa tunawaza kama ingeweza kuwezekana
  5. Josevic

    Je, itakuwaje kama ukiacha kulala usingizi?

    Inashauriwa kulala masaa 6-8 kwa siku. Lakini itakuaje kama ukiacha kusinzia kabisa? Kwa kawaida binadamu hutumia theluthi moja (⅓) ya maisha yake akisinzia. Hii ina maana mtu aliyeishia miaka 60, basi ametumia miaka 20 kulala. Kama tusipolala ni wazi tutapata muda wa kutosha kufanya mambo...
  6. Josevic

    Naomba msaada namna ya kuwafukuza wapangaji wasumbufu na wachafu kwenye nyumba yangu

    Nyumba yako halafu unaogopa mpangaji... Fukuza Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Josevic

    Wanaume tujiulize baada ya kuruka kule na kule kuna utofauti wa ladha kwa wanawake?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] Eti kama indiketa ya fuso [emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Josevic

    Trump Ataja Korolokwini kama ni Dawa Inaweza Kutibu au Kufubaza Virusi vya Corona

    Kwahiyo tuwahi pharmacy Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Josevic

    Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

    Mimi pia walinitumia sms ya taarifa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Josevic

    Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

    Kuna The Incredibles, Megamind, penguins of Madagascar...
  11. Josevic

    Kila nikimdukua mke wangu sikuti kama ana mchepuko, nisaidieni wakuu

    Unataka ukishajua ana mchepuko ufanye nini?
  12. Josevic

    Mitihani ya kidato cha nne 2012 kusahihishwa upya

    Matokeo ya form four kupangwa upya na kufanyiwa standardisation, kutokana na necta kutumia mfumo mpya ambao hawakuufanyia utafiti; tusaidiane jamani ,sasa jamani hivi haya matokeo yanapangwa upya, kitu kinachomaanisha kuna possibility kubwa ya matokeo kubadilika kutoka grade moja hadi nyingine...
  13. Josevic

    Ufaulu wa kidato cha Sita 2013. Mwisho wa tetesi leo

    Matokeo ni kitu nyeti sana... Pengine hawataki ionekane kuwa siri zao zinavuja!
  14. Josevic

    Ufaulu wa kidato cha Sita 2013. Mwisho wa tetesi leo

    Baada ya kuwa na habari nyingi na tofauti tofauti kwa muda mrefu, leo tunafikia kikomo. Ni kweli kwamba matokeo yana asilimia 99 ya kutoka leo kama ukifuatili historia. Kwa miaka mitatu iliyopita matokeo ya kidato cha sita yamekuwa yakitolewa tarehe 1 mei. Ila kama historia isipojirudia basi...
  15. Josevic

    Kuku mgeni

    Ahsante
  16. Josevic

    Kuku mgeni

    Sijui hata nijitambulisheje! Kuku mgeni hakosi kamba mguuni...Me kamba yangu iko wapi?
Back
Top Bottom