Search results

  1. M

    Naomba kujuzwa gharama za kutengeneza sakafu rafu

    Nyunba ya vyumba 3 vya kulala vya wastani tu, sebule dining room, study room, bafu2 jiko na korido
  2. M

    Naomba kujuzwa gharama za kutengeneza sakafu rafu

    Habari za humu wadau? Msaada wenu tafadhali. Ninahitaji kupiga rafu sakafu, fundi kanambia labour charge ni sh 800,000/ ambapo ataongeza kifusi chini kidogo kunyanyua, maana kilikuwa kimeshawekwa kitambo na kazi inayobaki ya rafu, gharama yake ndo kanambia laki8, mimi nmeona ni parefu sana...
  3. M

    kubambikiwa mimba ulishawahi kujiuliza hivi!

    Kama mkewe anajua,asipojua hatamwambia!!!!!ha...haa...haaaa...!!!!
  4. M

    Tahadhari kwa wanawake walioolewa

    Ukitaka kutunzwa hivyo,kwanini huoi mwanamke asiye na kazi? Ili Kazi yake iwe kukutunza na kukutendea hayo utakayo? Tatizo mtu mwenye dhambi yake anapotaka kuihalalisha hutafuta sababu zooooooote duniani. maana kama ni kweli mkeo hakupikii chai,hakuwekei maji ya kuoga,kwanini humtaliki badala...
  5. M

    Tuelezane.....

    Acheni uongo jamani. Mnajua kabisa hiyo real mnayoitaka ni kidogo sana. Na mbona kama kweli mnataka real hamwendi huko vijijini/umasaini mkachague wale real ambao hata kuvaa nguo kwao ni ndoto?
  6. M

    The world is sinking!!

    Ndiyo maana tunaitika, "hadithi njoo, uongo njoo, utamu kolea! Au weew hukuanza hivyo?
  7. M

    I salute Women!!!!

    NI kweli tupu! Ukiona hupati,jiulize umekosea wapi? Na ukipata jibu, jirekebishe,utaona matunda. Kudos to all women! Mothers! Sisters!
  8. M

    Why wanawake hawapendi serious things?

    Nimetafakari sana nikaona wewe umedodoshwa toka mbinguni ndio maana ukaanzisha thread hii! Ungezaliwa na mwanamke ..................
  9. M

    fungua moyo!

    Mbona wewe una matatizo? tena makubwa! Kumwambia umpendaye unampenda unaona kero,kujibu message na kumpigia simu huwezi? Basi si kweli, humpendi! Maana pendo halioni kero wala usumbufu. Maana imendikwa "Pendo halioni mabaya,pendo huvumilia,pendo halichoki....." Kama wewe unaona hustahili...
  10. M

    fungua moyo!

    Uliyosema ni kweli kabisa! Na lazima tujue " 'falling down does not mean burial.'". Sijui kama yupo ambaye hajaumizwa na mapenzi na kama yupo ni heri kwake! Lakini ni kweli atakuwa hajakomaa. La muhimu ni mtu mwenyewe kuikataa hali hiyo na kukubali kuanza upya! NI ngumu sana na ni vigumu...
  11. M

    Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

    Lakini jamani kuuliza si ujinga,msaidieni kazidiwa !
  12. M

    Lowassa: Wakimwaga mboga namwaga ugali

    Mh! kwani mpaka atuambie? mwenye nia anafanya bila kutangaza,ubavu hana!
  13. M

    Will Smith is no more

    SIO KWELI, ANGALIA HAPA: blogs.villagevoice.com/music/2011/05/will_smith_not_dead.php:dance:
  14. M

    Power Mabula, Power Mabula

    Mwanaume wa ukweli bwana,tembo mi wa nini?
  15. M

    Two nuns!!

    hiyo pouwa
  16. M

    Power Mabula, Power Mabula

    Namtaka huyu........anapatikana wapi?
  17. M

    Nami natafuta

    :a s 109:
  18. M

    Behind any frustrated man there is a woman

    Pombe sio dawa ya kitu chochote! wewe mtu mzima bwana. Tafakari....chukua hatua
  19. M

    Unaomba je mashine!!!

    teheteheteheeeeee Ah...........U made my day,thanx!
Back
Top Bottom