Search results

  1. R

    Askofu anamiliki HAMMER ya 250million!

    Anayemiliki hammer yule mchungaji wa kanisa la ubungo maji(kanisa la misukule)
  2. R

    KKKT Kimara wavamiwa

    Duu poleni sana. kwa nini hawajapeleka hizo pesa bank jamani hapo wamekomba sadaka zote za jumapili.
  3. R

    Naambiwa ana mimba yangu

    Mpwa nipo makini sana mzeeya ndo maana nilimpeleka Angaza kwanza kujilidhisha kabla ya kutundika sox fidel80 kama ulimwamini na ukatundika sox iweje ukatae matokeo? naomba uelewe wanawake miezi mingine wanaweza wakawa na double cycle.
  4. R

    Natafuta chuma chakavu

    Sisi ofisine tunavyo utanunua kilo moja kwa sh ngapi? tuna mashine chakavu nyingi
  5. R

    Wizi wa gari

    Pole sana ndugu yangu. ulikatia bima comprehensive au third party?
  6. R

    Na mama mkwe naye anataka!

    Si amrudishe ma mkwe nyumbani ili aepuke hayo majaribu. na kama huyo ma mkwe anampa vitisho kwamba atamwambia mkewe sawa. Ni bora mkewe aambiwe kuliko afanye hivyo. Na anaweza kukataa kwamba ana uhusiano na shemejie ila akajitetea kwamba ma mkwe kamtaka akamkatalia ndio akamzushia hilo jambo
  7. R

    Uknown Alergy

    Pole sana ndugunyangu hata mume wangu anapatwa na tatizo kama lako ila si kila siku. na kwa sasa anajaribu kuobseve kama inatokana na chakula fulani au ni hali ya hewa
  8. R

    unatakiwa kuomba ruhusa au kuaga

    Wanaume wengine huwa hata hawaagi. Jamaa katoka ofisin mpaka saa tatu au saa nne hata hasemi yupo wapi. mpaka unamwuliza vipi kulikoni? ndio anakuambia ooh nimepita kwa washkaji. Sasa si ungetoa taarifa honey nitachelewa napitia kupata 2 na washkaji. Kumpa mwenzio taarifa ni muhimu. Je me...
  9. R

    Incredible Maths! - (I)

    Duh humu tupo na vikongwe
  10. R

    Je?hawa mapacha wananichezea shere ama vp?

    Sasa tutakusaidia vipi na wakati wewe ndio unawajua. tafuta njia ya kuwatofautisha la sivyo utajichanganya we mwenyewe
  11. R

    Insurance covers, scam or deal?

    Tatizo ni kwamba watanzania walio wengi hatujui maana ya bima na ndio maana makampuni ya bima hapa nchini yanafaidika sana kwa hilo.
  12. R

    Can Men and Women Be Friends?

    Mnakumbuka kinga lakini. maana gonjwa la ukimwi ni sawa na sodoma na gomora. unaangamia taratiiiiiibu.
  13. R

    Hodi, mjasiliamali mali ndani ya nyumba

    karibu jamvini mkuu. ila kama sisi tumelala kutafuta hizo pesa tunaomba utuamshe
  14. R

    Tahadhari na Taxi Dar!

    Pole sana ndugu kwa yaliyokukuta. Kuna kisa kingine kaka yangu siku moja anatoka kwenye mihangaiko akafika pale tangi bovu ilikuwa saa 2 usiku mvua inanyesha akasikia watu wanamwita tena kwajina kabisa wakamwambia tunaomba utusongeze jirani. akasimama akawachukua ila yeye akajaribu...
  15. R

    Msaada kuhusu proceedures za mimba

    Penny hongera sana. uashauri aliokupa M/Jadi ni mzuri na cha kuongezea ule samaki kwa wingi na usifanye kazi nzito
  16. R

    Which Internet Company is Good ?

    Sisi tunatumia TTCL Broadband sio mbaya na ni wireless tunatumia watu 3 kwa mwezi tunatumia 100,000 mpaka 120,000 ila inategemea na matumizi ya m2.
  17. R

    Lunyungu apata ajali

    Pole sana man.
  18. R

    Wanawake wengi hawajui menstrual cycle inafanyaje kazi

    ile maada ya nyuma kungurumweupe alielezea vizuri sana kwamba unaanza kuhesabu toka mwisho
  19. R

    Wanawake wengi hawajui menstrual cycle inafanyaje kazi

    Naomba msaada wenu kuhusu hizi siku kama nimeanza kubleed asubuhi ikifika ile siku ya kupata mimba inabidi niplay asubuhi au usiku?
  20. R

    Ofisi za DECI zavamiwa

    Mbegu zimegoma kuota.
Back
Top Bottom