Search results

  1. alsaidy

    Bingwa wa updates,Nokia yuko live Berlin Germany.

    Nilijaribu kuitumia Nokia 8110 4g Kama daily driver nilishindwa... Button zake zilivyo ni shida na ukiwa na mambo mengi ndio kabisaaaaa... Nilipata hasara nikaamua kununua smartphone kwa lazima... Ingawa inaingia WhatsApp ila kwa mwenye matumizi makubwa haifai kabisaaaaa
  2. alsaidy

    Liverpool kwa statistic hizi yeye ndie bingwa mtarajiwa

    Uko sahihi mkuu... Ila waswahili wanasema mpira unadunda... Pamoja na Liverpool kuwa katika kiwango cha juu katika kombe la UEFA msimu huu huwezi kusema moja kwa moja atakuwa Bingwa... Chochote kinaweza kutokea... Ingawa kauli yako inafurahisha kimoyo moyo.... Go go Liverpool
  3. alsaidy

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Tatizo la kuagiza nje linabaki pale pale ni kurisk kwa kweli... Anyway thanks kwa ushauri...
  4. alsaidy

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Hizo simu za Lenovo P2 zinapatiakana wapi kwa Dar kwa bei hizo?
  5. alsaidy

    Changamoto za kuagiza simu nje kwa njia ya regista na EMS ya posta

    Mkuu uko sahihi... Ingawa haijanikuta ila walio agiza mzigo kwa njia hio wana advice usiagize kitu cha thamani kama simu wanachukua... DHL na wengine kweli mzigo unafika salama tatizo shipping cost zao gharama kubwa...
  6. alsaidy

    HALOTEL, Nadhani mmefikia ukomo wenu wa kutuhudumia wateja wenu ambao tuna matumizi mazuri ya Internet

    Mkuu bado sijakuelewa... Nimekwenda kununua Salio kwa tiGo pesa ila sijaona hio kitu. Tafadhali fafanua kidogo...
  7. alsaidy

    Nimeshangaa nilipoambiwa matatizo yangu na babu nisiyemjua

    Kuna watu wana vipaji hivyo Mungu kawapa... Kuna kipindi niliumwa sana akaja Mzee akiwa anahema juu juu akaniambia nimeambiwa nije kukuangalia uko salama? Kwa wakati huo nilikuwa nimelazwa hospital ambayo ni hospital ya 3 kwani nilikuwa sijapata nafuu.. Nilimueleza kuwa niko sawa... Akakaa...
  8. alsaidy

    Chondechonde Azam Media tuleteeni mbadala wa TV1

    Mkuu una hakika unachosema? Maana msimu umeshaanza bado kimya....
  9. alsaidy

    Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

    That's Love... A really Love ina happen kwa wana ndoa wachache sana because these days A really love is a problem. Hongera kwa kuwa na mapenzi ya kweli
  10. alsaidy

    Raila Odinga ana hoja,Tume imeteleza. Fomu 34A na 34B zipo kisheria

    That's why I will not vote again in any upcoming elections...... Wa Africa democracy haituhusu....
  11. alsaidy

    Naomba msaada jinsi ya kujiunga GB what'sup

    Mkuu nimeipata kwenye website after searching...... Download GBWhatsapp for IOS Devices (Working) Lakini uki download ni file extensions ya Android .apk sijui inakuwaje au kuna kitu cha kufanya after downloading? Msaada tafadhali
  12. alsaidy

    Naomba msaada jinsi ya kujiunga GB what'sup

    Asante Mkuu wacha niifanyie kazi nitarudi na mrejesho....
  13. alsaidy

    Naomba msaada jinsi ya kujiunga GB what'sup

    Mkuu naomba unijuze unafanya vipi au kama kuna link ya ku download GB Whatsapp kwa iphone
  14. alsaidy

    Naomba msaada jinsi ya kujiunga GB what'sup

    Naomba kuuliza hii GB Whatsapp inakubali kwenye iPhone?
  15. alsaidy

    Kuhama mtandao bila kubadili line

    Mimi pia nilijiuliza hili swala...
  16. alsaidy

    DPP: Tutaendelea kumshikilia Maxence Melo mpaka pale upelelezi utakapokamilika

    Napendekeza hii hash tag kwenye mitandao yote ya kijamii
  17. alsaidy

    Nani simu yake imeweza kusoma 4G akiwa anatumia sim card ya tigo 4G?

    Ilichukua siku ngapi tokea uweke line ya 4G kuanza kupata 4G??
  18. alsaidy

    Nani simu yake imeweza kusoma 4G akiwa anatumia sim card ya tigo 4G?

    Hongera mkuu... Lumia yako ni Windows ipi 8.1au 10? Naomba unitumie screen shot ya setting zilivyokaa. Samahani kwa usumbufu na nashkuru kwa taarifa...
  19. alsaidy

    Nani simu yake imeweza kusoma 4G akiwa anatumia sim card ya tigo 4G?

    Mimi niko maeneo ya mjini... Nikisearch network inakuja tiGo LTE ila ndio hivyo siipati. Niko Tanga na maeneo mengi yana 4G. Yaani nashindwa kuelewa kabisa.....
Back
Top Bottom