Search results

  1. kilema

    Serikali Tatu: Ni mfano wa kutoka nchi gani duniani?

    Copy and paste?. Ni lazima tukopi au tuletewe na world bank? Hata la serikali yetu wenyewe? kwani machief wetu walicopy wapi kuanzisha serikali zao za jadi? Tuache ubinafsi wa kutajirika na siasa and use our brains.
  2. kilema

    CCM Nambari wani

    Unafiki mtupu hata ndani ya bunge ni unafiki mtupu. Utasikia naunga mkono hoja halafu malalamiko kibao sielewi. Wabunge wa CCM wanachekesha sana maelezo yao yanakinzana na hitimisho hivi wanamdanganya nani?
  3. kilema

    CCM Nambari wani

    Unafiki mtupu hata ndani ya bunge ni unafiki mtupu. Utasikia naunga mkono hoja halafu malalamiko kibao sielewi. Wabunge wa CCM wanachekesha sana maelezo yao yanakinzana na hitimisho hivi wanamdanganya nani?
  4. kilema

    Speech ya Kikwete Davos- World Economic Forum--Tatizo nini?

    Acheni longo longo. Toeni hoja kama ungelikuwa wewe. domo refu tu
  5. kilema

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    Tahadhari! Hebu tujiulize. Hivi dawa ya babu kama ni sumu ya kuondoa pole pole itakuwaje? Nani anajua athari zake? Huyu Babu mwenyewe umri umeenda inawezekana akili zake zimeanza kupoteza majira lakini kila mtu anakimbia huko. Hiii sii hoja hoja ni kwamba Hivi kweli watanzania uwezo wa...
  6. kilema

    Haki Za Mashoga!!

    Dunia imekwisha! Mnataka kuwapa haki wavunja sheria? Wanavunja sheria ya asili mbayo ndio sheria mama halafu tunawachekea. Nitapinga mpaka mbinguni. Mlaaniwe wote mnaozungumza mnaoandika mnaofikiria na mnaofanya mambo hayo kufisadi maumbile
  7. kilema

    Yuwapi Mh Zitto?

    Zito zi zito tena. Yuko kwenye maji ya sabuni ndani ya ndoo akisubiri kusuuzwa na kuanikwa kwenye jua kali
  8. kilema

    Pwani! Kuna tatizo gani!

    HA HA HA. Huko Marekani kuna afro-Americans mbona huko Arabuni hamna afroa-rabs. Watumwa waliopelekwa Arabuni hakuna alieoa? ina maana wote waliolewa wanaume kwa wanawake
  9. kilema

    Finding the G-spot: Is it real?

    Mambo makubwa ya wenzetu ambao tayari wanatafuta dawa ya dawa ya kuzuia za ukimwi. Sisi hata maji safi na salama ndani ya jiji kubwa la bongo ni issue . lazma mfadhili
  10. kilema

    Lowassa is back!

    Kama ana nguvu za kurudi tufanyeje. Mwenye nguvu mpishe
  11. kilema

    Kumchungulia mkeo msalani

    KAZI nzuri lakini Bima iko mkong'oto ipo?
  12. kilema

    Kwenda Mpirani au kutembelea mafuriko?

    mimi nalia na washauri wake. Wafukuzwe kazi wote
  13. kilema

    Hivi JK hili amepatia?

    Namkumbuka marehemu Kolimba "CCM haina dira wala mwelekeo" Serikali yetu ya CCM na inaongozwa na CCM. Dira au mwelekeo ni bidhaa adimu
  14. kilema

    Marrying a chagga

    mimi nimeoa cha porini
  15. kilema

    Tanzania: Vyeti bandia, elimu za kununua na watumishi vihiyo

    Ha! Ha! Ha ! Watanzania tuendelee kupokea mlio wa fedha badala ya fedha yenyee. kalakabaho
  16. kilema

    JKT - Makutupora - OP Vyama VINGI

    ha sisahau! Niliambibiwa na afande niazime apetite kwa mwenzangu kama sina
  17. kilema

    Nagombea urais wa "inji" hii 2010

    Wana JF naomba mniunge mkono nataka kugombea urais wa "INJI" hii 2010. SERA ZANGU NI HIZI HAPA WAHINDI WOTE KWAO INDIA WAPEMBA WOTE KWAO WALIOTUHUMIWA UIFISADI WOTE RISASI HADHARANI KAZI ZOTE ZA SERIKALI NATANGAZA UPYA MIKATABA YOTE FISADI NAFUTA VIONGOZI WOTE WALIOKAA MADARAKANI SANA...
  18. kilema

    UFISADI: The Making Of IPTL

    nipatieni urais mwaka 2010 mwone
  19. kilema

    Mwalimu Nyerere Wamlipua Kikwete

    Tanzanians Talk too much. We talk the walk and never walk the talk and then we boost ourselves that we walked the talk. Tulivyopata uhuru tulikuwa na uchumi mzuri kuliko Malasia sasa wenzetu wako ulimwenga a pili sisi wa nne. What are we waiting for ? death?
Back
Top Bottom