Search results

  1. Mgirik

    Wanaume Tubadilike

    Ndio nyinyi wakulialia
  2. Mgirik

    Wanaume Tubadilike

    Aliyekwambia ukilia ndio unatoa stress nani? Kuondoa stress ni ww mwenyew kukubaliana jambo linalo kusumbua. Hata kama ni tatzo zito kubali kuwa hyo ni sehemu ya maisha yako ambayo Mungu alipanga kuwa utayapitia sasa ni ww kulitatua. Kwani wanawake wangapi wakipgwa chini wanalia na bado...
  3. Mgirik

    Wanaume Tubadilike

    Bro dunia imekwenda siku hizi kala kitu ni umayai tu. Mwanaume anamvisha pete mchumba wake analiga magoti na anashika uso. Mambo mengne ya hovyo
  4. Mgirik

    Umewahi jutia kwa kutomsaidia mtu?

    Alinipigia simu na kuniambia mwanangu nakuhitaji nyumbani kuna jambo linanitatiza. Kwakuwa nilikuwa naishi mbali na nyumbani nilichelewa kwenda kwa muda wa kama wiki. Wakati najiandaa kuwa kesho naanza safari ya kwenda saa nane mchana napigiwa simu ameshafariki. Sijui hata ni kitu gani...
  5. Mgirik

    Huyu mpangaji mwenzangu nashindwa kunielewa

    Hawana lolote hao. Wanachokitaka ni kukuchokonoa ili wapate kujua undani wa mishe zako. Na yawezekana huyohuyo mama ndio anataka kukujua zaidi. Hapo cha kufanya ww kuwa busy na mambo yako tu
  6. Mgirik

    Napitia magumu na makubwa moyo unaniuma natamani kuchukua maamuzi ila sina nguzo imara ya kusimamia naombeni ushauri

    Hata hili lililowazi unashindwa kufanya maamuzi je siku ukikutana na gumu zaidi itakuwaje? Hebu acha utoto! Unachezewa hisia. Huyo mwanamke hajitambui bado. Huyo atakuja kutulia akipigwa tukio
  7. Mgirik

    Nahitaji kusahau tukio zito alilonipiga X wangu

    Yaani uandishi tu unaonesha hii ni kyai kya moto kya rangi kiko kwenye kikombe kya kyuma!!!! Khantwe upo mama! miss chaga Evelyn Salt. Mu wazima?
  8. Mgirik

    Ni kweli kuna wanawake wananyota nzuri ukiwa nao au ni dhana tu?

    Maleven bado uko africa kusini unafanya ujambazi?
  9. Mgirik

    Mke wa mtu ameniweka matatani wakuu nisaidieni kuchomoka hapa

    Acha kuhangaika na mambo yasiyokuhusu. Kama kujiua si atajiua yeye? Wewe inakuhusu nini Acha apambane na mzigo wake maana hata wewe siku ukioa utapambana na mzigo wako. Unaweza ukawa unakula kisela ila ujue muda wowote mume wake akigundua wewe ndo utakuwa chakula cha mumewe
  10. Mgirik

    Wanandoa wengi hawapendani

    Duh! Ila wanawake wakatili sana. Nikiwa ndio mm huyo mwanamke ndio basi tena
  11. Mgirik

    Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah! Nmecheka sana
  12. Mgirik

    Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

    Upo rafiki yangu? Kitambo sana dada yake! Kubaka mbona sio jambo la siri[emoji1787][emoji1787]
  13. Mgirik

    Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

    Mwaka 1994 kuna kitendo nilifanya hata kukielezea sitaweza hii itakuwa siri yangu mpaka nakufa. Kila nikikumbuka napata mfadhaiko sana. Hii Dunia
  14. Mgirik

    Muuaji wa Kilifi Paul Mackenzie, ni vigumu kumtia hatiani vinginevyo dini zote zifutwa

    Ila kuna watu ni mazwazwa. Hivi mtu aanze kukushauri usile na jitu linakubari kweli?
  15. Mgirik

    Mzee wa hovyo

    [emoji1787][emoji1787]mzee katingwa na nyege
  16. Mgirik

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Fine acha tufanye ana mtoto huyo ni wake
  17. Mgirik

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Ni mwanamke lakn hyo picha ni ya mtoto wa Zimbwe' halafu alipata mimba lini mpaka ajifungue wakat juzi alikuwa world cup?
  18. Mgirik

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Babra kajifungua!!!??? Ujinga mwingne huu
Back
Top Bottom