nadhani iikuwa debt financing baada ya muda mwekezaji anachukua hela yake. sina hakika kama mkopo ulikuwa hauna riba au uwekezaji wa serikali ulikuwa kuokoa benki na matatizo ya vyama vya ushirika. Kizazi cha sasa hawajui kuwa hii benki ilikuwa kwa ajili ya ushirika, vyama vingi vimekufa
ina maana hilo ni eneo salama. vinginevyo ungekutana na vibaka. ilimradi hawasumbui mtu au kuhatarisha usalama wa vyombo vya moto kwao na watumiaji wengine sioni tatizo
sidhani kama inalipa. watu wengi wanaangalia movie kwenye vingamuzi au youtube. tatizo kwetu huwa zinafika zimechelewa sana. Pia udhaifu wa sheria ya hati miliki ukikodisha moja utashangaa nakala zake zitakavyojaa mjini.
upo sahihi ila watu watazoea tu, huna haja ya kuweka taa za kuongeza magari, fly over zitakuwa nyingi tu baadae.
Hiyo ya ku keep left au nini hata barabara ya Morogoro kwenye rapid kuna sehemu nyingi tu ukitaka kupinda kulia unaingia mchepuko wa kushoto kwanza na kutoka main line.
sijui nani...
Vibao vya kuonyesha njia ni vidogo, nchi nyingine ni size ya mabango makubwa ya matangazo unayoyaona na pia huonyesha umbali wa kufikia eneo husika. mf hapo Dar port ilipaswa iseme Port -3KM
Hilo tatizo halikuanza leo, unasema sababu za kitoto, soma gazeti la Raia Mwema la tarehe 3 February 2015, walishaanza kuongelea hii issue ya kukataa mshahara kwa vile ulikuwa ni mdogo na kuwa bodi ilikuwa inasubiriwa kuidhinisha mshahara mpya
ukiangalia gazeti la Raia Mwema la februari 3, 2015 alikuwa anachukua posho za safari. Alitaka bodi iidhinishe mshahara mpya na malimbikizo yake ya nyuma.
1. Serikali inalipa interest kuhifadhi mshahara huo ili apate net yake.
2. Wewe nyumbani una mtoto chini ya miaka 18 anasoma ila hali chakula nyumbani, wewe unaona sawa tu kwa kuwa anaokoa matumizi? ikitokea fraud na yeye anahusika basi na mwajiri nae atalazimika kujibu tuhuma kuwa alijua kuna...
posho na mshahara ni vitu viwili tofauti. Posho unaweza usidai na hakuna tatizo, mfano ukienda safari usipodai marupurupu ya safari hakuna atakaye kuuliza ili mradi ulienda na kazi umefanya. mshahara unapaswa kuingia moja kwa moja kwenye acc
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.