Search results

  1. Sikafunje

    Je, unadhani Rais Samia kwenda kusemea Marekani kuwa kufanya Kazi na Hayati Rais Magufuli ilikuwa Ngumu analenga nini kati ya yafuatayo?

    Kwa kweli hii ilikuwa ni fedheha kubwa kwa nchi yetu, inabidi akumbushwe kuwa inawezekana hata makamu wake Dr. plan pia nae hamwelewi lakini kwa hekima zake sidhani kama anaweza kutamka hayo maneno si ughaibuni tu bali hata ndani ya nchi. Kwa kw2eli mama wa kupapaswa na kupuliza mfuuuuuuu kachemka.
  2. Sikafunje

    Kama MWAKYEMBE na MAGUFULI wanafanya uhuni huu basi CCM imedhamiria kuwazika Watanzania!!!

    Kwa kweli nyie ndo wahuni tena lengo lenu siyo zuri kwa watanzania wengi, ila nyinyi ni mafisadi au makuadi wa mafisadi mnaojificha humo JF kwa malengo ya hao mabwana zenu ambao wanamiliki hayo madaladala. Acheni watu wafanye kazi bwana, nyie ndo mnaomba viongozi wetu wachapa kazi walishwe hata...
  3. Sikafunje

    NEWS ALERT: DR.MWAKYEMBE: USIWAAMBIE...nitafunguka MWENYEWE..

    Hivi wewe unamfahamu vizuri huyo Mwakyembe? Huyo jamaa hana urafiki hata na ndugu yake yeyote ambaye hatendi haki au anafanya ufisadi. Nlijaribu kufanya utafiti kidogo nikagundua ni mtu wa aina yake, kwake hana hata biashara ya kufuga kuku zaidi ya kuwekeza katika siasa kwa kuwatumikia...
  4. Sikafunje

    Kukodisha Airbus ni mkataba wa kipuuzi - Mwakyembe

    Sasa hivi wanaume wenye uchungu na nchi hiii katika serikali ya J.K. tumewapata wanne, wa kwanza Mwakyembe, wa pili Kagasheki, wa tatu ni Sita na wa nne ni Magufuri japo aliteteleke katika suala la kuuza nyumba za serikali. Lakini angarau hao kinaonekana wanachokifanya. Mwakyembe watanzania...
  5. Sikafunje

    Lowassa aonja nguvu ya CHADEMA Tunduma

    Hizo ni ngurumo tu bado Kyela wanamsubiri, hizo pesa za kifisadi zitamuua na hicho kiharusi chake.....
  6. Sikafunje

    Diwani wa Magamba kafungwa jela lakini anendelea na vikao vya halmashauri

    Kuna taarifa nimezipata kuwa kuna diwani mmoja amehukumiwa kwenda jela miezi mitatu kwa kosa la jinai lakini baadhi ya viongozi wa CCM wamemsaidia yeye kutumikia kifungo cha nje pamoja na wenzake aliofungwa nao, nasikia anaendelea kushikiria nafasi yake ya udiwani na kuhudhuria vikao kama...
  7. Sikafunje

    JK, Mukama watua Dodoma, utata mtupu mawaziri 8

    Hana lolote huyo ila ni party II ya picha kama za Kanumba. Sterring hafi hata siku moja.
  8. Sikafunje

    ADC yavunja Ngome ya CUF Zanzibar, Wanachama zaidi wajitoa

    Hawa jamaa hasa huyo bwana mandevu, amefukuza watu wengi sana kwenye hicho chama. Kuna vijana wazuri nawafahamu waliondoka kimyakimya kwani walikuwa wakimwogopa sana huyo bwana mandevu, nasikia akipewa tu hata umbea kwamba fulani anakupinga habaki salama katika chama. Sasa kakwaa kisiki cha...
  9. Sikafunje

    Mauaji ya Songea; IGP - Said Mwema aomba radhi

    Umesema kweli kaka, hili nalo litaisha kimya kimya na watu wote tutaendelea na maisha yetu kama kawaida kama vile wanaokwenda katika ukumbi wa sinema si ikiiisha (the END) kabla hata hatujaambiwa tutoke tunaanza kusukumana kutoka hata kama ulichoona hakifanani na pesa yako. Sijui watanzania...
  10. Sikafunje

    Dkt. Mwakyembe aandika waraka wa siri!

    We Solokondo, mbona unaongea kama umetumwa na mtu, siamini kama kuna mtu mwenye akili timamu na ubinadamu juu, akaongea maneno kama hayo. Yule bwana anaumwa hasa, na si ugonjwa wa kawaida, mwenzio akinyolewa wewe tia maji kichwa chako. Kumbuka iko siku yanaweza kukufika wewe, lakini...
  11. Sikafunje

    Madaktari wote kurudi kazini 10/Feb/2012 asubuhi

    Wanaume waliamua hata angelia vipi wasingemsikiliza kwa sababu alishakosea kusaini kwa niaba ya raisi kuwalipa posho wabunge wenzake wakati rais alimwambia atumie busara na hekima, busara na hekima zake ndo zilimfikisha hapo, mama Sita katoa machozi lakini hawakumwangalia usoni, BRAVO...
  12. Sikafunje

    Shellukindo adaiwa kuongoza uasi CCM

    Nimekupata mkuu, ila wakati huo mzee Shelukindo akiwa mwenyekiti wa kamati ya Nishati na madini alikuwa pia na kundi hilo la wapambanaji, nguzo zilipoanguka naye kageuza kibao hasa baada ya kusaidiwa kupata ubunge na EL, nakumbuka hadithi ya paka kukaa jikoni na akinamama kutoka porini akiishi...
  13. Sikafunje

    Shellukindo adaiwa kuongoza uasi CCM

    [Inadaiwa kuwa Beatrice Shellukindo aka Jairo mbunge wa kilindi anaongoza uasi ndani ya wabunge wenzake wa CCM ili kuikomoa serikali kwa kuwa amenyimwa uwaziri.Shellukindo alikuwa na matarajio makubwa sana kupata uwaziri,alipoona ameukosa ameamua kula sahani moja na wale waliopo madarakani...
  14. Sikafunje

    Kigugumizi cha Naibu Spika leo - Februari 08, 2012

    Umesema kweli, hawa wote maspika na wenyeviti wao hakuna kitu, kwani waliwekwa ili kuisadia serikali, na wanaogopa kunyolewa kama alivyofanyiwa mzee wa viwango SS. Ndani ya roho yake Ndungai anaonekana ni wa ukweli ila kwa sababu mkataba alioingia na serikali yake ya kisanii anjikuta anaamua...
  15. Sikafunje

    Vicky Kamata: Mageuzi usiniguse tumeolewa na CCM

    Huyu mwanamke anatia kichefuchefu, kazi yake ya kukata viuno mbele ya waheshimiwa sasa imefikia hatua mbaya! unajua kupata nafasi ya kisiasa kama ubunge, kwake ni kama anaota, yaani haamini kilichotokea kwamba hata yeye! sasa atasema maneno hata ikibidi kumtukana babake anaeza. Hebu muulizeni...
  16. Sikafunje

    Maalim Seif anakagua miradi ya maendeleo Tz bara kama nani?

    Kwa mujibu wa sheria iliyounda vyama vyingi, Raisi wa Zanzibar anapokuja bara ana hadhi ya waziri wa serikali ya Muungano, sasa sijui huyu makamu wa raisi ana nafasi gani, manake haya mambo yanafanyika kwa mtindo wa zima moto.
  17. Sikafunje

    Zitto Kabwe aomba Bunge lisimamishe shughuli zote juu ya Jairo!

    Hajakosea ni kweli wabunge wa chama cha magamba ni ze comedy kwani wanaweza kujadili jambo kwa uchungu na sauti za juu lakini mwisho wa yote watamalizia na kusema "Mhe. spika naunga mkono hoja kwa asilimia mia moja"
  18. Sikafunje

    Ze komedi -vs- Futuhi

    [ Kama huelewi ukae kimya! Ila habari ya Kyela kuingiliwa imenivutia hasa hiyo comment yako. Lakini wajue Kyela si ya Mabwege tena!!!
  19. Sikafunje

    Salam zao Apson na Mboma

    Hapo umenena Mwanakijiji, hao ndo tatizo kubwa katika mkoa wa Mbeya na nchi hii kwa ujumla. Hao ndo hupanga safu ya uongozi katika mkoa wa Mbeya, na hasa hasa Apson, ndiye anawatesa akina Mwandosya na Mwakyembe!
  20. Sikafunje

    Hosea aligeuzia Bunge kibao

    [ . Sawa bwana Zito, ila huyo bwana Hosea akae pembeni kwanza hatuna imani naye kwani kama alifanya aliyoyafanya kwa Lowasa kumsafisha na Richmond, atashindwa vipi kuwabambikia wabunge tuhuma?
Back
Top Bottom