Search results

  1. Bantugbro

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Naona BRT station ktk Tanzanite SGR terminal inakaribia kwisha, view from PSPF twin towers...
  2. Bantugbro

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Procurement rules za GoT haziruhusu ununuzi wa vitu used kwa sababu itakua ngumu sana kupata mshindi wa tender, value for money etc. Inaelekea hao TRC walipata offer nzuri ya treni za kuanzia ambazo zilikua zimeanza kujengwa kwa ajili ya mteja mwigine sasa wakatakiwa kufanya modifications fulani...
  3. Bantugbro

    EACOP vs Lamu pipeline

    Safi sana kuna viroboto wako busy kuprotest huko France ili Uganda na TZ wasinufaike na hii project, wamesha-fail...
  4. Bantugbro

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Nasikia ni msanii mpya wa kizazi kipya :-)
  5. Bantugbro

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Great stuff, This is the longest electrified SGR in Africa coupled with the longest heated crude oil pipeline in the world.... Kind of stuffs only the giants can do
  6. Bantugbro

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Tusichangane vitu, hapa kuna set mbili za Electrical trains zinazokuja between now (February) and April 2022: 1: Yerpi Merkezi- Kichwa kimoja cha majaribio cha mfumo wa umeme cha mkandarasi. 2: TRC - Vichwa viwili vya umeme pamoja na mabehewa 27 ya Ghorofa yaliyonunuliwa toka kampuni ya reli ya...
  7. Bantugbro

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Tusichangane vitu, hapa kuna set mbili za Electrical trains zinazokuja between now (February) and April 2022: 1: Yerpi Merkezi- Kichwa kimoja cha majaribio cha mfumo wa umeme cha mkandarasi. 2: TRC - Vichwa viwili vya umeme pamoja na mabehewa 27 ya Ghorofa yaliyonunuliwa toka kampuni ya reli ya...
  8. Bantugbro

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Aisee hawana bado, nilikua huko 3 weeks ago, Bongo is miles ahead in terms ya dollar millionaires.
  9. Bantugbro

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Ni kama vile structure imejengwa kufuata profile ya landscape pale.
  10. Bantugbro

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    They are really moving fast, nilikua hapo 3 weeks ago na hakukuwa na hio new structure ya BRT.
  11. Bantugbro

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Inafanya scanning kuangalia patterns za radio frequency spectrum activities pamoja na occupancy. Ukiwa unaiba mawimbi lazima ukamatwe tu hapo. Hio kitu inaweza kufanya direction range finding na kujua sehemu yanakotokea mawimbi ya mawasiliano yasiyoruhusiwa.
  12. Bantugbro

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Aisee niko Bongo wiki hizi 2 na jana nimepita hayo maeneo kuanzia kamata flyover na hapo chini ya daraja la Nkurumh SGR , kazi imefanyika, timu niliyokuwa nayo toka nje imekubali kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa sana ktk infrastructure development...
  13. Bantugbro

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Happy New Year wanajamii! Hio yote inatokana uthubutu wa JPM (RIP) kufanya bold projects. Ameonyesha njia na wengine wafuate, we have got so much untapped potential to develop the country just like the way South Korea, Singapore, Thailand, Vietnam did to mordenise and expand their economies...
  14. Bantugbro

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Kuna milima ya Sekenke...
  15. Bantugbro

    Bishop Gwajima: Hamnitishi kitu, nilicho nacho nimepewa na Mungu

    Gwajiboy ata wa-outlive wanasiasa wa miaka mi5 mi5 yeye ataendelea kuwepo kama Askofu wa kanisa lake hata baada ya utawala uliopo. Wanasiasa na watawala kuweni makini na viongozi wa dini. Kumbukeni JPM alimleta Gwajiboy CCM ili kum-contain baada ya kuonekana kuwa ni mwiba sana kwa wakati ule...
  16. Bantugbro

    Hongera TCRA kusisitiza Professionalism kwenye habari! Acheni double standards, acheni uonevu. Tendeni haki kwa Watanzania!

    Well said mkuu, Hivi mimi nikitaka kufungua online class yangu ya kufundisha vijana Artificial Intelligence inabidi niajiri mwanahabari pia?? TCRA wanashindwa kutofautisha kati ya utoaji wa habari mtandaoni na ufundishaji mtandaoni. Wakiendelea na upuuzi huu nchi itaendelea kubaki nyuma ktk...
  17. Bantugbro

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Dar ni city lenye beaches kamwe haliwezi kuwa sawa na hinterland city kama Nairobi huo ndio ukweli.
  18. Bantugbro

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Hio ndio habari ya mujini mkuu...
  19. Bantugbro

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Mzigo umeshafika, foleni ya meli za mizigo zinazongoja kuingia bandarini kushusha ni kubwa... Huko awali nilisuggest walete kwa ndege kama An-225 Mriya but nafikiri kwa double decker tulizonunua ingekuwa tatizo kidogo kutokana na umbo sio kwa uzito...
Back
Top Bottom