Search results

  1. A

    Wanafunzi Wasagana Mabwenini, Shule Yafungwa

    Waswahili walisema, "mwenzako akinyolewa, zako tia maji" Hapa point sio kwamba ishu imetokea SA basi Bongo kwema, point ni kwamba tujiandae kudeal na mambo kama haya. Sio ka Bongo ndo hatuna wasagaji, wapo wengi tu ila bado hawajitokeza in public kihivyo. These are some of the cultural shocks...
  2. A

    CHADEMA imefanya nini kustahili dhamana ya Uongozi wa Taifa?

    CHADEMA inaweza ikawa na mapungufu yake lakini hii tu haitoshi kuniconvince niing'ang'anie CCM. Kila chama kina mapungufu yake na hamna hata kimoja chenye guarantee kuwa kikiingia madarakani hakitavuruga ila tukisema basi bora CCM ibakie tu tunakuwa tunapotoka. Bora kukipa chama kingine...
  3. A

    Ni lazima tugawanyike; Lazima tusiwe na umoja! -Yes I said it

    Dah! Hizo comments chache za kwanza zilinitisha kidogo...Nimefurahi kugundua kuwa kugawanyika kwa mitizamo ndiko kunakoongelewa hapa. Kama ni hivi, mi nasupport fully ila nafikiri kugawanyika huku kupo tayari tena hivi sasa kumekithiri hata zaidi. Tuna mgawanyiko kwenye mitizamo ya aina...
  4. A

    Kabila Lako Lina Sifa Gani?

    Naomba niulize, hii thread ina purpose gani hasa?
  5. A

    Rais Kikwete aagiza flyovers zijengwe Dar haraka sana

    Dah! Mzee mjanja kweli! Yaani 2010 imewadia tu ndo anashtukia ka tuna foleni bongo. Lo! Kweli watu walipatia walivyosema miaka minne/mitano iliyopita yote ilikuwa introduction ya ari mpya, saa hizi anataka kuleta kasi mpya kwa kukurupuka tu alafu sijui ataomba term nyingine ili alete hayo maisha...
  6. A

    Why Catholic seminaries excel in exams

    Sio utani mtu wangu, like it or not, kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu unasaidia sana tu. Mimi nimesoma shule ya kikatoliki (sio seminari) na kusali ilikuwa ni lazima kiasi kwamba you grow to enjoy it. Na whether you agree or not, ni one of the factors zinazoset shule hizi apart. I would...
  7. A

    Who’s afraid of big bad Kenya? Not me

    Lini tutaelewa kuwa hii chuki na lawama haitatupeleka popote? Hii article inatuonesha kabisa kwamba hamna wa kuchekana hapa, ka maskini, wote maskini. Major resources ziko mikononi mwa Europe na Asia, East Africans wenyewe kapa. Inakuwa vipi tena tunaanza kujicompare na kuzozana over nothing...
  8. A

    Kwanini Dunia inawalaumu Wayahudi(Jews) kwa kila kitu?

    So, what is your point sir? I guess his point would be that this is not the first time Jews are being blamed for something and all this was started by one person called 'Mr. X' who has quite a number of followers.
  9. A

    Wana CCM naomba mhalalishe picha hizi

    Umeelewa mada inayozungumziwa hapa au umeamua kuvumbua mada yako mwenyewe? Chunga unachoandika jamani, ni aibu kubwa kama mtu mzima kabisa unaweza kuandika mambo kama haya kwenye forum hii.
  10. A

    What Kenya can teach Tanzania and vice versa

    Sina uhakika hii article ina ukweli kiasi gani ila naona comments nyingi zimejaa chuki kushinda vitu vingine. Kwasababu tu wametulinganisha na Kenya basi imekuwa shida. Tungelinganishwa na Rwanda hivi sidhani yaliyosemwa hapa yangejitokeza. Natamani sana ifike siku ambapo watanzania na wakenya...
  11. A

    Kofi Annan Chini Ya Ulinzi Mkali!

    Tuavoid generalizations bwana, just cos waTz tuko laid back compared to Kenyans doesn't mean we're good for nothing! Hiyo extreme mtu wangu!!
  12. A

    Kenya and its WAZUNGUs

    Mi nafikiri ni high time sasa tubadilishe mitazamo yetu. Our mindsets need to change for this issue to be solved. Hili tatizo ni la muda mrefu tu na bila shaka limesababishwa na ukoloni. Ila sasa hivi tuko katika new age ambapo wabongo, wazungu, wahindi, wakenya, waarabu au wachina wote tunaweza...
  13. A

    Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

    Mh! Tz tusipoangalia sasa tunaelekea pabaya. Siku zinavyoenda ndo mambo yanazidi kufanyika wazi bila haya! Sijui wanafikiri si wote vipofu na wajinga, tuna akili za kuanalyze tunavyoviona. Tukiendelea hivi, patakuwa hapatoshi jamani, who knows who will be targeted next?! Mungu ibariki Tz, hasa...
  14. A

    Tifu ndani ya Ofisi ya Raila:Please Style Up!!

    Baada ya kusoma comments hapo juu imenibidi niongee. Hivi tukiweka comments in this forum, r they meant to build a wall btn Kenyans n Tanzanians or r they meant to make us work together in trying to solve our humungous problems. Both countries are way below the poverty line, we generally have...
  15. A

    Cheche: "mmekula na hamshibi?" - Selelii

    Great insight!! Suala lingine linalonitatiza sana siku hizi ni hawa watu wanakula nje nje kabisa bila aibu! Alafu tukiwakamata wanajiuzulu tu au ishu inaisha kiaina ila hawarudishi hicho chakula ambacho in essence wametuibia tukiwaona. Tutaendekeza ishu kama hizi mpaka lini jamani?!
Back
Top Bottom