Search results

  1. kinya

    Nipe jina la muvi au series nitakupa

    Kara sevda(endless love)
  2. kinya

    Thadhei Ole Mushi: Ni matumizi gani tunabana? CCM mpya inafilisi nchi

    Mkuu kwa hali ya Tanzania yetu bila mtu kuhakikishiwa atagombea tena nafasi ile ile kuna uezekano kweli MTU akahama chama?Kama hama ikizuiwa means chaguzi za marudio zisizo za lazima zimezuiwa na matumizi yamebanywa simple huhitaji degree ya uchumi katika hili.
  3. kinya

    "Aliyemshauri Magufuli kupandisha madaraja badala ya kuongeza mishahara ana akiri za kutosha"

    Lakini vyote ni Haki kwa mtumishi...wakati wa awamu za kifisadi vyote vilipatikana sijui pamoja na kuondoa hewa na makandokando yote bado tunakwama wapi?
  4. kinya

    Baada ya kuishi naye zaidi ya mwaka, nimegundua ana mtoto wa miaka 9!

    Kuwa Kuwa single mamy wala si tatizo shida nini kipo nyuma ya huo uongo uliotukuka? Kuhusu umri na kuwepo kwa mtoto? Anayeishi nae ndo anawajibika kujiridhisha Kama huu uongo ulikuwa na nia njema ndani yake ama la!
  5. kinya

    Baada ya kuishi naye zaidi ya mwaka, nimegundua ana mtoto wa miaka 9!

    Kuna Uhalisia Unasema kinyume hakuna mapenzi yanayozidi mapenzi kwa mtoto, pia kwanini mama mkwe ameamua kufunguka kwa mkwe wake? Mdau ajitulize afanye maamuzi sahihi bila shinikizo letu.
  6. kinya

    Ripoti zinasema wagonjwa wengi wa akili wanapatikana Uru mkoani Kilimanjaro

    Sina hakika maana sina Takwimu sahihi, na kama ni boda boda MoI ilikuwepo kabla ya uwepo wa hizi boda boda nyinyi
  7. kinya

    Ripoti zinasema wagonjwa wengi wa akili wanapatikana Uru mkoani Kilimanjaro

    Kwa mantiki hii unataka kutuambia kuwa Dodoma ndo sehemu yenye watu wengi wenye shida ya afya ya akili? Yaani Dar es salaam ndo kuna shida zaidi za kuvunjika... MoI na Pia shida za Moyo JKHI muhimbili? Si kila theory ni valid kila mahali.
  8. kinya

    Ripoti zinasema wagonjwa wengi wa akili wanapatikana Uru mkoani Kilimanjaro

    Nimejaribu kupitia makala na baadhi ya michango ya wadau vyote vimeshindwa kuonyesha ni kitu gani Uru Kama eneo kipo kinachopelekea watu wa eneo hilo kuwa vichaa zaidi ya pengine hivyo kuzalisha vichaa wengi. Wadau wanapaswa kukumbuka Moshi mjini kama sehemu ya Uru inahospitali inayohudumia...
  9. kinya

    Mkurugenzi mkuu SSRA: Kiuhalisia michango yote ya mstaafu ni 20% ya mshahara wake so 25% inampa ziada ya 5%

    Dr Shule alikuwa na point kuhusu ile rushwa kama wasomi wetu ndo hawa bora sie darasa la 7.
  10. kinya

    Waziri Lukuvi: Marufuku kuzika kwenye vihamba Kilimanjaro

    Mbona kuna changamoto nyingi za kusughulikia kwenye ardhi kuliko hili analojaribu kuliendea?
  11. kinya

    Roma ana matatizo gani? Kila anayekuwa rafiki yake lazima amgeuke

    Kwenye hili mwana aliyumba na kuonyesha ubinafsi wake dhahiri...... Kuwa na mwana wa hivi inahitaji moyo.
  12. kinya

    Polepole: Ukitukana tusi moja namchomoa Kiongozi mmoja DSM

    Kama mwenezi anakiri anasubiri tusi achomoe mtu, hivi tunahitaji degree kujua kuwa pana biashara hapa?!
  13. kinya

    Nabii Askofu Mwingira agoma Kupima DNA, ni katika kesi ya kuzaa na mke wa mtu

    Sasa mjuaji wa baba kashasema mtoto wa mfanyabiashara mbona hakuna kesi halo?!
  14. kinya

    Arusha: Mtekaji wa watoto afariki dunia kwa kupigwa risasi wakati akijaribu kutoroka

    Nchi yangu watuhumiwa wanakufa mikononi mwa polisi na wanainji wanashangilia? mtandao wake itakuwaje (kama kweli ndo mhusika) hivi angepigwa ya mguu angeendelea kukimbia!
  15. kinya

    Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Anzia ulikosoma uandikiwe barua ya utambulisho then uende necta ukamalizie kazi
  16. kinya

    Dunia kusimama kuelekea mpambano wa kukata na shoka kati ya Anthony Joshua na Wladimir Klitschko

    Mtoto ameshinda pambano ndivyo tunaweza kusema AJ amempiga mpinzani wake Kwa knockout round ya 11
  17. kinya

    Roma Mkatoliki sasa ameamua kuokoka...anaimba nyimbo za dini

    Hivi muunganiko wa hichi kilichopostiwa hapa na upinzani ni nini au akili zangu nyembamba hazielewi misemo?
  18. kinya

    Ubunge wa EALA: CHADEMA hatukukosea, tutaenda Mahakamani kupinga Uchaguzi

    Mkuu statement inasema either gender na hesabu inafanyika baada ya wajumbe wote tisa kupatikana, hivyo kwa nafasi mbili na moja tukiacha siasa na mahaba ya vyama vyetu sharti hilo haliwezekani.
Back
Top Bottom