Search results

  1. SUKAH

    Tuangalie upya Mfumo wa Elimu ya MASTERS & PHD

    Mtoa mada naona hata hujui unachoandika hapa jukwaani. Ni mihemko tu.
  2. SUKAH

    Jux ni msanii ambaye yuko underrated ila ana balaa sana

    Daaah ila watu tunatofautiana sana. Ila tu niseme Wimbo pekee wa Jux ambao ninaweza kuusikiliza hadi mwisho ni IN CASE YOU DON' KNOW.
  3. SUKAH

    Naomba ushauri wa biashara kwa mtaji wa milioni moja

    Hahaha, inaonekana hujakaa vijijini ukajua raia wema wanatupia yebo za aina gani. Kuna hizi yebo watu wanauziwa 2000 hadi 3000 huko vijijini, nadhan utakuwa umezipata.
  4. SUKAH

    Naomba ushauri wa biashara kwa mtaji wa milioni moja

    Fanyia kazi ukuze mtaji chap...
  5. SUKAH

    Naomba ushauri wa biashara kwa mtaji wa milioni moja

    Biashara ya chap ni kununua yeboyebo na kizikimbiza kwenye magulio na minadani huku vijijini. Pita vijiji vyote vya handeni hadi Singida huko. Baada ya mwaka urudi hapa kutupa mrejesho. Kazi kwako...
  6. SUKAH

    Mtaji wa milioni moja, naomba wazo la biashara

    Nunua baro moja la vitenge, java, linauzwa laki 5 hadi 7.5 kutegemea na msimu. Ingia minadani na magulioni huku Handeni, pitia Gairo hadi Manyoni huko. Baada ya mwaka utakuja kunishukuru kama ni mwenye kushukuru.
  7. SUKAH

    KIDATO CHA NNE KULIPIA CHETI NI SAHIHI?

    Gharama lazima ziwepo, wakikuambia lazima waende stationery ambayo ipo mbali na shule ilipo ujue hapo nauli lazima ihusike, kuprint na mengine jiongeze.
  8. SUKAH

    KIDATO CHA NNE KULIPIA CHETI NI SAHIHI?

    Nadhani shuleni leaving certificates zipo softcopy, so, walimu hujaza details za mtoto, wanaprint na kugonga muhuri. Sasa hapo kwenye kuprint na kujaza details za mwanafunzi ndo unakuta watu wanakula cha juu. So, kaa kwa kutulia.
  9. SUKAH

    Ukioa makabila haya 10 ni mkataba kuachana ni hadi kifo

    Waha ni namba moja hapo, haina ubishi.
  10. SUKAH

    Paul Kimiti akiri kuhujumu Katiba ya Joseph Sinde Warioba

    Hawa ndo wazee walosababisha watu waseme siasa ni mchezo mchafu...
  11. SUKAH

    Mfumo wa Mtandao kuomba uhamisho Serikalini ni tatizo, unatakiwa kuboreshwa

    Hiyo changamoto hata mimi nilikutana nayo.
  12. SUKAH

    Shule za vipaji maalumu

    Kipaji ni nini?
  13. SUKAH

    Kampuni ya utalii yapigwa faini kwa kuwaruhusu Watalii kula hadharani Zanzibar

    Paragraph ya mwisho imemaliza mzizi wa fitna.
  14. SUKAH

    Ni kweli kuto kusex miaka mitano kunarudisha bikra kwa mwanamke aliyezaa?

    ... kwanza huyo mwanamke sijui alikuonaje aisee!
  15. SUKAH

    TANZIA Sophia Leone afariki dunia

    Nisingesoma comments nisingeelewa chochote.
  16. SUKAH

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Shukran sana mkuu. Na vipi kama umenenepa sana na unataka kupunguza mwili....
  17. SUKAH

    Je kunaulazima wowote wa kulazimasha wazazi kununua bidhaa shuleni

    Ila hiyo buku inayozidi ukimpa mwalimu anayemlea mtoto wako shuleni kama faida sio jambo baya. Fungua moyo mkuu.
  18. SUKAH

    Nandy ampiku Diamond Platinumz, amtoa namba moja

    Na usisahau kuangalia pale dakika ya 2:54
Back
Top Bottom