Search results

  1. K

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Na hao wafalme wa Saudia mbona hamsemi wamekaa miaka mingapi? Walibya watajuta kama WaIraq! Unaposema eti mbwa kafunwa kamba shingoni unamaanisha uhru upi ukilinganisha na hapa Bongo ambapo utajiri wa aslili wanafaiodi wageni! Tunaimbiwa wimbowa UTULIVU NA AMANI wakati pengo kati ya matajiri na...
  2. K

    Elections 2010 Magufuli atoa rushwa kuisaidia CCM Igunga

    Magufuli nae mbona najivunjia heshima? Hivi kwanza atuambie yuko likizo au? Maana hata gari alilokwenda nalo ni la serikali< dereva analipwa posho, mafuta n.k! Pia kula lile jibaba la kulala bungeni TYSON limepiga kambi Igunga! Sijui ofisi kamwachia nani! Yeye pia anatumia nyenzo za serikali...
  3. K

    Sichuan Hongda Co. Ltd - Kampuni iliyopewa dhamana ya Mchuchuma!

    Hawa magamba kwa kuingizwa mjini ndi utamaduni wao! Hebu Fazafox atuambie kinachendelea pale Kipawa Terminal II ambayo wachina waliweka mabango makuuubwa lakin mpaka sasa ni nyasi zinastawi kule ndani! kwanini anatulazimisha tuishi kwa kusadiki?
  4. K

    JK atinga G.Unit

    Yaani Mkere anavyojua kutumua kodi za walalahoi! Hebu fikiria matatizo na ukata tulionao yeye anafunga safari kumuona50Cent! Mnakumbuka alivyokwenda Jamaica akaenda kubembea kwenye Skyline na usiku akahudhuria tamasha la Reggae( ambako ukumbini bangi ni halali!)
  5. K

    Freeman Mbowe na Mr.II Sugu wafanya kweli Iringa!

    Mimba watabebeshwa MAGAMBA!
  6. K

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Hao CCM badala ya kununua ambulance na kuboresha vituo vya afya wanaagiza magari ya maji ya kuwashaya bei mbaya ili kudhibiti upinzani! hebu angalia aibu tuliyoipata juzi kwenye ajali ya meli! Hata vifaa vya kujiokolea hakuna! Msafara wa RAIS WETU MPENDWA uana magari ya anasa ni balaa! Ngoja...
  7. K

    The fate of ZK advertisement

    Dar Village iko sokoni! Wachina(Contractors) wako mahakamani wanadai chaO na dameges! Halafu Magufufuli nae hataki kuona A1 Outdoor kwenye barabara zake! jamaa hali ni tete kama ilivyokuwa kwa baba wataifa! Ufirauni waliokuwa wakiufanya hapo ROSE GARDEN na hiyo G8 yao na ZADDOCK akiwa Chairman...
  8. K

    Mgombea wa CHADEMA Igunga

    Sio bure wampime akili huyu!
  9. K

    Simply stunning beauty

    Hii kitu ni MADE IN wapi? kinafaa kuliwa!
  10. K

    Swali

    Anamvutia pumzi! maana this time wameamua kuwafungia jela kabisa ili wabanwe na liu wapate kuwatafuna Vizuri! Last time warembo walipokuwa Girraffe Hotel walikuwa usiku wanatoroka kwenda kupata First aid kwa wapenzi wao but this time wameweka mpaka camera ili mtu asije toroka. Jamani tuwaonee...
  11. K

    TRA...haya yana ukweli?

    Barclays Bank walikuja na mtindo wa kuajiri graduates mbona walikiona cha moto1 vijana walikwiba kwa kasi ya ajabu maana kila mtu anataka awe na gari, ajenge nyumba akishindwa sana apange nyumba nzima!
  12. K

    Bungeni: Mjadala wa dharura juu ya mgomo wa wauza mafuta

    Serikali kio wekwa dani ya fuko bana! tasema nini?
  13. K

    Saidieni Watoto Hawa Jamani wanakufa njaa huko nchi ya Alshabaab. Mungu wape Mvua!

    Wako wapi polisi wa dunia waende Wakasaidie? Libya walikwenda kupigana ON HUMANITARIAN GROUNDS! sasa Huo Uhuman wao mbona hatuuoni Somalia? au kwa kuwa hakuna Mafuta?
  14. K

    Janja mpya itakayotumiwa na wauza mafuta

    Hatuna serrikali hapa! ukiona waziri anaenda kukopa ili anusuru budget wakati makaburu wanavuna madini kwa ulaini na kutuachia mashimo! Serikali imewekwa mfukoni na hawa wauza mafuta! maana wao ndio waliotoa fadha ili chama cha magamba kirudi madarakani! Lakini wakumbuke kwamba THE WIND OF...
  15. K

    Kilimanjaro Kempinski yabadilishwa jina

    Movenpik ilianza kama SHERATON bado wakasema hailipi! hapa ni ujanja ujanja tu! Mbona Sheraton Uganda mpaka leo bado ni ileile?
  16. K

    Mgomo TBL DSM

    Hao ndio makaburu wanaonyesha their true Color!
  17. K

    Abdalah Zombe: CHADEMA wakiongoza nchi nitajinyonga, adai Lema alikuwa mwizi wa magari!

    Huyu anatapatapA! hebu mkumbusheni ya Ditopile! maana bosi wake ((RPC Tibaigana) alijikanyga kanyaga kutangaza mauji aliyo fanye Ditopile! habu fikiria mtu kama PRC tena wa Special zone anautngazia umma eti" Sijui risasi ilifyatuka au alifyatua" lakinui MUNGU akatoa hukumu yake! DiTTo kafia...
  18. K

    Hussein Macheni Yuko Wapi Siku Hizi?

    yupo! ukitaka kumuona nenda Kinondoni kwa mayanya amefungua Pub na mkewe Ashura!
  19. K

    Ni kweli Kikwete kaenda Sauzi kusherekea BD ya Madiba?

    Mwaka jana alihudhuria tamasha la reggae Jamaica! Akaenda kubebembea kwenye skyline! Sasa uanfiri Birthday ya MADIBA itamkosa? anasingizia ziara ya kiserikali!Miaka hii kumi turekodi "maumivU'
  20. K

    Happy Birthday Nelson Mandela

    Happy birthday madiba!
Back
Top Bottom