Search results

  1. S

    Kuachwa kusikieni tu!

    Kama unaumia mwanamke kuondoka,inaoenekana haupo tayari kua na mwanamke wa ndoto zako
  2. S

    Nimepigana na jamaa niliyemkuta na demu wangu

    Inabidi wewe na demu wako huyo jamaa awaoe tu
  3. S

    Mchezaji mpira maarufu Senegal Sadio Mane afunga ndoa na mchumba wake, binti wa miaka 18

    Utamaduni wa kizungu ni wa kijinga,Binti miaka 14 kuolewa ni mapenzi kwa watoto ila,kugongwa akiwa shule,kutoa mimba ili asome,hio ni sawa
  4. S

    Watanzania hatujachelewa; tuwekeze kwenye Cryptocurrencies!

    Aliyenunua siku unaandika hii post inawezekana Sasa ana faida kama 200%
  5. S

    Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

    Jana core team imetangaza mwakani open mainnet inaanza rasmi,watu toka mwaka juzi tunachimba,Kuna mtu atakuja kutuita matapeli hapa hapa jamii forum
  6. S

    Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

    naendelea kumine mdogo mdogo,jana core team imetangaza mwaka ujao,2024,tunaingia mainnet........anzeni kuchimba huwezi jua,pi inaweza anza na >$10
  7. S

    Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

    Ni taarifa ilyotumwa hivi punde,waraka rasmi kutumwa kwa makadinali Dunia nzima,.......tushuhudie vidume wakivalishana mashela kanisani huku nyomi la wakatoliki mashabaab wakipiga vigelegele wanaume wenzao kwenda kupigana miti baada ya kanisa kutoa Sacramento takatifu! --- ROME (AP) — Pope...
  8. S

    Utawajengea wakwe zako nyumba?

    Fresh TU kama binti yao tumemkuta bikira
  9. S

    Wazo la leo: Mwanamke akijua kipato chako halisi umekwisha!

    Hiyo si mwanamke au mke wako huyo ni MALAYA.....wewe ni mpumbavu kama unaishi na MALAYA
  10. S

    Je, Serikali ina mpango gani na ongezeko la ajira nchini Tanzania?

    Serikali haina mpango wowote na upungufu wa ajira sababu wao ndio waliotengeza hilo tatizo. Hadi yeboyebo unaagiza nje, migodi yote umeuza, yaani kila kitu umeuza, bandari etc. Vyuo vipo kukusanya hela kupitia control namba,FUNGUKA!!
  11. S

    Rais Samia situka, vifo vya watoto na wajawazito ni kama kiama sasa. Sifahamu iwapo ni hali ya kimabadiliko ya hali hewa

    Twende polepole,unapozungumzia vifo vya wazazi na watoto unazungumzia sayansi,na sio siasa,enhe Kwa data zako:- 1. Vifo vimeongezeka?,kwa asilimia ipi au namba ipi? 2. Kuwa zamani(ipi?),vifo havikuepo?,kama vimeongezeka,jibu swali namba Moja 3. Huko nyuma kupi?,unapozungumzia hakukua na...
  12. S

    Msichana ninayemsomesha ananisaliti

    Wewe ni MPUMBAVU
  13. S

    Huyu binti atakuja afe vibaya kwa ujinga wake 😮‍💨😮‍💨😮‍💨

    Binti ana HIV anasubiri hadi uupate nae akuache.......acha UKUMA nenda kapime na achana na huyo MPUMBAVH mwenzako
  14. S

    Diamond Platnumz badili mwenendo before it’s too late!

    Mtu anapata wapi ujasiri wa kumfatilia kiasi cha kujibu hoja za mtu anayefatilia maisha ya watu?
  15. S

    Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

    Tunaangalia angalia angalizo la mtoa mada
  16. S

    Kununua malaya kulitaka kunitoa roho DR Congo

    Kuna watu muna nyota ya UMASIKINI,yaani 25M unalala na mbuzi humjui na unasimamiaha kabisa?
  17. S

    Tatizo la nguvu za kiume kwa kiasi nacho wanawake wamechangia

    Umeongea kitu sensitive sana ingawa wapumbavu bendera fuata upepo watakupinga/'mob psychology" Zamani kwenye makabila yote kabla ya Binti hajaolewa alikua anafundwa,jinsi ya kufanya mapenzi,"The arts of sexual intercourse",psychology ya mwanaume na jinsi ya kuishi naye etc Sasa hivi...
Back
Top Bottom