Hii mbona kali kamanda,mbona sasa itakuwa balaa sana.Ninavyojua kuna lundo la "vichwa" nikiwa na maana vile vilivyopata Div 1 za pwointi 3 mpaka 5 viko chuo hicho sasa kama madai ndio haya basi mzozo mkubwa hapo.
Wewe upo chuo hicho?
Unajua tuseme ukweli hiki kifo cha huyu "mtoto wa mjini" wengi tumekipokea kwa furaha sana.Hasa tukimkumbuka marehemu Mbonde.....Rest Not In Peace Ditto
Wewe kama unataka kurudi rudi ni maamuzi yako na akili yako.Sasa hata nikuambia urudi na wakati maamuzi yako ni kutokurudi huoni kama itakuwa ni upuuzi mtupu?.
Hapa kama huna akili ya huwezi ishi endelea kubeba box tu huko maswali mengine jijibu mwenyewe unatumalizia kurasa za JF
Hapa mjini kumezuka kwa sasa sijui niite bahati nasibu au la katika sijui niita makampuni kama FOREVER la marekani NA POWER CLUB kutoka Italy.
Kwa kifupi mtu unaweka kiasi flani cha pesa mfano kwa forever ni 450,000/= baabdae unapanda vyeo na kila ukipanda vyeo kw akuingiza watu chini yako...
BInafsi nilishazoea kutonunua software.PC yangu naitumia mwenyewe na kila nikitoka natoka nayo.Na mara kwa mara huwa naishusha injini ili kuifanya iwe imara zaidi.
Kama nafanya uharifu bora huu ninaofanya mimi.Na kama kuna mtu anajua mbinu mpya za ku crack na kutafuta key log anai PM
Nakuunga mkono kamanda.Kuna member alisema kuwa atakuja RA nae atapewa maandishi ya kijani.Sidhani kama kuna umuhimu wa member kuchangia JF na kuonekana au kujulikana.
Itafikia kipindi wale watakaotoa kiwango fulani hapa watakuwa na room yao ya kukata ishu.
Ni maoni yangu tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.