Search results

  1. F

    Kwaherini wana_Forum

    Mimi ni msomaji wa magazeti pendwa na hasa interest yangu ni hadithi na makala za mafunzo hasa ijue afya yako na ile tafsiri ya kitabu maarufu "you are what you eat" lakini hivi karibuni magazeti haya yananichefua hasa yanapoandika habari za aliyekuwa mrembo wema kila siku. Hivi hamna jipya...
  2. F

    UDSM Wametangaza Selection ya 2009-10

    ADMISSION UDOM 2009/10 Najaribu kutafuta admission ya chuo kikuu cha DODOMA lakini mtandao wao haufunguki. Naomba msaada wenu.
  3. F

    Kiswahili kibovu kipindi cha Watoto

    Jana jumamosi nilisikiliza kipindi cha watoto katika redio fulani lakini ilinisikitisha jinsi muongozaji (mtoto mwenzao) alivyokuwa anahribu kiswahili. Kwa mfanoalikuwa anawauliza wenzie "ukiamkaga asubuhi unafanyaga nini?" Je huwa unaamkiaga wazazi wako? n.k. Kwa uelewa wangu ni kwamba vyombo...
  4. F

    DECI Tanzania: Ilivyoanza, ilipo na hatma yake

    Mwana wa Mungu pole, Sikio la kufa halisikii dawa. Kuzaa kwa pesa sio sawa na kuzaa kwa maembe. Embe linapozaa sio embe lingine linaumia. Pesa inapozaa ni mwenye pesa mwingine anaumia. Umefaidi kwa sababu mtu fulani kaumia,hata kama hajui. Kama umevuna jiandae kuvunwa. Ebu zingatia Pangupakavu...
  5. F

    Ni kweli saccos ni mkombozi au wizi mtupu?

    Mjumbe huyu anaweza kuwa sahihi. Labda angekuwa muwazi zaidi kama yeye ni mwanachama wa SACCOS hizo. Kwa kuwa ukumbi huu sio wa majungu ila kuelimishana namshauri aombe kupewa katiba za SAACOS hizo ili atambue haki zake. Baada ya hapo azidai haki zake kwa mujibu wa Sheria. Nina hakika kwa mujibu...
Back
Top Bottom