Mimi nikipewaga hizi za kunjunga chapu nawawashiaga moto wanabadili,ila ukiona konyagi haina muhuri pale karibia na shingo yake hiyo itupe haraka sana,ni usenge kama ulivyo usenge mwingine tu
Hiyo barabara haianzii Manyoni,inaanzia Mkiwa kwa kupitia Gurungu,Sanjaranda hadi hapo Itigi.
Hiyo ya lami iliyopita hapo Itigi ni mradi mwingine tofauti iliyoanzia Manyoni hadi Tabora,na iliishia pale Mpakani kabla hujafika Tura,kule upande wa Tabora nadhani iliishia Chaya,ila kwasasa nadhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.