Search results

  1. babamwenyenyumba

    Mnaotoa fedha kupitia NMB wakala kuweni makini

    Mimi ni wakala naunga mkono hoja yako ishatokea kwa wateja kibaoo.anaingiza kadi mara ya kwanza inamkatalia anaingiza mara ya pili inakubali ....mtandao ukikaa vzr zote zinatoka ...msiwalaumu mawakala ni mtandao wenyewe wa bank wakala hawezi kupa pesa ambayo haijatoka risiti yake..so hata...
  2. babamwenyenyumba

    Nafikiri hii ndiyo sababu ya matajiri kuitwa katili wasiyo na utu

    Madogo wengi hawajitambui...nilikuwa nao mimi wawili ofisini kwangu, nilianza na mmoja wakati namwajiri alikuwa peke yake alikuwa akifanya vzr sana nikaona kama ana overwork( kosa hili) nikamwambia amlete mwenzie wawe wawili daaah kilichonikuta sasa....kwanza wakawa na kiburi kwangu hadi...
  3. babamwenyenyumba

    Mama Salma Kikwete atumia Usafiri wa Bodoboda kuwafikia Wapiga kura wake walioathiriwa na Mafuriko

    Huyu mama hakubaliki kule kwao...wamshukuru magufuli na nape kipindi kileee...kuna dogo aliitwa mtoto mwema alitikisa sana ndio waliiba kura zake.
  4. babamwenyenyumba

    Suala la mzee Mwinyi kuzikiwa Zanzibar wala lisifanywe la kisiasa, pitieni hapa msome muelewe sababu

    Hayo ni maono yako mtoa mada,nakumbuka nilipokuwa nasoma kule st mathew mbagala kila week mzee mwenye nilikuwa namwona na king'ora chake anaenda mkuranga kwao...hii ya znzbr imenishangaza kidogo...yasemwayo yapo .....
  5. babamwenyenyumba

    Tujuzane mbinu wanazotumia matapeli kuwatapeli wafanyabiashara za miamala ya kifedha

    Ila hii njia imetoka kumliza jirani yangu siku si nyingi...tunarudi kule kule usifungue uwakala kama akili yako ni chini...uwakala kuna kujiongeza kwa kila njia ...uwe mwepesi wa kutambua harufu ya utapeliii
  6. babamwenyenyumba

    Tujuzane mbinu wanazotumia matapeli kuwatapeli wafanyabiashara za miamala ya kifedha

    Mimi nafanya hii kazi ..nikiona mteja katoa kuanzia laki tano na kuendelea nachofanya na mwambia mteja sijaona msg yake..naomba simu yake nijiridhishe ..hapo nakagua tarehe utambulisho na msg kama sio ya kufowadiwa...then narudi kwa simu yangu kuangalia salio nililokuwa nalo mwanzo na...
  7. babamwenyenyumba

    Tujuzane mbinu wanazotumia matapeli kuwatapeli wafanyabiashara za miamala ya kifedha

    Hiii sululisho lake wakala mteja yoyote akitoa pesa kubwa inatakiwa ajilidhishe kama ni mhusika mwenyewe.kwa kuangalia utambulisho wa muamala tarehe saa na msg kama ameforwadiwa .
  8. babamwenyenyumba

    TANZIA Pengo lingine kwenye tasnia ya muziki wa bongo Fleva. Richard Ramadhan Tunda afariki dunia

    Sema marehem alijua kujichubuaa ....nikiangalie picha zake za zamani na sasa ni watu wawili tofautiii Sent from my LYA-AL10 using JamiiForums mobile app
  9. babamwenyenyumba

    Wafanyakazi wako wanakuibia? Jaribu mbinu niliyotumia wangu wakaacha

    Anadharau kivipi mkuu unamjua?? Je anachokisema hana au ??! Sent from my LYA-AL10 using JamiiForums mobile app
  10. babamwenyenyumba

    Biashara ikianza kuwa ngumu unaanza kujikosoa, "hivi ni mimi niliesema ajira ya kupokea mshahara kila mwezi na posho za kila wiki ni utumwa ?"

    Mimi vijana wangu juzi wamenipiga 500k na hali ilivyo ngumu nimewatema chini now nipo mwenyewe na mdogo wangu huwa ananisaidia akirudi chuo jioni.vijana siku hizi hawaaminiki tamaa mbelee wanataka kutoboa faster Sent from my LYA-AL10 using JamiiForums mobile app
  11. babamwenyenyumba

    Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

    Upo sahihi nipo kwenye biashara mwaka wa tano huu naona vita vyake kuna vita vingine vinapigwa hata mwenyewe hujui...hakika wewe ni mfanyabiashara
Back
Top Bottom