Search results

  1. L

    Kashfa nyingine ya Mbowe: Kumbe Juma Duni Haji hajakabidhiwa kadi ya CHADEMA

    wapi mbona hatujaona? Tuma picha pls Mdau...
  2. L

    Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    pole sana mkuu, naamini mwenyezi mungu atakusaidia na utapona kwa JINA LA YESU KRISTO
  3. L

    Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    Mbona matokeo yanacheleweshwa jamani? Je ni Gamba au Combat? tunahamu ya kujua matokeo tumechoka na matokeo feki toka jana saa 7 mchana sijui wengine walikuwa wanayapata wapi wakati hata vituo havijafungwa. Tume fanyeni tuone basi tujue kusuka ama kunyoa.....
  4. L

    Wakati mgumu kabisa kwa mwanaume ni pale anapopanga kum - approach mwanamke anayempenda, women did y

    inategemeana, kama wengine walivyosema.. huyo mwanamke unamuhitaji unamuhitaji kwa kumtumia fasta au ndo mke. kama mke ina maana lazima approach yake iwe tofauti na kicheche. Huwezi muambia oyaa ni nataka nit%$#^ne na wewe ila kicheche poa tu unaropoka tu kwamba hata akikataa huna hasara. Mke...
  5. L

    Ephrahim Kibonde ana CHEO gani CCM?

    Acha ushamba wewe, we ni mzima? uathirika wa Kibonde unakuhusu nini? Mbona hata ndugu zako wapo waathirika hatuwasemi? mseme kibonde kama kibonde uathirika wake unakuhusu nini? we mwenyewe malaya unauhakika gani na kesho kama hutaathirika? hizo sio kauri za kuzitoa kwa watu wenye akili zao nyambafu
  6. L

    Mapenzi na maumbile

    hamna uhusiano kaka ni maufundi yako tu.
  7. L

    Mbunge wa Mbeya mjini apata katibu

    huyu Sugu uongozi wa visasi siye hatuukubali, mie ninaona anawanyima raha watu wa mbeya na si clouds. aache watu wajiachie mambo ya visasi kama kiongozi angeachana nayo. kishakuwa kiongozi mambo ya mtaani achane nayo ni hayo tu
  8. L

    Jinsi ya kumfanya mpenz wako afurahi

    kweli ukiweza haya angalau 75% daaa itapendeza sana
  9. L

    Mke wa ndoa na Housegirl nani mtamu?

    mkeo zaidi, acha maswali yako wewe yasiyo na msingi. au ulioa kwa bahati mbaya au uliozeshwa na wazazi? :tape:
  10. L

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    :nono:wana jamii muna comments nzuri sana, lakini munapozungumzia ugonjwa wa mtu hususani HIV wakati nyinyi wenyewe pengine hamjui afya zenu munatuchefua sana mpaka munayoongea inaonekana kama munamuonea wakati munaongea jambo la msingi.... acheni mara moja unyanyapaaji huo
  11. L

    Elections 2010 Aden Rage Ashinda ubunge TABORA

    hongera kaka:smile-big:
  12. L

    Mkanganyiko katika Gharama za Vocha za Simu

    huu ni wizi jamani, toka lini muda wa maongezi wa sh 1000 ukauzwa 1100 je huu ni uungwana?
  13. L

    Kubemendwa: Hiki kitu kweli kipo?

    mmmh sijui kama ni kweli!!!
  14. L

    Franco Mtui apooza mwili mzima

    wala sielewi kama ni onyo au chuki binafsi!!!
  15. L

    Bajeti ya 2009/2010 Tanzania

    CCM mpokeeni Zitto huyooooo anakuja sasa!!
  16. L

    Kati ya Mkapa na Kikwete nani zaidi?

    Zaidi nitamkumbuka kwa maagizo yake ambayo hayatekelezwi na wasaidizi wake na yeye kukaa kimya mfano Elimu: Aliagiza wanaosomea udaktari na Ualimu wapate mkopo 100%, Haikufanyika
  17. L

    Lowassa anasafishwa!

    hii kaaaazi kweli kweli jamani, hivi pale ikulu kuna nini kitamu kila mtu apatolea macho?
Back
Top Bottom