Search results

  1. M

    Kangi Lugola kuchukiwa na askari, ukweli wawekwa hadharani. Huenda wanyonge wakakumbuka utawala wake

    mimi nilishalikataa kitambo hao wanyonge sijui ndiokina nani
  2. M

    Bungeni: Mwenyekiti PAC amtaka Kangi Lugola kutoa maelezo kuhusu sakata la ufisadi katika ununuzi wa sare za Jeshi la Polisi nchini

    Kama vile namuona yule afande anavyomsubiri pale segerea akampatie chumba chake. pole sana Kangi na karibu segerea.
  3. M

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

    Tatizo hawa voingozi wanapokua madarakani wanahisi wao ndio pekee wenye nguvu na mamlaka ndani ya nchi hii.mahalani mzee kangi alitumia jeshi la police kama mali yake anaweza kuamrisha makamanda mara toka nje ya kikao lkn leo wale aliokua anawaamrisha hawapo tena upande wake sasa ndio hao...
  4. M

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

    Akifika magereza lazima wamuambie kata mauno mzee
  5. M

    DAR: 73 wadakwa kwenye msako wa wizi wa magari na vifaa

    Kama wako serious basi waende pale tabata dampo kuna wezi sana na vifaa vyote vya wizi viko pale
  6. M

    Arusha: Meya, Madiwani pamoja na Viongozi wa dini waliokamatwa juzi wameachiwa kwa dhamana

    Utamu wa rambirambi lazima upitie mikononi mwako. hahahahaha mamlaka
  7. M

    Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

    Ingetakiwa hawa polisi wetu wakaguliwe vyeti
  8. M

    Jeshi letu linaonyesha umahiri wa kupigwa na tofali zama hizi!? Hawaoni wenzao huko duniani?

    Ukimtandika na mpini lazima waimbe parapanda italia
  9. M

    Jeshi letu linaonyesha umahiri wa kupigwa na tofali zama hizi!? Hawaoni wenzao huko duniani?

    Unamanisha waliweka unga wa ngano badala ya cement
  10. M

    Jeshi letu linaonyesha umahiri wa kupigwa na tofali zama hizi!? Hawaoni wenzao huko duniani?

    Hakika una hoja ya msingi hapa tujitizame yoga in
  11. M

    Rais Magufuli kwa hili yuko sawa, ITV jirekebisheni

    Kwanini vijana wa lumumba Hanna akili kiasi hicho nan aliyewaloga
  12. M

    Madhara makubwa ya kumtisha Rais wa Nchi!

    W Wewe ndio punguani kweli
  13. M

    Jukwaa la Wahariri wampiga BAN Mkuu wa Mkoa wa Dar kwenye Media zote nchini

    Mpigiwa KULA ashasema alichukua form mwenyewe nakujichagua mwenyewe msimpangie
  14. M

    Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

    Ndio hvyo washaamua bashe kapeta ila nawe jiandae
  15. M

    Makonda ajadili anguko la elimu Dar

    Hahahaha haha haya ndio maajabu ya Tanzanian
Back
Top Bottom