Search results

  1. Madam Koku

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Afrika inakua sana kiuchumi jambo ambalo linaifanya tishio kwa mataifa makubwa kama Marekani na China
  2. Madam Koku

    Jeshi la Polisi lataja wahusika wa mauaji Kibiti mkoa wa Pwani

    Dah Nilijua tu kuna watakaouliza hili swali tusipende kuendekeza udini nchini kwetu jamani.... Kibiti kwa asili wakazi wengi ni wa dini hio flani hivi ... what do u expect? hujaona hata mwandishi wa makala /habari hii ni wa dini hio? Hongera jeshi la Polisi kwa hatua nzuri.
  3. Madam Koku

    Kibiti, Pwani: Majambazi yaua Askari Polisi NANE(8)

    Inasikitisha sana... jambo hili linapaswa kufanyiwa kazi na kukomeshwa kabisa... kwanini askari wauwawe tu bila hatia??? na hao majambazi waliouwawa wajulikane vizuri ili hata waliobaki washughulukiwe lazima itakua ni timu kubwa. Sad.
  4. Madam Koku

    Series (Special thread)

    Wapenzi wa Homeland, January '17 inaendelea... mkae mkao wa kula :) ... I can't wait to see Quinn
  5. Madam Koku

    Sakata la kuuawa kwa Faru John lachukua sura mpya. Watumishi watano watiwa mbaroni

    Hivi na kutumbuliwa lote huku watu hawashtukiii? wanajilipua tu? Khaa
  6. Madam Koku

    Kama binaadam ameumbwa kutokana na udongo, vipi kuhusu wanyama wengine na mimea?

    Hapa tunazungumzia uumbaji hatuzungumzii kurejea. Pili Ni binadamu tu aliyeumbwa wa sura na mfano wa Mungu.
  7. Madam Koku

    Arusha: Yaliyojiri kutoka mahakamani, rufaa ya Mbunge wa Arusha G. Lema, anyimwa dhamana

    Why would the kids be brought at the court in the first place? Don't they know that they are hurting them? or do they think having public sympathy is better than their children mental and psychological health? Who would like to have such memory of his/her father?
  8. Madam Koku

    Mkanganyiko wa Sheria ya Kutakatisha Fedha - Albert Msando

    Msando, this Article is misleading. I will explain why, and please allow me to be brief. I am not sure what are the basis of your above explanation as regard the concept of Money Laundering. However if you want to venture into Money Laundering (ML) in Tanzania (you can google, wikipedia etc.)...
  9. Madam Koku

    Wanaomchafua Dr. Dau magazetini na mtandaoni ni wafamaji, acheni waendelee kutapatapa

    Naona umeongea kwa wingi/ plural ooh "hatuwezi kuwaacha..." "sisi tupo na tunasimamia..." Nyie kina nani? Tunaomba kufahamu Huu uzi better usingeanza manake unazidi kuharibu.
  10. Madam Koku

    Farewell to Arms: Barua ya Dr. Ramadhani Kitwana Dau kwa wafanyakazi wa NSSF

    Hahahaa umenichekeshaje na hio hypothesis yako? Kwaiyo na nyie ndio mkaamua kupiga kivyenu? Halafu report ya CAG kuhusu NSSF imetoka natumaini umeisikia sikia...
  11. Madam Koku

    Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote

    Naona mwandishi amejichanganya kweli Rais kasema atashusha kiwango cha mshahara ambao ni excessively high. Kwamba atafata utaratibu gani hio ni hatua nyingine.... Sasa unajuaje kama naye anapanga kufanya utaratibu kama ulivyoeleza hapo? Or even a better plan? Wakati mwingine tunahitaji udikteta...
  12. Madam Koku

    Farewell to Arms: Barua ya Dr. Ramadhani Kitwana Dau kwa wafanyakazi wa NSSF

    Umekazana kweli na kulinganisha mafanikio hebu twambie wewe ni yapi? manake utaanza kututajia majengo na uwekezaji. Unasahau kwamba mifuko ya jamii huduma ya kwanza na ya msingi ni kulipa mafao sahihi na ndani ya wakati. Halafu usifikiri kulinganisha mashirika ni rahisi kihivyo.. kuna vigezo...
  13. Madam Koku

    Farewell to Arms: Barua ya Dr. Ramadhani Kitwana Dau kwa wafanyakazi wa NSSF

    Si ndio hapo sasa? nothing special.... halafu amekaa NSSF miaka 15! hata Rais akikaa sana ni miaka 10..alitaka nini tena? ye aondoke zake tu kimya kimya...watu wapokee kijiti.
  14. Madam Koku

    Watumishi hewa 515 wagundulika katika mikoa mitatu

    Hayo maeneo nyeti. Hapo kwenye Wastaafu ni Jipu kubwa.... Likitumbuliwa wataumia wengi
  15. Madam Koku

    Ofisi ya DPP yatuhumiwa kupokea 30m/- kuzima kesi ya mauaji ya mwanafunzi

    Kawaida taarifa kama hizi official kutoka kwa DPP zinatolewa Kwa barua. Hata kama mzazi alionana na DPP lazima majibu haya yalitolewa kwa undani kwa barua. Hio barua ingewekwa hapa ili sababu zijulikane kwanini kesi imefungwa? Kisheria ktk kesi za mauaji kuna principle kwamba 'the last person...
Back
Top Bottom