Search results

  1. S

    Re: Secretary Job Agency

    Jamani mwenye uelewa juu ya hawa jamaa ya Secretary Job Agency!
  2. S

    Re: Utumishi wameita kwenye usaili jamani piteni hapa

    Haya jamani wadau Utumishi wameitoa majina kwenye usaili mwezi huu. Angalia kwenye attachment hii:A S-fire1: usaili mwema wadau
  3. S

    Re: Tanroads njombe wameita

    Haya wadau jamani Tanroads Njombe Usaili tarehe 29/8/2013 jamani soma Gazeti la Daily News tarehe 22 mwezi huu.:A S 2152:
  4. S

    Re: Utumishi wametoa nyingine

    JARIBU KUPITA NA HAPA ONA UTUMISHI WANANYINGINE KIDUCHU KWA WENYE SIFA ZAO JAMANI: MAFANIKIO MEMA:kev:
  5. S

    Re: Utumishi wametoa nyingine

    Jamani wanajamii hawa jama wa utumishi wameweka file la tangazo la kazi leo 11 juni lakini halifunguki. zaidi angalia mwenyewe kwenye website yao.:nod::kev:
  6. S

    Natafuta kazi ya personal secretary/receptionist/record management jamani

    Mi kijana (mvulana) nimehitimu mafunzo ya uhazili na kompyuta katika chuo cha veta iringa kwa muda wa masomo wa miaka 2 level ii na kufaulu pia nimefanikiwa kufanya mtihani wa nabe (nationalbusiness exams) hatua ya i-iii na kufaulu. Naomba mnisaidie kazi jamani uwezo mzuri na uzoefu mzuri...
  7. S

    Re: Ajira katika NGos au Makampuni na Serikalini

    Wadau mimi ni mvulana jamani nimehitimu masomo yangu ya Secretarial and Computer naomba kazi. Nina Level II ya miaka miwili na Pia nina NABE Stage III, ninauwezo na uzoefu mzuri katika kazi ya Secretarial au utunzaji kumbukumbu, nisaidieni kazi hizo. :A S 576:
  8. S

    Wadau! vp Tanroads kibaha wamesha ita watu kazi au bado

    Jamani vip hawa jamaa wa tanroads kibaha inamaanisha bado kuita watu kazi. maana tunaona kimya tu:kev:
  9. S

    Alternative way for employment

    Habari wanajamii humu ndani jamani
  10. S

    kazi vip jamani

    vipi kuhusu zile post za kibaha tanroads, na matokeo ya mtihani wa Tanroads Iringa vip yalishatoka?
  11. S

    kazi vip jamani

    jamani jamii forums mbona kimya sana hatakujuzana hakuna sikuhizi? tuwetunajuzana
  12. S

    kazi vip jamani

    jamani tujuzane kuhusu kazi
  13. S

    Jamani Jf mbona kimya sana sasa hivi

    Jamani tuwe tunajuzana juu ya nafasi za kazi endapo unakuwa umeona katika magazeti, hata kuitwa kwenye usaili
Back
Top Bottom