Search results

  1. Ebenezer

    Tafadhali ushauri wa haraka kwa rafiki yetu mwenye mpenzi andunje

    We jamaa naona umeamua umlaani kabisa [emoji28] [emoji28] [emoji28] Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
  2. Ebenezer

    Ushauri: Nimekuta 'urine pregnancy test' kwenye kimkoba cha binti yangu

    Amekosa Upendo wa baba ameamua atafute sehemu nyingine. Kuwa karibu na binti yako ndugu! Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
  3. Ebenezer

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Je, una references zozote mkuu?
  4. Ebenezer

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Asante mkuu, nitalipeleka kwa wataalamu.
  5. Ebenezer

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wakuu mimi nina forester 2002, second generation, ina turbo...ulaji wake ni km 5.3 kwa Lita, hivi ndio kawaida ya haya magari? Au Kuna tatizo mahali? Msaada tafadhali!
  6. Ebenezer

    James Rugemalila afungua kesi Mahakama Kuu

    Daah, hii nayo kali!
  7. Ebenezer

    Mwingira wa EFATHA awaita Viongozi ya Serikali ni washenzi

    binadamu akishashiba ugali anakuwa na matatizo sana...lakini kumbuka MUNGU ataleta hukumuni kila neno (every vain word spoken)...enyi wa uzazi wa kishenzi, endelea kupindisha ukweli na kusema uongo , kama baba yenu ibilisi!
  8. Ebenezer

    Nimeoa, mke wangu amekuwa jeuri na kiburi mpaka nachanganyikiwa; natamani kuvunja ndoa!

    Pole mzee, swali langu ni moja...je, unamtimizia mahitaji yake? njia rahisi ya kupata attention na heshima kutoka kwa mke, ni kutimiza wajibu wako kama baba. Mpende mkeo. Usiwe kama wale wanaume ambao wanalipigia hesabu ela ya mkewe. Kama mkeo, akipenda ela yake iingie kwenye matumizi ...
  9. Ebenezer

    Chaguo Sahihi?

    Watu wanashindwa kuelewa...biblia imeweka wazi kwamba ni amri mwanaume kumpenda mke wake, na kwa mwanamke imesema amtii mme wake. Ukitaka heshima, unyenyekevu wa mwanamke, ukitaka kufurahia ndoa yako... mpende mkeo. Unapozidisha upendo kwa mkeo, ndivyo utakavyozidi kufurahia ndoa yako na ndivyo...
  10. Ebenezer

    Hebu jionee mwenyewe

    Asante...pamoja sana! Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
  11. Ebenezer

    Hebu jionee mwenyewe

    Inasikitisha sana...haya ndo matokeo ya kuwapa vilaza kufundisha watoto. Ifike mahala tuambiane ukweli, waliofeli shule, kukimbilia ualimu si sawa. Tutaendelea kutengeza watoto mambumbumbu. Yesu aliwahi kusema," Inamtosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake". Ina maana kama uelewa wa mwanafunzi...
  12. Ebenezer

    Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi

    Subiria kesi za huyo dada wa kazi na mkeo....Kwa taarifa yako, huyo binti kashasema kwa mashosti zake...siku ukishtuka mtaa mzima umejua ( Wanawake wenyewe wanasema "umbeya kwao suna..."). Kuwa na uhakika na yafuatayo: - Atakutegeshea ujauzito... - Atagombana na mkeo... - Ndoa yako...
  13. Ebenezer

    Ushauri wa haraka Plz......!

    Nimeipenda hiyo! Kuna jamaa aliwahi kusema, ku-abort mtoto hakukufanyi usiwe na ujauzito, bali mama wa mtoto aliyekufa! Ukifikiria vizuri...it makes a lot of sense!
  14. Ebenezer

    Mnyika huwezi vita binafsi na Kikwete

    Nani asiyejua CCM kwa majungu, kulipana kisasi, na visirani...mambo sasa yamebadilika, hamwezi kufanya kama mnavyotaka. Siasa za ubabe zimefika mwisho!
  15. Ebenezer

    Namtaka mke wa kakangu kimapenzi nifanyeje

    Dogo unazingua...hivi kweli unategemea watu wasemaje! Kichwa yako sio nzuri!
  16. Ebenezer

    Tatizo hili ni la mke wangu tu au wanawake wote married?

    "Nanyi wanaume ishini na wake zenu kwa akili mkijua kwamba wao ni viumbe dhaifu". Biblia - Si kiila tatizo linaisha kwa mazungumzo - Unaitaji kumpenda...hiyo ni dalili kwamba upendo kwenye ndoa yenu imepungua. Si kila akikuudhi unatakiwa kuanzisha ugomvi...hiyo ni dalili kwamba hata wewe...
  17. Ebenezer

    Mwanamke huyu ananifaa?

    Hajatulia huyo...jibu unalijua mwenyewe! Kazi kweli kweli! :lol:
Back
Top Bottom