Ni kweli makuzi ni suala moja kubwa sana ila kuna vichochezi ambavyo sio vya asili vijana wana patiwa! Inabidi wazazi watarajiwa wajuwe kuwalinda watoto kuanzia kwenye lishe na tabia! Aisee tatizo ni kubwa kuliko watu wengi wanavyo liona! Sijui kwanini wazazi wengi huwa hawana muda na watoto...
habari za siku tele !
Hili suala ni kubwa sana mayai bwege ni hatari sana kwa watoto chocolate manukato ni hatari zaidi wewe huja wahi Kutana na manukato yaka kuletea kamsisimko! Taifa limekwisha hili siku hizi bar wanawake wengi wasagaji na wanaume wengi ni Mabwege !
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.