Search results

  1. T

    Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    Hii yote ni kupoteza muda na kutumia kodi zetu vibaya. Waache kupotosha watanzania na siasa zao zilizojaa rushwa na chuki. Tunahitaji wanasiasa wenye uchungu na nchi yetu. Sio hizi blaa blaa..
  2. T

    Kuzalia Marekani

    sio ilimbukeni! Watanzania tatizo letu tumelalia masikio, wenzenu Wanageria mbona hivi vitu vya kawaida. KWA KUFUPI NI KWAMBA, UKIZAA MTOTO USA, HATA KAMA WEWE MAMA WA MTOTO SINA RAIA WA USA MTOTO ANAONDOKA NA PASSPORT YAKE YA KIMAREKANI, MPO HAPO! MTOTO AKIFIKA 18 HE/SHE CAN GO BACK TO THE...
  3. T

    Chuo kikuu UDSM links hazifanyi kazi

    Sasa tufanye, wajitolee vijan wakali wakatatue tatizo. na mimi nilijaribu wiki iliyopita! sikupata kitu
  4. T

    Kama Wewe Ni Mzalendo, Usifungue Hapa: Utahuzunika - Haki Elimu!

    Is about time watanzania tuamke! wakati Gavana wenu anatumia bilions kwa kukarabati nyumba, watoto wengi hawana access to quality education, tatizo watanzania tunaongea sana, hakuna vitendo. Je uchaguzi ujao mbunge wao wa Kigoma Rural District watampigia kura tena? I would love to know who is...
  5. T

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    I think is about time now watanzania tuamke, Why is it tunaweza kuchangia harusi lakini hatuwezi kuchangia fee watoto wetu wanapotaka kusoma? leo hii ukisema unaitata family and friends kichangia univesity fee ya mtoto wako, watakupeleka milembe! lakini ukuwaita kwa ajli ya kukaa vikao vya...
  6. T

    Azimia wakati alipotakiwa kuingia chumba cha kuchukua majibu ya HIV

    This is sad! I've been working as a HIV/AIDS Counselor in London for more than 7 years. I believe people need to be well informed and prepared prior the HIV test. From what I've interpret, I have strong feelings that these individual women are not psychologically well prepared to undergo HIV...
  7. T

    Kumradhi wakuu!

    Msaada waheshimiwa! How many Tanzanians are in the UK? where can I access this statistics! Asante Sana.
  8. T

    I need Help on Adoption Agency in TZ..

    If you need information on adoption in TZ contact Wizara ya wanawake na watoto, they will be able to advice you. Good luck!
  9. T

    International Driving Permit

    I hope this will be OK, any question!
  10. T

    International Driving Permit

    Automobile Association ofTanzania Magore Street Upanga Burhani complex unit 14 Dar Es Salaam Tel: (+255 22) 215 18 37 Email:aat@ctvsatcom. net Tanzania Shilling (TZS) Dialing code (+255)
  11. T

    International Driving Permit

    They have moved in Upanga, sorry! no post code! I visited them November 2005, AAA office haziko jengo la posta mpya tena.
  12. T

    Matokeo ya kura za maoni ya mauaji ya albino mpaka lini?

    Mimi kama mtanzania, nafikiri serikali yetu na sisi wenyewe kama watanzania we are failing these minority group. Je, tukishapiga kura ya maoni and then what next? Tangu mauaji haya yalipoanza kutokee nimekuwa nikifatila kwa undani what media national and international inasema nini. My...
Back
Top Bottom